Tetesi: Inasemekana Nape Nnauye kavuliwa Uanachama wa Chama cha Mapinduzi..

Tetesi: Inasemekana Nape Nnauye kavuliwa Uanachama wa Chama cha Mapinduzi..

Status
Not open for further replies.
JK kweli warned, dont make no sense
Sasa JK hata akiwa warned itasaidia nini? Huyu Sizonje anaendekeza mabifu yasiyo na kichwa wala miguu...anyway ndiyo vizuri lakini ili wauwane wao kwa wao!
 
Hawa Ng'umbi alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Shamsa Mwangunga ndiye alikuwa Waziri wa Maliasili na Utalii
 
Naona watu tunachelewa sana 'kuusoma mchezo' wa awamu ya 5. Nape hawezi kushinda hata akiwa na kura nyingi kuliko wapinzani wake. Anayehesabu kura na kutangaza mshindi anajulikana. Akivuliwa uanachama, asahau ubunge ktk awamu ya 5.
Hilo ni dhahili kabsa na tutarajie mambo kama hayo sehemu nyingi nchini
 
Kosa la kumpiga vijembe mungu wa chama na nchi kwenye mitandao.
Ila Mimi huwa nawashangaa sana wanaomtetea NAPE labda kwa kuwa hapa mwisho alianza kujielewa Na kuwa upande wa wananchi
But yanayotokea Leo kama Kuminywa kwa Bunge live, kuropoka maneno ya kebehi za kupitiliza kwa wakubwa zake Mara Bao la mhand.
Nasema Mungu hadhihakiwi
Anachokipata Leo ni kilio Na manunguniko ya wananchi.hata huko mtama nasikia akifanya Ubabe Mathew ndo alitakiwa
Hapa.
NAPE PAMBANA NA HALI YAKO SASA ULIYATENGENEZA MWENYEWE
 
Anaondoka na Wabunge wengi, Wakuu wa Wilaya, Mikoa, Kata mpaka vijiji kuja nao chadema, ni matumaini yangu hitmen wa chadema waliomhit Tundu Lisu hawatsmuona tishio kwa the powers that be ya chadema, ...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom