Inasikitisha! Mmoja wa viongozi wa vyuo vikuu vyetu nchini anavuta bangi

Kipi kilianza, U-Profesa ama bangi.
Mtu aache asili yake kisa Title ya Academic?
 
Hii habari ya hovyo sana. Mtu kama anavuta na anaendelea na kazi zake kama kawaida haina tatizo. Binafsi nimesoma na vipanga wavutaji ambao kwa sasa baadhi yao ni viongozi wakubwa kwenye taasisi nyingi.. na hadi leo wanavuta.
 
Sometimes nawaheshimu sana wavuta bangi ila ndio hivyo kuna yule mwamba ambae hana mbegu za kiume anawachukia balaa sasa watakapoachia faili lake la majamaa kua anawaachiaga mlango wa nyuma ukiwa wazi sijui itakuaje

Mwamba ni nani?
 
Sasa kama avutii ofisini/chuoni kuna shida gani??
Maisha binafsi ndio maana kuna masaa & siku za kazi, unahisi hao wakuu wa taasisi ni malaika
 
Yawezekana Bangi ina faida kwa baadhi ya watu, lakini kimazoea ya heshima ya jamii ya ki-tanzania, kila mvuta bangi hapewi heshima kiasi kikubwa. Hata kama anafanya mambo ya maana kila wakati hutiliwa mashaka.

Hiki ninachoandika ni taarifa rasmi niliyopewa toka kwa classmate wa mmoja wa viongozi wa vyuo vikuu vyetu vya umma, kwamba ni mvutaji bangi. Alivuta wakiwa shuleni, chuoni na hata sasa anavuta. Hiyo ndo hali halisi ya nchi ilipofika. Sijui kama anaongoza vizuri au anaongoza kibangi-bangi!
  • Hate starts from negative assumptions, images and beliefs about WEED users. These negative assumptions (stereotypes) can become stronger and lead to hate toward peaceful marijuana users
  • Marijuana use has long been associated with a more positive attitude, new research suggests it might actually make you a nicer person.
  • there is a long list of reasons for marijuana use—such as fun, relaxation, bonding, and social facilitation, emotion regulation, and medical reasons
 
Mbona kitu kidogo kule Wahehe wanavuta na kwenda kulima mashamba yao bila uvunjifu wa amani!
 
Si vyema kupokea taarifa inayomhusu mtu hasa zile taarifa zenye ukakasi na utata juu ya wajihi na utashi wa mtu na kuzipokea, kuzisambaza pasi na kujiridhisha na taarifa hizo......

Unaweza ukawa unatumika kumchafua mtu mwenye ugomvi, visasi na mtu aliyekupa taarifa hizo kwa maslahi ya mtoa taarifa!!

Na wakati mwingine unaweza kujikuta sehemu mbaya kwa kusambaza taarifa ambazo hazijathibitishwa na kuonekana una haribu taswira za watu!!!!

Hii taarifa iwe ya kweli au ya uongo lakini umekosea kuibeba moja kwa moja na kuihukumu kana kwamba aliyekuambia ndio mizania yako ya haki!!!

Tujifunze kuwa na vifua hata kama tunaletewa taarifa za watu tunaowachukia!!
 
Yawezekana Bangi ina faida kwa baadhi ya watu, lakini kimazoea ya heshima ya jamii ya ki-tanzania, kila mvuta bangi hapewi heshima kiasi kikubwa. Hata kama anafanya mambo ya maana kila wakati hutiliwa mashaka.

Hiki ninachoandika ni taarifa rasmi niliyopewa toka kwa classmate wa mmoja wa viongozi wa vyuo vikuu vyetu vya umma, kwamba ni mvutaji bangi. Alivuta wakiwa shuleni, chuoni na hata sasa anavuta. Hiyo ndo hali halisi ya nchi ilipofika. Sijui kama anaongoza vizuri au anaongoza kibangi-bangi!
Kwanini usimuonee huruma huyo rafik yako mmbea anayevuta nae bangi ikamuathir had akakosa dhamana ya kuwa yeye kiongozi wa chuo badala yake unamuongelea mtu ambaye kaaminika na kapewa dhamana ya kuongoza kundi la watu. Kwanini tusiseme wewe ndio unavuta bangi had unakosa upeo wa kufikiri na kuandika hoja ambayo hauna ushahidi nayo,anyway pia nimeambiwa mkeo anatembea na yule boda aliyemfata jana asbuhi.
 
Yawezekana Bangi ina faida kwa baadhi ya watu, lakini kimazoea ya heshima ya jamii ya ki-tanzania, kila mvuta bangi hapewi heshima kiasi kikubwa. Hata kama anafanya mambo ya maana kila wakati hutiliwa mashaka.

