Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,176
Huko chadema kuna watu wanampinga mbowe?Kwani sio ruhisa kumpinga mtawala, au katiba ya ccm imeongelea swala la ndio mzee tu kwa kila jambo
Hata kumpinga mboweKwani sio ruhisa kumpinga mtawala, au katiba ya ccm imeongelea swala la ndio mzee tu kwa kila jambo
Nadhani likitokea jambo la kupingwa atapingwa na apingwe tu!! Kwaio ww unabariki maswala eti ya wenyevit wasiwe wanapingwa, aisee ww uo ni ushamba wa zamani sanaHuko chadema kuna watu wanampinga mbowe?
Kwakuwa wewe ni mungu....poa kaka mungu wa tanzaniaKuhusu freedom tutasubiri sana
Kama ni kweli akija ukawa wamkatae maana ni makapi!
So toka chadema kianze hakuna aliyewah pinga au HOJI fikra za mwenyekiti?je matokeo yalikuaje?Nadhani likitokea jambo la kupingwa atapingwa na apingwe tu!! Kwaio ww unabariki maswala eti ya wenyevit wasiwe wanapingwa, aisee ww uo ni ushamba wa zamani sana
Kwa kosa lipi?
crocodile, wewe ndiye unayetaka kuupindisha ukweli. Ni kipi chenye nguvu/uwezo, Taifa/Nchi au mtu mmoja kwa Jina Tundu Lissu.Msipindishe ukweli. Alieleza jinsi zilivyozuiwa au alichakarika kusaidia wazungu wazuie?
kumbe lissu ndio judge aliyeamuru mali zizuiwe?? kaz kwelikweliMsipindishe ukweli. Alieleza jinsi zilivyozuiwa au alichakarika kusaidia wazungu wazuie?
Kosa la kiBombaDiaKwa kosa lipi?