Tetesi: Inasemekana Nape Nnauye kavuliwa Uanachama wa Chama cha Mapinduzi..

Status
Not open for further replies.
Who cares wafukuzane tu, tena hili lichama linatakiwa liwe zilipendwa.
 
Si ndio alituletea bao la mkono huyu mtu?Atakaemsikitia atakua kweli ni nyumbu aisee.
 
Heading nzuri pia inavutia lkn ndani sijaona kikubwa cha kueleweka na kuvutia, ongezea nyama mkuu unalo nzuri la kutwambia
 
Kagusa miradi BINAFSI mikubwa ya mfalme...1. BASHITE 2. BOMBERDIER...Unadhani itakuwaje
 
Muda haudanganyi, kama n kweli tutajua tu na kama unadanganya.....
 
Diallo kwa CCM ni MTU muhimu mno,hawawezi kumfukuza.
 
Naye si aende tu huko kwa Machadema wenzake.

Anafanya nini CCM?

Aende tu kwa Machadema na yatampokea. Ni muda muafaka sasa naye awe kamanda😀
Nape ni CCM wewe, tuseme tu kwa chinichini kwamba huenda hii ikawa babeli flan hivi.
 
Kama hili ni kweli tutegemee wengine wengi maana ndo watavurugana zaidi.
 
Kubakia kwenye sekretarieti haimaanishi yeye ndiyo kiongozi wa sekretarieti! Chadema bhana ndio maana Mbowe kahamia Nairobi kunywa " uji" na mgonjwa maana kina Allen ni wagumu kuelewa!!!
 
these are serious allegations..... posting such thing you should be 100% sure with evidence
 
Kama ni kweli hapa chama changu ccm kimechemka. Wakumbuke moto wa katiba ndo unaanza kuwaka na kwa hili hatuna tena ujanja wabunge kwa hili wataungana kwani hawapendi mambo yanavyoendeshwa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…