Inasikitisha! Mmoja wa viongozi wa vyuo vikuu vyetu nchini anavuta bangi

Inasaidia nini sasa wivu tu huwezi shindana na akili kubwa, mtu akipewa kapewa tu na ndio imeisha hio
 
Mtu anahukumiwa kwa matendo yake. Watu unaokutana saa tano asubuhi,wakati mwingine ,jana saa tano usiku walikuwa wamelewa chakari. Wewe hukuwaona. Kwa hiyo mtazame mtu aliye mbele yako mhukumu kwa matenda yake
Vitu vya kawaida sana, hizo ni starehe zake tu.
Mjomba alikua anagonga bangi vizuri tu akiwa na miaka 70+.
Hakuna wa kumuingilia mpk kifo.
Na alikua Mwalimu mkuu huko kijijini.
 
Achaga ufala wewe Sasa shida ya kaya ni Nini?
20250720_100400.jpg
 
Yawezekana Bangi ina faida kwa baadhi ya watu, lakini kimazoea ya heshima ya jamii ya ki-tanzania, kila mvuta bangi hapewi heshima kiasi kikubwa. Hata kama anafanya mambo ya maana kila wakati hutiliwa mashaka.

Hiki ninachoandika ni taarifa rasmi niliyopewa toka kwa classmate wa mmoja wa viongozi wa vyuo vikuu vyetu vya umma, kwamba ni mvutaji bangi. Alivuta wakiwa shuleni, chuoni na hata sasa anavuta. Hiyo ndo hali halisi ya nchi ilipofika. Sijui kama anaongoza vizuri au anaongoza kibangi-bangi!
Nini kuvuta, kwetu Iringa bangi ni mboga kama ulivyo mchicha
 
Yawezekana Bangi ina faida kwa baadhi ya watu, lakini kimazoea ya heshima ya jamii ya ki-tanzania, kila mvuta bangi hapewi heshima kiasi kikubwa. Hata kama anafanya mambo ya maana kila wakati hutiliwa mashaka.

Hiki ninachoandika ni taarifa rasmi niliyopewa toka kwa classmate wa mmoja wa viongozi wa vyuo vikuu vyetu vya umma, kwamba ni mvutaji bangi. Alivuta wakiwa shuleni, chuoni na hata sasa anavuta. Hiyo ndo hali halisi ya nchi ilipofika. Sijui kama anaongoza vizuri au anaongoza kibangi-bangi!
Bangi ina shida gani?
 
Umeandika kama vile umekasirika sanaaa, wakati ni kitu cha kawaida. Heshima heshima utajiju nayo.. cheo anacho.. Wewe je?
Sometimes nawaheshimu sana wavuta bangi ila ndio hivyo kuna yule mwamba ambae hana mbegu za kiume anawachukia balaa sasa watakapoachia faili lake la majamaa kua anawaachiaga mlango wa nyuma ukiwa wazi sijui itakuaje
 
Jamaa alimaliza, It is not a sin as long as there is a permission

Bangi ni dhambi kwakuwa tuu haijaruhusiwa si ndio maana yako..

Ushoga kwasasa ni dhambi kwakuwa haujaruhusiwa kama ilivyo Bangi, ila pombe sio dhambi kwa kuwa imeruhusiwa,

Kwasasa kuna vita inaendelea hapa nchini, walevi wanakamata wavuta Bangi na kuwaweka sero, ni lini itafika tamati, vita hii ya mvuta bangi na mlevi
 
Bangi ina shida gani?
Ina shida na yule bwamdogo aliewekwa Kitengo fulani somebody Lymo inasemekana leo na Jana kakamata Tani kadhaa za Mbolea ndani ya hio Mbolea wajuba wamepakia dawa za kulewesha Ubungo sijaui walikua wanaenda kulewesha Mazao gani,
 
Kwasasa kuna vita inaendelea hapa nchini, walevi wanakamata wavuta Bangi na kuwaweka sero, ni lini itafika tamati, vita hii ya mvuta bangi na mlevi
Hahaha nimecheka kidogo Walevi ndio wale jamaa waoga waoga?
 
Mtu anahukumiwa kwa matendo yake. Watu unaokutana saa tano asubuhi,wakati mwingine ,jana saa tano usiku walikuwa wamelewa chakari. Wewe hukuwaona. Kwa hiyo mtazame mtu aliye mbele yako mhukumu kwa matenda yake
Matendo yake ni kuvuta bangi
 
Hahaha nimecheka kidogo Walevi ndio wale jamaa waoga waoga?
Mchana mlevi anakamata wavuta Bangi usiku, mlevi anaenda kutamba bar kwa kukamata wavuta Bangi,

Mfano hai ni afande kipeta, yupo pale udsm, mchana anahangaika na wavuta Bangi, usiku anaenda kukesha bar,

Sanders alisema, it is good unto itself, Imani inayofanya kazi kwenye maisha ya kisasa ni budhism, na njia ya kuelekea huko ni marijuana,

Vyakula pendwa Kwa maeneo mengi ya Tanzania hasa mijini, ni wali na viazi, wali unazalisha wavuta bangi huku ndugu viazi akizalisha walevi,
Wakae chini wayamalize
 
Yawezekana Bangi ina faida kwa baadhi ya watu, lakini kimazoea ya heshima ya jamii ya ki-tanzania, kila mvuta bangi hapewi heshima kiasi kikubwa. Hata kama anafanya mambo ya maana kila wakati hutiliwa mashaka.

Hiki ninachoandika ni taarifa rasmi niliyopewa toka kwa classmate wa mmoja wa viongozi wa vyuo vikuu vyetu vya umma, kwamba ni mvutaji bangi. Alivuta wakiwa shuleni, chuoni na hata sasa anavuta. Hiyo ndo hali halisi ya nchi ilipofika. Sijui kama anaongoza vizuri au anaongoza kibangi-bangi!
Bangi ni Dawa
 
Mchana mlevi anakamata wavuta Bangi usiku, mlevi anaenda kutamba bar kwa kukamata wavuta Bangi,

Mfano hai ni afande kipeta, yupo pale udsm, mchana anahangaika na wavuta Bangi, usiku anaenda kukesha bar,

Sanders alisema, it is good unto itself, Imani inayofanya kazi kwenye maisha ya kisasa ni budhism, na njia ya kuelekea huko ni marijuana,

Vyakula pendwa Kwa maeneo mengi ya Tanzania hasa mijini, ni wali na viazi, wali unazalisha wavuta bangi huku ndugu viazi akizalisha walevi,
Wakae chini wayamalize
Afande Kipeta anapiga sana mitungi
 
Matatizo ya akili & mapafu
Acha uongo mapafu yaan inaleta TB, Fela Anikulapo Kuti na Bob Marley wangekufa kabla ya muda wao ila Bob Cancer na Fela UKIMWI, Bangi ipo wapi hapo?
 
Back
Top Bottom