MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,552
- 24,166
Ndio maana Kinana ameamua kukaa pembeni..Dhalimu hahitaji kosa Mkuu ili kumvua mtu uanachama. Tusubiri kama ni kweli ila kama ni kweli chuki dhidi ya dhalimu ndani ya chama itazidi kuongezeka.
Of coz nape should stape out and we will see. Ujinga hatutaki.Habari ambazo hazijathibitishwa zinasema Nape Moses Nnauye amevuliwa uanachama wa Chama cha Mapinduzi kufuatia kikao kilichoongozwa na Mwenyekiti jijini Dar es salaam leo...
habari hizi ni za kunyapia nyapia zinzsema hata Lazaro nae yuko matatani....
Mod msiutoe huu uzi,habari hizi ni kutoka kwa mtu wa ndani kabisa ya Chama...
Kama ni kweli itakua ni moja ya maamuzi sahihi ambayo chama kimeyafanya.Kama ni kweli basi itakuwa ni Moja kati mistake ambazo mkuu amefanya.
Atajitengenezea stress zisizokuwa na maana yoyote.
wacha wayakute ili wajifunzeNape huyu huyu wa bao la mkono? Hahahaaaa wacha atimuliwe tu maana ana maneno mengiiiiiiiii!! Hasa nikikumbuka 2015 .
Alizunguka kumtukana mzee wa Monduli kumleta asie jaribiwa sasa kama ni kweli jamaa wa magogoni hana muda. Maana NAPE alipambana mnoAnalipwa kwa alichopanda. Hecco km ni kweli....
Hata Nay wamitego ameimba..utalipwa ulichopanda, na iwe kweli. Maana hizo dhurma kwa watanzania hata sijui atatubia wap
Kwa kosa lipi?
akija tunamsajili ni kiungo muhimu mpigania haki dhidi ya utawala wa kishamba wa magufuliKama ni kweli akija ukawa wamkatae maana ni makapi!
Goli la mkonoAnalipwa kwa alichopanda. Hecco km ni kweli....
Hata Nay wamitego ameimba..utalipwa ulichopanda, na iwe kweli. Maana hizo dhurma kwa watanzania hata sijui atatubia wap
We kinabo tu, nani hakujui? [emoji41]
Waswahili wanamsemo wao unaosema "Yaliopita ni ndwele tugange yajayo"....nafikiri umenifahamu...Nape huyu huyu wa bao la mkono? Hahahaaaa wacha atimuliwe tu maana ana maneno mengiiiiiiiii!! Hasa nikikumbuka 2015 .
Btw where is MakambaNape hana nguvu yoyte...ni mkwara tu..bora hata Makamba...huyo ndo anajua kichwa cha nyoka kilipo