Tetesi: Inasemekana Nape Nnauye kavuliwa Uanachama wa Chama cha Mapinduzi..

Tetesi: Inasemekana Nape Nnauye kavuliwa Uanachama wa Chama cha Mapinduzi..

Status
Not open for further replies.
Ndugu Misuli, sifikirii kama Komredi Nape ni Balidhuli kama tunavyofikiria, Nape ni mtoto wa Chama, Nape amekuzwa na CCM, Nape kasomea itikadi ya CCM chuo cha Kivukoni.

Naikumbuka siku Nape anashinda ujumbe wa NEC alikuwa bado ni Mwafafunzi pale Kivukoni, ilikuwa ni Bonge la Party ilikuwa 2002-2003.

Nape leo hii hawezi hivi hivi kumvua kanga hadharani mama mlezi aleye mlea.

Tusiwe watu wa ndiooo , tuwe watu wa kuhoji na kutafakari.

Kuhusu CDM sijui wanavyofanya kazi, naongelea chama ambazo kidogo naelewa mambo yake.
Vizur sana hapo mwishon ulivomalizia. Taratibu za chama hasa kwa chama ambacho kimeunda serikal si busara kwa mbunge au kiongoz yyt yule kuanza kumshambulia kiongoz wako hadharani,nape bado alikua na nyingi mno za kumkosoa rais mwenyekiti wake.Kwa mtazamo kama wako ni halali kuendesha maandamano kumpinga magufuli. Kaz ya upinzan itakua nn?nafikir nape anafanya kaZi za upinzan. Haya anayofanya nape vijembe kejeli na majungu dhidi ya serikal ni kazi ya upinzan.
 
Vizur sana hapo mwishon ulivomalizia. Taratibu za chama hasa kwa chama ambacho kimeunda serikal si busara kwa mbunge au kiongoz yyt yule kuanza kumshambulia kiongoz wako hadharani,nape bado alikua na nyingi mno za kumkosoa rais mwenyekiti wake.Kwa mtazamo kama wako ni halali kuendesha maandamano kumpinga magufuli. Kaz ya upinzan itakua nn?nafikir nape anafanya kaZi za upinzan. Haya anayofanya nape vijembe kejeli na majungu dhidi ya serikal ni kazi ya upinzan.

Nape kumpinga Uncle ni faida ya sisi wananchi. Maana hata kama kuna ujinga kina Uncle wanataka kufanya itabidi wafikirie mara 2 kwa sababu wanajua kuna mtu atawa challenge

Kwa sasa upinzani wa nchi hau fanction vya kutosha kutoka na hali ambayo wote tunaifahamu.

Kwa hiyo sio mbaya kama upinzani wa ndani ukiwa active.

Hii yote ni kwa faida yetu sisi.
 
Mnatapatapa kama mwanamke mjane chama chetu ni chama chenye misingi na upana wa demokrasia sio kama hicho cha one man show
 
apambane n hal yke @ goli la mkon c alipga yy
In politics nothing happens accidentally, if it does it was planned that way (sikumbuki vzr nani alisema haya ila hayatoki kwenye memory yangu)
 
Naye si aende tu huko kwa Machadema wenzake. Anafanya nini CCM? Aende tu kwa Machadema na yatampokea. Ni muda muafaka sasa naye awe kamanda😀
Ndiyo kalikuwa kanasubiria, kanafikiri katapata umaarufu na KIKI zaidi! Kaende, wameondoka wakina Sumaye ndio itakuwa haka katoto kadogo?! Hakajaacha pengo wala nini, kapambane na ubunge sasa..
 
Naam! Ahamie chadema ili atuongezee idadi ya wabunge wa upinzani serikali ijayo
 
Hakuna ufalme uliodumu milele
Kwa habari ambazo zinaanza kuzagaa ni kuwa Nape , Nyalandu ,Musukuma na Bashe wametemwa ccm na JK ,Riziwani na Membe wamepewa onyo kali na mkuu wa Kaya tusubiri mambo yaendelee kufumuka!![emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hiyo safi sana kama itakuwa kweli! Tanzania lazima isonge mbele bila Nape. Vijembe, mipasho na Unafiki kwenye chama chochote havivumiliki. Halafu asilazimishe kusujudiwa.
 
CCM hiyo unayoisema hainafanani na hii hata kwa 1% , CCM hii haiwezi kuvumilia dhoruba bila kupanic na kuwehuka.. CCM ya JK ilikaa zaidi ya miaka 5 ikivumilia na kupambana na dhoruba za EL na ikapita salama... CCM hii sidhani kama itaziweza dhoruba za EL na vijana wake wa ulipo tupo tena na haya mengine wanayoyachokonoa kila siku..hatariiii
Mbona unasahau mapema,walipoimba tuna imani na Lowassa mbona JK alipanick?
Kama haitoshi aliwachukulia hatua vinara na kuwavua uanachama,Mama Simba ni mmoja wapo.
Lowassa hakuridhika akaondoka chamani na Sumaye,Kingunge,Marsha na wengine wengi.
Mtu ambaye usingemfanyia foko akakuvumilia bila kuchelewa ni Nyerere,na sasa kuna JPM.
Unajua kwanza neno panick au umeteleza?
 
Kama unajisikia kuwashwa ingia ulingoni,tumeona wangapi au tumeshuhudia wangapi?
Oscar Kambona,Tumtemeke Sanga,Kassim Hanga,Kassanga Tumbo,Choga,Kaneno,Aboud Jumbe,Horice Kolimba,Mama Simba na wengine wengi.

Ntakuwa nyuma yako kukupa ujasiri.
 
Oil Chafu. Nape na Lowassa. Wapi na wapi..... Nape aliwai kufukuzwa CCM kabla. Na kurejea. Kisa hasa ni ogovi kti yake na Lowassa. Tusubiri kwanza
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom