Inasikitisha! Mmoja wa viongozi wa vyuo vikuu vyetu nchini anavuta bangi

Inasikitisha! Mmoja wa viongozi wa vyuo vikuu vyetu nchini anavuta bangi

Bangi umekuja kufungua bango huku..daah umenisikitisha sana.
 
Yawezekana Bangi ina faida kwa baadhi ya watu, lakini kimazoea ya heshima ya jamii ya ki-tanzania, kila mvuta bangi hapewi heshima kiasi kikubwa. Hata kama anafanya mambo ya maana kila wakati hutiliwa mashaka.

Hiki ninachoandika ni taarifa rasmi niliyopewa toka kwa classmate wa mmoja wa viongozi wa vyuo vikuu vyetu vya umma, kwamba ni mvutaji bangi. Alivuta wakiwa shuleni, chuoni na hata sasa anavuta. Hiyo ndo hali halisi ya nchi ilipofika. Sijui kama anaongoza vizuri au anaongoza kibangi-bangi!
Ni vizuri BANGI itumiwe kama tiba kuhusu huyo kiongozi Sina mashaka kwani tangu nimjue hajawahi kuharibu kazi na ni miongoni mwa viongozi wenye akili kubwa sana ukilinganisha na ww ambaye huvuti BANGI, hunywi pombe, hunywi Coca-cola Wala Pepsi lakini akili huna na maradhi kwako ni kituo
 
Inawezekana. Baadhi ya maamuzi au hata kauli zake zilifanana na mzee aliyekuwa msela sana wakati wa ujana wake.
Maamuzi ya kujenga Kigongo Busisi na mengine ambayo ameyafanya kwa kipindi kifupi, sivuti bangi ila siwachukii wanaovuta wengine wanaumwa bangi walifundishwa ndio dawa ya ugonjwa wao hakuna nyingine, kuna dogo namfahamu yeye anaugua kifafa ugonjwa usio na dawa alielekezwa na Babu yake mzaa Bibi kwamba dawa pekee ya ugonjwa wake ni bangi mpaka leo dogo anasukutua bangi tunabaki kuambiwa dogo ana kifafa ila anavuta bangi na anapiga kazi balaa
 
Tena nlikuwa nakula kitu cha malawi.....kna wilaya moja inaitwa mzimba...hko kuna milima inaitwa
Likwawa....inatoka bangi moja hatari sana na kali ina handazz moja murwaaaa
Kitu natural mystic...
Bangi sahv watoto wanavuta ambazo zishapitia sana mahabara+kuongezwa chemical nk

Ova
 
Si vyema kupokea taarifa inayomhusu mtu hasa zile taarifa zenye ukakasi na utata juu ya wajihi na utashi wa mtu na kuzipokea, kuzisambaza pasi na kujiridhisha na taarifa hizo......

Unaweza ukawa unatumika kumchafua mtu mwenye ugomvi, visasi na mtu aliyekupa taarifa hizo kwa maslahi ya mtoa taarifa!!

Na wakati mwingine unaweza kujikuta sehemu mbaya kwa kusambaza taarifa ambazo hazijathibitishwa na kuonekana una haribu taswira za watu!!!!

Hii taarifa iwe ya kweli au ya uongo lakini umekosea kuibeba moja kwa moja na kuihukumu kana kwamba aliyekuambia ndio mizania yako ya haki!!!

Tujifunze kuwa na vifua hata kama tunaletewa taarifa za watu tunaowachukia!!
Achukue Hii Ya Kibingwa Mnoo✊✊....Itamsaidia Sana Katika Harakati Za Maisha Za Kila Siku...Na Haswa Kwa Mtoto Wa Kiume Haileti Maana Kabisa...Kumnanga Wa Kiume Mwenzio Kwa Jambo Au Mambo Ambayo/Ambalo Huna Nalo Uthibitisho Hata Kidogo...Mtoto Wa Kiume Kabisa Unasemaa..."Eti Nimeambiwa..."
 
