Inasemekana watu wengi wenye hii alama kwenye sikio wana hatma ya kuwa matajiri

Nna mpwa wangu ana mwaka na nusu na baba yake amemkataa. Sasa sijui atawekewa hizo pesa na naniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Baba amemkataa lakini familia nayo imemkataa?. Unajua kuna watu wa dini wanamkubali Mungu lakini wasio na dini wanamkataa Mungu?.

Huyo mpwa wako angalia ukuwaji wake utauona wenye nishati flani ya upendo na mafanikio yenye bahati.
 
Of course Babu yake ana mkwanja na anampenda sana
 
Nyanda za juu kusini watu wengi wanavyo hivyo vishimo.
(Iringa, Mbeya, Njombe, Ruvuma n.k).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…