mafuta malibate
Member
- Sep 6, 2017
- 38
- 9
Ya kweli hayo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kukosana na BashiteMmmh kwa kosa gani
Vizur sana hapo mwishon ulivomalizia. Taratibu za chama hasa kwa chama ambacho kimeunda serikal si busara kwa mbunge au kiongoz yyt yule kuanza kumshambulia kiongoz wako hadharani,nape bado alikua na nyingi mno za kumkosoa rais mwenyekiti wake.Kwa mtazamo kama wako ni halali kuendesha maandamano kumpinga magufuli. Kaz ya upinzan itakua nn?nafikir nape anafanya kaZi za upinzan. Haya anayofanya nape vijembe kejeli na majungu dhidi ya serikal ni kazi ya upinzan.Ndugu Misuli, sifikirii kama Komredi Nape ni Balidhuli kama tunavyofikiria, Nape ni mtoto wa Chama, Nape amekuzwa na CCM, Nape kasomea itikadi ya CCM chuo cha Kivukoni.
Naikumbuka siku Nape anashinda ujumbe wa NEC alikuwa bado ni Mwafafunzi pale Kivukoni, ilikuwa ni Bonge la Party ilikuwa 2002-2003.
Nape leo hii hawezi hivi hivi kumvua kanga hadharani mama mlezi aleye mlea.
Tusiwe watu wa ndiooo , tuwe watu wa kuhoji na kutafakari.
Kuhusu CDM sijui wanavyofanya kazi, naongelea chama ambazo kidogo naelewa mambo yake.
Vizur sana hapo mwishon ulivomalizia. Taratibu za chama hasa kwa chama ambacho kimeunda serikal si busara kwa mbunge au kiongoz yyt yule kuanza kumshambulia kiongoz wako hadharani,nape bado alikua na nyingi mno za kumkosoa rais mwenyekiti wake.Kwa mtazamo kama wako ni halali kuendesha maandamano kumpinga magufuli. Kaz ya upinzan itakua nn?nafikir nape anafanya kaZi za upinzan. Haya anayofanya nape vijembe kejeli na majungu dhidi ya serikal ni kazi ya upinzan.
In politics nothing happens accidentally, if it does it was planned that way (sikumbuki vzr nani alisema haya ila hayatoki kwenye memory yangu)apambane n hal yke @ goli la mkon c alipga yy
Ndiyo kalikuwa kanasubiria, kanafikiri katapata umaarufu na KIKI zaidi! Kaende, wameondoka wakina Sumaye ndio itakuwa haka katoto kadogo?! Hakajaacha pengo wala nini, kapambane na ubunge sasa..Naye si aende tu huko kwa Machadema wenzake. Anafanya nini CCM? Aende tu kwa Machadema na yatampokea. Ni muda muafaka sasa naye awe kamanda😀
Kwa habari ambazo zinaanza kuzagaa ni kuwa Nape , Nyalandu ,Musukuma na Bashe wametemwa ccm na JK ,Riziwani na Membe wamepewa onyo kali na mkuu wa Kaya tusubiri mambo yaendelee kufumuka!![emoji3][emoji3][emoji3]Hakuna ufalme uliodumu milele
Mbona unasahau mapema,walipoimba tuna imani na Lowassa mbona JK alipanick?CCM hiyo unayoisema hainafanani na hii hata kwa 1% , CCM hii haiwezi kuvumilia dhoruba bila kupanic na kuwehuka.. CCM ya JK ilikaa zaidi ya miaka 5 ikivumilia na kupambana na dhoruba za EL na ikapita salama... CCM hii sidhani kama itaziweza dhoruba za EL na vijana wake wa ulipo tupo tena na haya mengine wanayoyachokonoa kila siku..hatariiii
Kama unajisikia kuwashwa ingia ulingoni,tumeona wangapi au tumeshuhudia wangapi?
Oscar Kambona,Tumtemeke Sanga,Kassim Hanga,Kassanga Tumbo,Choga,Kaneno,Aboud Jumbe,Horice Kolimba,Mama Simba na wengine wengi.