Inasemekana wanawake wa thirty plus (30+) hawana maana katika maisha ya ndoa ya sasa

😂😂😂😂😂
Brooooo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kama nakuona vile
 
Mwanamke aliefika miaka 30 na hajaolewa huyo ni mjane hata Kama hajafiwa na mume miaka yote hiyo watu wanaiburuza na hawajaona ikifaa kuwekwa ndani we unaenda kujibebesha msala
Siyo poa bana.

30+ ndo wanayajua maisha sasa na wameamua kutulia. Kimapenzi ni kweli wanaweza kuwa wameumizwa na kutumika sana hasa kama walikuwa hawajatulia lakini wanajua thamani ya mapenzi na ndoa.

Best wives [emoji736]️

Best mothers [emoji736]️

Best economists kwa maendeleo ya familia [emoji736]️

Power couple [emoji736]️
 
Hawawezi kukuelewa, 30+ ndio wanawake bora zaidi
 
Kumbe ni mtazamo wako!!
 
We phaller unakula kwenye tv yaani watu wanaona live lkn wenzio ni mwendo wa kimya kimya...hivyo utajikuta unapitia makapi[emoji1787][emoji1787].

Hadi sasa initial hizi...L na C umefuta daah
Ganda la muwa la jana chungu kaona kivuno!

Mitandaoni humu unaweza kujiona we ndo mfalme wa Alpha males kumbe njemba za kimya kimya zinakuchora tu unavyohangaika na makapi.

Ni vyema kutulia na kulisoma gemu kwanza vinginevyo waweza jikuta unahangaika hata na mtu ambaye keshapitiwa na kila baharia...

Ni hatari sana lakini salama! [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Umemaliza kila kitu.
Mbwa asiye bweka ni hatari sana.
 
Vita dhidi ya wanawake ni heavy!
Mungu asaidie tuolewe kabla ya huo umri aisee! Kazi kweli kweli!!!
Hapana. Usitishwe na vijana wadogo hawa. Wengi wao bado wako mashuleni na vyuoni huko na hawayajui maisha sawasawa.

30+ ndo wanawake wa kuoa sasa. Wameshamalizana na utoto na wanajua thamani ya ndoa na maisha. Below 30 wengi ni pasua kichwa na ukikuta na mwanaume naye hajakomaa basi ni shida tupu. Ndo maana ndoa nyingi hazidumu!

 
Mwanamke mwenye maiak 30 huyo jua limeshazama kwenye soko la ndoa huwa wanaingia kwa msaada wa ndumba na ukijichanganya ukawa nae anakuganda balaa
 
Vita dhidi ya wanawake ni heavy!
Mungu asaidie tuolewe kabla ya huo umri aisee! Kazi kweli kweli!!!
Joline mwanangu, hii ni jf.
Unaweza kukuta wanaondama wanawake 30+ ni choka mbaya na hawawezi hata kumiliki mwanamke.
Niwatie moyo wadada wote wanaokimbilia 30 na waliovuka...
Wasijipe presha kila mtu na majira yake.

Wapo wengi wameolewa wakiwa na 22-25 lkn wamejikuta ni ma single parent wameachika, sababu kubwa waliinhiwa ndoani wakiwa watoto na hawajui majukumu yao kama wake.
Lakini 30+ huyu ni mwanamke na mama bora wa familia.
Msichojua mwanaume pia hupenda kulelewa kiaina, kuna vionjo flani anavitarajia toka kwa mwanamke.
39+ ndio huo utundu, ujanja na utukutu wa kumteka mwanaume wanao kwasababu wanajua thamani ya mwanaume.
Kwa maneno haya imarika na usitetereke hata ukivuka mume wako yupo tu😘😘
 
Umemaliza kila kitu...

Maneno ya busara sana!

JF hii ya kila mtu tajiri...

Kila mtu ana kazi nzuri...

Kila mtu ana pisi kali tena anazibadilisha anavyotaka...na zikizingua anapiga chini fasta!

Ni ya kuwa nayo makini sana maana inaweza kumharibu mtu kisaikolojia.
 

Wanasema siwezi kuwa masikini mtaani na mtandaoni niwe kapuku🤣🤣
 
Nko ktandan kwake saiz. Yeye anafua nje,,nawaza sjui nimdinye au niondoke zangu mana nalinda sana future yanguh. Hawa 30+ wanajua sana kutunganganiza wanaume
 
Mwenzao huku kanipiga kibunda cha 67k na sijaambulia hata mate yake kwenye glass [emoji24][emoji24]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…