Tetesi: Inasemekana Nape Nnauye kavuliwa Uanachama wa Chama cha Mapinduzi..

Status
Not open for further replies.
Naona watu tunachelewa sana 'kuusoma mchezo' wa awamu ya 5. Nape hawezi kushinda hata akiwa na kura nyingi kuliko wapinzani wake. Anayehesabu kura na kutangaza mshindi anajulikana. Akivuliwa uanachama, asahau ubunge ktk awamu ya 5.
Mimi sijui..ngoja nijifunze
 
Dhalimu hahitaji kosa Mkuu ili kumvua mtu uanachama. Tusubiri kama ni kweli ila kama ni kweli chuki dhidi ya dhalimu ndani ya chama itazidi kuongezeka.
Anafaa kuchukua nafasi ya Lowassa 2020, maana cha chetu hakina historia ya kurudia wagombea. Na ukizingatia tumaini lilikuwa limebakia kwa sasa si tumaini tena
 
Chadema mnajua kujipa matumaini hewa sana..
 
Kama hivyo ndivyo hakika dhambi ya dhuruma ya haki imeshindwa kumuacha salaama hata goli la mkono halipo duuu!!! Karibu kwetu vita haishi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…