Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusidanganyane, huyo jamaa ni asset.
Ana kundi kubwa sana la wanachama wa CCM watakao msapoti
Heading nzuri pia inavutia lkn ndani sijaona kikubwa cha kueleweka na kuvutia, ongezea nyama mkuu unalo nzuri la kutwambiaKuna orodha ya watu wanaompinga Bashite chini chini,hawa nao wanajulikana na muda wowote kabla ya uchaguzi watang'olewa ccm.
Kuna wengine hata huwezi kuamini mf Job Ndugai,anajiamini sana Leo lakini atapoteza karata yake moja muhimu na mwisho wake utakuwa umewadia.Hakuna jiwe litakalobaki juu ya jiwe.Muda utasema.Kuna wale wanaohipendekeza sasa,lakini bahati mbaya watafukuzwa ccm dakika za majeruhi.
Kumbukeni kwamba,wale wote wanaoanzisha bifu na bashite,wale wanaoshindwa kutetea maslahi ya wananchi na badala yake wanatetea chama,ni sawa na mtu aliyeambiwa asikimbie, akimeza nchale, akitema chale,Hanna pa kuponea mnapumulia mashine.
Weye wasemaKwani we ndo nape
Diallo kwa CCM ni MTU muhimu mno,hawawezi kumfukuza.Kuna tetesi japo siziamini, kwamba kwenye listi ya waliofukuzwa, mbali na Nape, kuna Bashe, Dialo, Msukuma, Ngeleja na Nyalandu.
Halafu eti kuna waliopewa onyo ambao ni mstaafu JK, Ridhiwani, na Membe.
Ila sijaamini, especially kwa waliopewa onyo, ndo maana hata uzi sikuanzisha wala nini. Let's wait and see...
Nape ni CCM wewe, tuseme tu kwa chinichini kwamba huenda hii ikawa babeli flan hivi.Naye si aende tu huko kwa Machadema wenzake.
Anafanya nini CCM?
Aende tu kwa Machadema na yatampokea. Ni muda muafaka sasa naye awe kamanda😀
Acha kuwewesekaNape " Lowasa ni sawa na Maiti haiwezi kwenda Ikulu" Huyo ndo amekuwa bora huko kwenu CHAGADEMA
Relax brodah!!!.........he/she isn't worth your time, energy and happinessUnanijua wapi pimbi wewe! MAZWAZWA ndivyo mlivyo kurukia watu msiowafahamu.
Kabisa kamanda, apewe mgombea urais!Nape ni kete nzuri 2020.
That is a lack pf respect.....sawa sawaKosa la kumpiga vijembe mungu wa chama na nchi kwenye mitandao.
Akaungane na ZZKKabisa kamanda, apewe mgombea urais!
Kubakia kwenye sekretarieti haimaanishi yeye ndiyo kiongozi wa sekretarieti! Chadema bhana ndio maana Mbowe kahamia Nairobi kunywa " uji" na mgonjwa maana kina Allen ni wagumu kuelewa!!!Kwani hii ID mnaitumia watu wangapi hapo Lumumba? Maana inaonekana kila mtu anaandika la kwake. hapo chini imeandikwa kwamba Mangula ndiye pekee kabakia kwenye sekretarieti mpya, hapo juu inaulizwa wapi pameandikwa kama nani kasema Sekretarieti iko chini ya Mangula.
CC:
BAK