Inashangaza kuona Naibu Waziri anaeshutumiwa kuwaamuru askari wa uhifadhi wawaachie ng'ombe waliokamatwa bonde la Ihefu bado yupo ofisini

Mashimba anakipi ambacho amekifanya kinachoweza kuonesha ubunifu unaoweza saidia wafugaji kwenye wizara ya mifugo?
Kama mashimba anaona kwamba mifumo iliomuweka ofisini inamkwamisha kwanini hajiuzuru anaendelea kung'ang'ania ofisi?
Nitajie ubunifu wa kila waziri kwenye wizara yake ndipo tupime na kuamua kuwa Mashimba ni mzigo. Vinginevyo yatabakia kuwa majungu na chuki binafsi tu.
 
 
Lazima abakie Ofisini hana soni, na kipindi cha kuusaka ubunge alishatoa rushwa sana hadi chama kikampitisha na wananchi wakampa kulipa fadhila. Sasa unategemea nini?
 
Kuanzia rais mpaka wabunge wake wote ni watu wa hovyoo
 
Si mpaka aambiwe na captain? Akitumbua atatumbuliwa pia.
 
Serikali ya mama ni dhaifu sana, ni kibogoyo haina meno ya kung'ata!.
 
Huyu Mashimba unahangaika bure kumtetea,ukweli ni kwamba Waziri wa mifugo ni mzigo,tuweke usukuma pembeni huyu waziri anapwaya kwenye hii wizara
Kwahiyo makamba ndo anatusua siyo?
 
Kuna hawa wawili kaswaswadu na mwakibolibo
 
Kwa huu mfumo mbovu hata wewe mkuu leo ungekuwa Rais madudu yangeendelea kama kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…