Inasikitisha Iran kuwafukuza raia milioni 2 wa Afghanistan waliokimbia utawala wa Taliban

Hawa waislamu wa kwa mtogole hawaelewi kitu.
Siku moja walikuwa wanabisha kwamba zile alif , bā, tā si kiarabu, bali ni kiislamu.
Tulijaribu kuwaelewesha kwamba Alif, bee ni Sawa na A,B, C za kiarabu na kwamba hakuna lugha inaitwa kiislamu, ni kiarabu tu, lakini jitihada zetu ziligonga mwamba wa ujinga waliokuwa nao maisha yao yote .
 
Yaan ukisoma haya mambo ya iran,israel ndio utajua watu humu ni wapumbavu kiasi gani,yaan wanashabikia mambo kibwege sana kisa tu huyu ana mapenzi na israel na huyu ana mapenzi na iran

Iran kuondoa watu nchini kwakwe kwa kutofuata taratibu leo inaonekana ni shida,tangu lini nyie wagalatia wa buza mmeanza kuwapenda waislamu wa nchi nyingine kama sio unafiki ni nini?

Kila nikisoma hizi mada zenu za iran na israel naona upuuzi mwingi sana kiasi ambacho nakereka sana

Hivi hamuwezi kujadili mada objectively bila kuhusisha uislamu na ukristo/uyahudi?

Ni watu wachache sana utawakuta wanajadili mada bila kuvutwa na hisia za dini,lkn wengine ni ushabiki tu wa kipumbavu

Acheni ujinga
 
Majinga sana yao habari zao wanatafuta mbayatu kwa iman za wenzao sasa anaoji kufukuzwa mbona akja kuwapongeza wakati walipotoa msaada tena miaka mingi wanawatunza mashilika ya UN kimya ayakupelaka chochote. Apa kwetu uwa waamiaji atuwatimui tikiona kuna aja ya kufanya ivyo. Unafikuna ndio huuuuu 😂😂😂
 

Kwa hiyo wenyewe wanafikiri kuna lugha inaitwa kiislam. Duu, kweli ujinga ni mzigo wa kuni. Asante pia kwa kunifundisha kuhusu alfabeti za kiarabu, ambazo waislam wa kwa mtogole wanaita ni silabi za kiislam.
😛
 
Dini ni hiyo aliyokufundishsa Nabii wako Tito au vipi?
Acha kujizima data bro. Wewe mpaka sasa hujui waarabu na ujinga wao wa akili wanatumia uislam kama propaganda machinery ya kuwapumbaza wajinga duniani kotee kwa kueneza utamaduni wao?
Wee ukiona dini inapuuza lugha yako ya asili ambayo unatumi, inadharau majina yako ya asili. Vitu ambavyo ni msingi wa utamaduni na utambulisho wako. Hiyo ni dini ya kuiogopa kama ukoma.
 
Hatari sana mkuu.

Mimi nitakuja kuamini kwamba uislam ni dini, mpaka pale watakapo tenganisha na lugha ya kiarabu pamoja na desturi zote za kiarabu. Vinginevyo nitaendelea kuitazama kama chombo cha kueneza mila na desturi za kiarabu.
 
Mimi nitakuja kuamini kwamba uislam ni dini, mpaka pale watakapo tenganisha na lugha ya kiarabu pamoja na desturi zote za kiarabu. Vinginevyo nitaendelea kuitazama kama chombo cha kueneza mila na desturi za kiarabu.
Hosea 4:6
Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako.
 
Uliambiwa na Mchungaji wako Nabii Tito ? Mbona biblia inatuambia watu wote walikuwa na lugha moja
 
Hosea 4:6
Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako.

Sasa ntapataje maarifa kwa lugha nisiyoijua?
Mimi mmatengo na kiarabu wapi na wapi!!?
 
Hawafukuzwi ila wanarudi nyumbani baada ya nchi kuwa shwari baada ya wavamizi kutimuliwa na Taliban. Kwa hiyo wanarudi nyumbani waishi kwa amani. Nyumbani ni nyumbani tu
Mvamizi baada ya kupoteza US$ trillion mbili na nusu kakimbia na mkia kaweka kwenye nya yake huku kaacha zana Kem Kem
Chezea wengine sio Taliban
 
Hapa ndipo maana bwana akasema mnaangamizwa juu umeandika wanasoma lugha hapa unaandika utapataje maarifa hujui kua maarifa yanatafutwa kwa kusoma.

Mimi sijui kiarabu. Sasa nitatwaaje maarifa wakati sijui lugha ya mtume??
 
Unajua kusoma kwa ufahamu?
Inaonesha hata kiswahili pia hujui.

Anyway, wewe usielekeze mjadala kwenye kwenye vitu vidogo vidogo.
Jibu suala la msingi. Je uislam kama chombo cha kueneza desturi za kiarabu umefanikiwa kwa kiasi gani kufanya kazi hii?
 
Anyway, wewe usielekeze mjadala kwenye kwenye vitu vidogo vidogo.
Jibu suala la msingi. Je uislam kama chombo cha kueneza desturi za kiarabu umefanikiwa kwa kiasi gani kufanya kazi hii?
Nani kakwambia kutokujua kusoma kwa ufahamu ni kitu kidogo.?
Au ndio Hosea 4:11
Uzinzi na divai na divai mpya huondoa fahamu za wanadamu.
 
Sasa mtu anakimbia taleban kisa wana utawala wa kidini kisha akimbilie iran, je iran ina utawala gani?
Lazima wawafukuze, walichokikimbia Afghanistan ndio kipo iran,
Mmeshindwa huko, hamuwezi huku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…