Inasikitisha kanisa katolilki nalo limeingia kwenye kundi la makanisa ya mchongo; ushahidi huuu hapa!

Hayo mashule, hospitali na vyuo watu wanasoma na kutibiwa bure mkuu? Na je pesa wanazotuma Roma kwa mabeberu zina manufaa gani kwa watoa sadaka? Think twice mkuu. Otherwise utaendelea kukamuliwa hadi Yesu wa kweli atakaporudi.
Watu wasome bure kwa fedha zipi? Hata hizo wanazotoa kama ada bado hata hivyo Kanisa kupitia waumini wanawajibika kuendelea kuchangia ili hizo huduma ziendelee, au hujui hayo.

Pesa zinatumwa Roma ni kidogo sana na ni kama kodi ili kuendeleza uinjilishaji sehemu nyingine duniani ndio maana Kanisa Katoliki lipo kila mahali na linazidi kuenea kila pahali duniani.

Ukiwmwambia mtu wa Mwamposa au Mwingira na Geo Davie think twice ni sawa kabisa, kwani makanisa haya hayana hata shule za vidudu, au hata kituo cha afya cha kusafisha vidonda lakini Kanisa Katoliki lina utitiri wa shule, vyuo, hospitali n.k. duniani pote na ndio waanzilishi wa misingi mingi ya elimu na utabibu duniani tangu enzi na enzi. Unawezaje kusema ni upuuzi kuchangia sadaka Kanisa Katoliki?

Angalia tu hapa ka-sehemu kadogo mno ka mifano ya michango ya Kanisa. Hili ni taasisi ya baraza la maaskofu wa Marekani tu inaitwa Catholic Relief Services (CRS) at crs.org na wanatoa misaada ya matrilioni dunia nzima! Umekurupuka kwa chuki zisizo na msingi tafadhali fikiri upya.
 
Mimi nilidhani utatuwekea picha halisi ya Yesu ndugu yako, sisi wengine hatumjui hivyo hatuna uhakika wa sura yake.
 
Ukiwa na akili ya kutoa sadaka au ZAKA kwaajili ya padri,mchungaji nk na sio MUNGU lazima useme unachosema.. toa sadaka kwaajili ya Mungu huyo mtumishi akila au akitumia vibaya MUNGU aneona Sirini atampa anachostahili.
 
Nimeamua kumfuata Baba Yah El'Elyon pekee na sio dini za mapokeo na dini biashara. Ninauona utukufu baada ya kutoka kwenyefumo huo wa Babeli
 
Ukiwa na akili ya kutoa sadaka au ZAKA kwaajili ya padri,mchungaji nk na sio MUNGU lazima useme unachosema.. toa sadaka kwaajili ya Mungu huyo mtumishi akila au akitumia vibaya MUNGU aneona Sirini atampa anachostahili.
Kwanini uendelee kutoa pesa wakati unaona kabisa kuwa mtume anaenda kujengea hoteli na kupiga pesa badala ajenge sunagogi (nyumba ya Mungu)? Hizo zitakuwa akili au matope?
 
Sema parokia unalosalia kwanza isije kuwa unayo mambo yako tu juu ya kanisa.
 
Ukiacha kizazi cha miaka 2000 iliyopita cha Yesu, hata kizazi cha akina Isaac Newton hakuna picha zao, isipokuwa zinatumika potrait.

A portrait is an artistic representation, such as a painting, photograph, or sculpture, that focuses on capturing the likeness and personality of a person. It often emphasizes the face and its expression, aiming to reveal the subject's character, mood, or even a specific moment in time.
 
Roman empire 😎 kaisome roman empire ndipo ujue ""THE NIGHTMARE OF ROME""
 
Kwanini uendelee kutoa pesa wakati unaona kabisa kuwa mtume anaenda kujengea hoteli na kupiga pesa badala ajenge sunagogi (nyumba ya Mungu)? Hizo zitakuwa akili au matope?
Nasemea kanisa katoliki ambalo ndo umelitaja kwenye mada yako..
 
Ndugu salamu maria , Wala baba yetu hazitakusaidia zaidi ya kutumikia miungu ya Roma Cha msingi kwako MUAMINI KUWA YESU NDIYE NJIA SAHIHI YA KUKUFIKISHA KATIKA UZIMA MTUMAINI NA OMBA REHEMA NA TOBA achana na hayo ila MUNGU WA WALOKOLE ana nguvu sana kuliko hivyo vielelezo vya Rumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…