Nani kakwambia kutokujua kusoma kwa ufahamu ni kitu kidogo.?
Au ndio Hosea 4:11
Uzinzi na divai na divai mpya huondoa fahamu za wanadamu.
SawaLakini wazo langu ni hili, "sitakuja kuuona uislam kuwa ni dini mpaka pale ambapo utajitenga na lugha ya kiarabu, waarabu na ulimwengu wa kiarabu"
Shida iko wapiLakini wazo langu ni hili, "sitakuja kuuona uislam kuwa ni dini mpaka pale ambapo utajitenga na lugha ya kiarabu, waarabu na ulimwengu wa kiarabu"
Mimi mwenyewe mvaa kobazi kwa hili nakiri. Jamii za watu wa Asia kitu kinaitwa humility HAWANA. Ukweli mchungu.Imagine hii dunia ingetawaliwa na wavaa kobazi, ingekuwa si salama wangetuua..mmae
Si wewe najua Shetani hataki kabisa uijue kweli. Ni majini/mapepo ambayo hayataki ueleweNdipo alipokuambia Yesu hapo kuwa yeye ndiye njia ? Ugalatia ni kazi
Iran na Uturuki ndio mataifa yenye wakimbizi wengi duniani, chukua wakimbizi wote Ulaya Nzima hawafikii hizo nchi mbili.Waislamu wahanga wa vita hukimbilia nchi za ulaya, na amerika. Ukikimbilia kwa taifa la kiarabu wanaweza kukuua.
Imagine hii dunia ingetawaliwa na wavaa kobazi, ingekuwa si salama wangetuua..mmae
Hayo ni maneno ya Yesu? Una akili wewe? Yaani nikikuambia Yesu Aliniambia alitafuta mke Afrika, Hayo yatakuwa maneno ya Yesu?Si wewe najua Shetani hataki kabisa uijue kweli. Ni majini/mapepo ambayo hayataki uelewe
Yohana 14:6
Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
Nyinyi mnayo hiyo humility ?Mimi mwenyewe mvaa kobazi kwa hili nakiri. Jamii za watu wa Asia kitu kinaitwa humility HAWANA. Ukweli mchungu.
Umepaniki tayari. Ukiombewa yakatoka mapepo uje tujadili. Ukiwa sober.Hayo ni maneno ya Yesu? Una akili wewe? Yaani nikiäkuambia Yesu Aliniambia alitafuta mke Afrika, Hayo yatakuwa maneno ya Yesu?
Kwanini hawapendani?Waislamu wahanga wa vita hukimbilia nchi za ulaya, na amerika. Ukikimbilia kwa taifa la kiarabu wanaweza kukuua.
Aliyepagawa ni wewe unayeleta maneno ya watu wasiojulikana wanaompakazia Bwana YesuUmepaniki tayari. Ukiombewa yakatoka mapepo uje tujadili. Ukiwa sober.
Shida iko wapi
Kwahiyo mzungu ni mtu mwema sio! Iraq, libya, Afghanistan, Syria kuna amani?
Unaweza kudhibitisha?Shida iko pale wanapodanganya watu kuwa ni uislam ni dini, wakati ni chombo cha waarabu cha kuendeleza na kueneza mila na desturi zao.
Unaweza kudhibitisha?
Hicho ni kitabu gani ?Hilo liko waazi kabisa. Maana mnafundwa msikitini kwa kutumia kiarabu, mnavaa nguo za kiarabu, mnapewa majina ya kiarabu, mnakaa msikitini kiarabu nk.
Halafu mwisho wa siku hao hao wanaowapokea ndo wanaonekana wabaya na makafiri.Hao nao walijichanganya wapi? Wajanja wanakimbilia jamuhuri za Wagalatia. Kule wanapokelewa watu wa kila aina hadi wahamiaji haramu.
Kila mtu angekuwa mwislamu ili asiuaweImagine hii dunia ingetawaliwa na wavaa kobazi, ingekuwa si salama wangetuua..mmae
Sio ya wagalatia basi tuseme ni ya waaarabuunaweza kunitajia nchi moja tu ya wagalatia duniani ??