Mtu anahukumiwa kwa matendo yake. Watu unaokutana saa tano asubuhi,wakati mwingine ,jana saa tano usiku walikuwa wamelewa chakari. Wewe hukuwaona. Kwa hiyo mtazame mtu aliye mbele yako mhukumu kwa matenda yake
Pumba imejibiwa kwa pumba. Jamii forums raha sana
Bangi! Shida yake nn? We ndio shida
Umeandika kama vile umekasirika sanaaa, wakati ni kitu cha kawaida. Heshima heshima utajiju nayo.. cheo anacho.. Wewe je?
Hawa tu kwa uchache! Kumbe ukitaka kujua wavuta Bangi, angalia wanavyoteteana! Yaani hadi raha!
Tuko kibangi-bangi
 
Maamuzi ya kujenga Kigongo Busisi na mengine ambayo ameyafanya kwa kipindi kifupi, sivuti bangi ila siwachukii wanaovuta wengine wanaumwa bangi walifundishwa ndio dawa ya ugonjwa wao hakuna nyingine, kuna dogo namfahamu yeye anaugua kifafa ugonjwa usio na dawa alielekezwa na Babu yake mzaa Bibi kwamba dawa pekee ya ugonjwa wake ni bangi mpaka leo dogo anasukutua bangi tunabaki kuambiwa dogo ana kifafa ila anavuta bangi na anapiga kazi balaa
Kama unamfahamu na kumpenda, mwambie kifafa kinatibiwa. Enzi hizi za MRI na EEG, mpe ushauri aende kwa uchunguzi.
Kusema kifafa hakitibiwi ni imani za kizamani na wengine waliamini ni urithi.
 
Kama unamfahamu na kumpenda, mwambie kifafa kinatibiwa. Enzi hizi za MRI na EEG, mpe ushauri aende kwa uchunguzi.
Kusema kifafa hakitibiwi ni imani za kizamani na wengine waliamini ni urithi.
Jamaa kwa jinsi alivyo ukiambiwa ana kifafa hauwezi kuamini na ukiambiwa anavuta bangi huwezi kuamini yaan very smart person yupo smart kichwani na smart kimuonekano ila ndio hivyo anaumwa kifafa sometimes anaanguka akiwa ghetto kwake atalala hapohapo mpaka awe sawa ndio aamke aendelee na habari zingine ila yeye kashajichukulia kwamba yupo hivyo hachukulii kifafa km ugonjwa
 
Anafanya kazi zake vizuri? Anatimiza wajibu wake vizuri? Kuvuta kwake hakumuathiri yeyote?

Kama majibu ya hayo maswali yote ni ndiyo basi hakuna shida.

Kuna wengine bangi zinafanya akili zao kuwa vizuri na kutenda vyema.

Sehemu nyingi duniani wamehalalisha bangi kwa matumizi ya kiafya.
 
Ila hapa kwenu ni haramu na ukikutwa nayo unaanzishiwa zogo
 
ingwa vyote sivikubali...ila bora mvutaji bangi kuliko mnywa pombe.....😁 usikute mleta mada ni mlevi kupindukia,yaani we ndio lile linyani lisiloona kundule🙌
 
Wivu unakusumbua

smoke-weed.gif
 
Mimi sioni kama ni tatizo labda kwa Afya yake tu!
Kama anavuta lakini ni mstaarabu wala hana shida na watu sioni kosa lake.
Vile vile kama uvutaji wake hauathiri utendaji wa kazi,it's ok.
 
Yawezekana Bangi ina faida kwa baadhi ya watu, lakini kimazoea ya heshima ya jamii ya ki-tanzania, kila mvuta bangi hapewi heshima kiasi kikubwa. Hata kama anafanya mambo ya maana kila wakati hutiliwa mashaka.

Hiki ninachoandika ni taarifa rasmi niliyopewa toka kwa classmate wa mmoja wa viongozi wa vyuo vikuu vyetu vya umma, kwamba ni mvutaji bangi. Alivuta wakiwa shuleni, chuoni na hata sasa anavuta. Hiyo ndo hali halisi ya nchi ilipofika. Sijui kama anaongoza vizuri au anaongoza kibangi-bangi!
My sweetheart wangu FaizaFoxy aliishauri sana serikali i legalize hicho kitu wakamsema vibaya
 
Yawezekana Bangi ina faida kwa baadhi ya watu, lakini kimazoea ya heshima ya jamii ya ki-tanzania, kila mvuta bangi hapewi heshima kiasi kikubwa. Hata kama anafanya mambo ya maana kila wakati hutiliwa mashaka.

Hiki ninachoandika ni taarifa rasmi niliyopewa toka kwa classmate wa mmoja wa viongozi wa vyuo vikuu vyetu vya umma, kwamba ni mvutaji bangi. Alivuta wakiwa shuleni, chuoni na hata sasa anavuta. Hiyo ndo hali halisi ya nchi ilipofika. Sijui kama anaongoza vizuri au anaongoza kibangi-bangi!
Mbona unamkung'utia kunguni?Au unazosufi za kuichukua nafasi yake?
 
Back
Top Bottom