Huu ni upotoshaji sidhani kama ruhusa inamuhusu kila mfanyakazi wa serikali; walimu, manesi, dokta, mhasibu, karani, dereva etc kama wanaweza gombea sidhani kama wamezuiliwa.
Walioteuliwa nafasi zao na raisi; na wakiacha ni raisi pekee ndio anaeweza teua tena kujazia hizo nafasi hao ndio nilivyoelewa mimi wakitaka mawili moja litapokonywa.
Mbona ni onyo ambalo Magu kalitoa mapema sana wakati anaingia madarakani kwa wateuliwa.
Inaonekana wengi wetu sio wasikilizaji wazuri watu wanapokuwa wanaongea maana hili jambo ata Dr Bashiru ameliongelea sana. Tumezoea matamko ya viongozi ambao wengi awayasimami wakisha ropoka this dog bites and he means business.