Tetesi: Inasemekana Nape Nnauye kavuliwa Uanachama wa Chama cha Mapinduzi..

Tetesi: Inasemekana Nape Nnauye kavuliwa Uanachama wa Chama cha Mapinduzi..

Status
Not open for further replies.
gerge orwell aliona mbali.

somebody in this country thinks he knows everything
 
nape ni usajili mzuri, naamini nyuma yake kuna watu wazito.. kama taarifa hizi ni za kweli basi ni wazi CCM wanajiandalia anguko kuu ambalo Nape, Kinana na JK walilizui 2015.. Uzoefu/ujanja wa JK akiwatumia vizuri Kinana na Nape iliwezekana kabisa kumdhibiti EL, ila kwa hali ninavyoiona na mbinu zilizopo sasa kule lumumba kumzuia EL na team yake itakuwa ngumu na nina uhakika lile kundi lingine la vijana wa Msoga Inc litasema isiwe shida kama noma na iwe noma nasi ngoja tuhamie Monduli hapo ndio patakuwa patamu,, maana watoto wa mjini mipango wanaijua ukichanganya na wazee wa ulipo tupo hahahahhahah aibu ya mwaka inakuja, mmmmh 2020 sijui kama tutafika..
 
Naona watu tunachelewa sana 'kuusoma mchezo' wa awamu ya 5. Nape hawezi kushinda hata akiwa na kura nyingi kuliko wapinzani wake. Anayehesabu kura na kutangaza mshindi anajulikana. Akivuliwa uanachama, asahau ubunge ktk awamu ya 5.
 
ALBADIR ina madhara makubwa sana zaidi ya tudhaniavyo
 
..acha ujinga we...umesahau mwalimu nyerere aliwahi kusema upinzani wa kweli utatoka ccm!!!wacha atoke na ukawa wamchukue mara moja...kama kina lowassa... Maneno ya mwalimu yanatimia kila kukicha....maana wameanza na kula nyama za watu kwenye uchaguzi wa 2015....hawatabaki salama...haswa pale watakapoanza kufukuzana chamani....hili ni jambo la kheri kwa tz...wacha wafu wazikane...

Kama ni kweli akija ukawa wamkatae maana ni makapi!
 
Alishasema wakezengua Mara paaaaaap[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nadhani likitokea jambo la kupingwa atapingwa na apingwe tu!! Kwaio ww unabariki maswala eti ya wenyevit wasiwe wanapingwa, aisee ww uo ni ushamba wa zamani sana
So toka chadema kianze hakuna aliyewah pinga au HOJI fikra za mwenyekiti?je matokeo yalikuaje?
 
Msipindishe ukweli. Alieleza jinsi zilivyozuiwa au alichakarika kusaidia wazungu wazuie?
crocodile, wewe ndiye unayetaka kuupindisha ukweli. Ni kipi chenye nguvu/uwezo, Taifa/Nchi au mtu mmoja kwa Jina Tundu Lissu.

Umelishwa maneno ya wanasiasa na msemaji akitetea serikali nawe ukaamini!? POLE!
 
Km ni kweli sababu itakuwa yy mla rushwa maana slow slow anajinasibu kwamba wala rushwa hawana nafasi,japo nae slow slow ni mla rushwa wa ngono: msigwa alituambiaga pale channel 10
 
NAPE ANAUZIKA,
Hili liwe fundisho kwa CCM na hasa vijana wake kuacha kukipigia debe chama ambacho hakina shukrani hata ukikiokoa kutoka kwenye KIFO.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom