Inasikitisha Iran kuwafukuza raia milioni 2 wa Afghanistan waliokimbia utawala wa Taliban

Mimi mtu mweusi naweza kwenda us nikaishi na wazungu kwaamani kabisa ila sasa wewe mfia dini wa kiarabu nenda irani ukajaribu uone cha mtema kuni.
 
Hicho ni kitabu gani ?

Sijui ni kitabu gani, lakini wafuasi wa imani hiyo ambayo ina asili ya kiarabu wanajielekeza zaidi kwenye mila na desturi za kiarabu. A total way of life ambayo inatia ndani imani yao.
 
Hilo liko waazi kabisa. Maana mnafundwa msikitini kwa kutumia kiarabu, mnavaa nguo za kiarabu, mnapewa majina ya kiarabu, mnakaa msikitini kiarabu nk.
Huwa sipendi porojo

Kwahiyo hiyo ndio dini ya kiislamu?
 
Sijui ni kitabu gani, lakini wafuasi wa imani hiyo ambayo ina asili ya kiarabu wanajielekeza zaidi kwenye mila na desturi za kiarabu. A total way of life ambayo inatia ndani imani yao.
Kwani wewe ni mfuasi wa dini gani?
 
Ndio maana mkaamua mwende kanisani mpige magoti na mkae kwenye mabenchi ili mue tofauti na yesu anaetawadha na kusujudu wakati wa ibada yake.

Angalau Magalatia wanajitambua. Hawaigi kila desturi ya mayahudi. Lakini kwa maislam yanameza kila kitu kama dodoki. Kuanzia lugha za kwenye ibada zao, kuvalia mavazi mpaka majina yao, yamekaa ki mudi mudi tu.
 
Ndio maan wagalatia wakaamua kujiita alex na kuvaa suti wakaacha kufuga ndevu na kuvaa kobaz kama yesu

Na ukawaona wanaakili sidhani kama uko sawa.
 
Mbaya zaidi wakifika huko wanakuwa wao ndio wafanya fujo, kiuhalisia Hawa hawafai kupokelewa.
Waislamu wahanga wa vita hukimbilia nchi za ulaya, na amerika. Ukikimbilia kwa taifa la kiarabu wanaweza kukuua.
 
Mbaya zaidi wakifika huko wanakuwa wao ndio wafanya fujo, kiuhalisia Hawa hawafai kupokelewa.
Wanaandamana kuwatetea watesi wao. Nilikuwa naona maandamano ya waislamu huku ulaya, na america wakisema Ilaaniwe Israel kuwapiga HAMAS na Hesbulah. Nikashangaa sasa magaidi tena ndiyo yanatetewa, yanayo wafanya wanakimbia nchi zao, kama walivyofanya Taliban.
 
hivyo vituo tu kama sisi Tanzania tulivyo kituo cha wakimbizi wa Rwanda,Burundi na DRC. Tuanapata pesa kutoka UN refugee relief za matunzo ya hao wakimbizi, na wao vivyo hivyo.

Na wengi wako on transit kuelekea Ulaya na America. Wanasubiri vetting kujua je ni wakimbizi kweli au magaidi yaliyojichanganya na wakimbizi. Hizo nchi ni vituo vya kupitia tu siyo makazi yao, ndio maana hawana makazi ya kudumu nchi hizo, wanaishi kwenye makambi ya ukimbizi miaka yote.
 
Wanakimbilia kwenye Nchi za Makafiri wenye Ranch za Nguruwe na mabucha katika supermarket kila kona bado kuna Bar na Night Clubs na viwanda vya kurekodi Pornograph

How comes Waislam wenye imani wanaenda kuishi katika maeneo yaliyojaa Ukafiri hivyo?
Njaa haina bauncer.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…