Hiki ninachoandika ni taarifa rasmi niliyopewa toka kwa classmate wa mmoja wa viongozi wa vyuo vikuu vyetu vya umma, kwamba ni mvutaji bangi. Alivuta wakiwa shuleni, chuoni na hata sasa anavuta. Hiyo ndo hali halisi ya nchi ilipofika. Sijui kama anaongoza vizuri au anaongoza kibangi-bangi!
Elon musk anavuta na anamkwanja zaidi yako
 
Ingawa sio mtumiaji wa bangi lakini nimesoma na washkaji kibao sskondari na chuo wanavuta. Sijawahi kuwachukulia kama ni wahuni. Kama mvutaji hasababishi shida yoyote binafsi sioni kama kuna tatizo akivuta
Hakuna mtu aliyewahi kufa au kuugua kwa kunywa maji safi maana hayana madhara, ila kuna watu waliowahi kufa, ama kuwa vichaa au kusababisha madhara kwa kuvuta bangi. Badala ya kujifariji na asilimia ndogo sana ya wavutaji bangi wasiodhurika na bangi, ni vyema tungezingatia matokeo mabaya na hasi kwa wapulizaji wa bangi.
 
H
Navuta bangi, ila ukinikuta kwenye majukumu yangu hutokaa uamini milele. Haya mambo ya kutaka kuhusisha bangi na vitu vya ajabu ajabu ni yakupuuza. Kuna watu kadhaa ninao wafahamu ambao hawajawahi kuvuta bangi wala kunywa pombe lakini walidata na mafundisho ya dini. Dunia uwanja wa fujo
Icho kitabu icho
 
Mwamba ni nani?
Mwamba ambae inasemekana ni alikuaga kunguru wa Bar moja maarufu mjini Dusalamu akiwa anasoma Chuo kimoja chenye jina kubwa kilichopakana na jengo la wale wachukua alama za vidole pamoja na wale wanaosomea shule ya kuwatetea watu wasipigwe nyundo mahakamani pia ni mchicha mwiba kwa mujibu wa maelezo ya wadau ila sio kwamba hajawahi kuula mchicha bangi sema yeye ameamua kuwachukia walima bangi na wavuta bangi anapewa hype sana na Wazee wawili Mzee Kisauti na Mzee Katelephone
 
Yawezekana Bangi ina faida kwa baadhi ya watu, lakini kimazoea ya heshima ya jamii ya ki-tanzania, kila mvuta bangi hapewi heshima kiasi kikubwa. Hata kama anafanya mambo ya maana kila wakati hutiliwa mashaka.

Hiki ninachoandika ni taarifa rasmi niliyopewa toka kwa classmate wa mmoja wa viongozi wa vyuo vikuu vyetu vya umma, kwamba ni mvutaji bangi. Alivuta wakiwa shuleni, chuoni na hata sasa anavuta. Hiyo ndo hali halisi ya nchi ilipofika. Sijui kama anaongoza vizuri au anaongoza kibangi-bangi!
Ungefanya utafiti kama kwamba kwa kuvuta bangi kwake kunaadhiri kazi yake au la.kumbuka tulikuwa na watalamu ambao walishindwa kufanya kazi vzr bila vitu kama hivi na tuliwavumilia kwa kuwa hawakuleta madhara.Kumbuka pia kuwa bangi ni kilevi kama bia
 
Yawezekana Bangi ina faida kwa baadhi ya watu, lakini kimazoea ya heshima ya jamii ya ki-tanzania, kila mvuta bangi hapewi heshima kiasi kikubwa. Hata kama anafanya mambo ya maana kila wakati hutiliwa mashaka.

Hiki ninachoandika ni taarifa rasmi niliyopewa toka kwa classmate wa mmoja wa viongozi wa vyuo vikuu vyetu vya umma, kwamba ni mvutaji bangi. Alivuta wakiwa shuleni, chuoni na hata sasa anavuta. Hiyo ndo hali halisi ya nchi ilipofika. Sijui kama anaongoza vizuri au anaongoza kibangi-bangi!
Mvuta bangi maarufu ndugu Bob Marley ni maarufu kuliko waTanzania wote. Mvuta bangi mwingine maarufu ni Barack Obama
 
Yawezekana Bangi ina faida kwa baadhi ya watu, lakini kimazoea ya heshima ya jamii ya ki-tanzania, kila mvuta bangi hapewi heshima kiasi kikubwa. Hata kama anafanya mambo ya maana kila wakati hutiliwa mashaka.

Hiki ninachoandika ni taarifa rasmi niliyopewa toka kwa classmate wa mmoja wa viongozi wa vyuo vikuu vyetu vya umma, kwamba ni mvutaji bangi. Alivuta wakiwa shuleni, chuoni na hata sasa anavuta. Hiyo ndo hali halisi ya nchi ilipofika. Sijui kama anaongoza vizuri au anaongoza kibangii -bangi!
Obama alivuta sigara miaka ya nyuma. Nyerere alivuta sigara akaacha miaka ile ile ya sitini.

Marais wengi duniani walishavuta bangi inawezekana hata hayati JPM alikuwa mvutaji wakati wa uhai wake.

Uongozi wake unakwenda kiuweledi?. Hilo ndilo la muhimu kwa hao anaowaongoza.
 
Back
Top Bottom