Inasikitisha! Mmoja wa viongozi wa vyuo vikuu vyetu nchini anavuta bangi

Mwamba ambae inasemekana ni alikuaga kunguru wa Bar moja maarufu mjini Dusalamu akiwa anasoma Chuo kimoja chenye jina kubwa kilichopakana na jengo la wale wachukua alama za vidole pamoja na wale wanaosomea shule ya kuwatetea watu wasipigwe nyundo mahakamani pia ni mchicha mwiba kwa mujibu wa maelezo ya wadau ila sio kwamba hajawahi kuula mchicha bangi sema yeye ameamua kuwachukia walima bangi na wavuta bangi anapewa hype sana na Wazee wawili Mzee Kisauti na Mzee Katelephone
Mwenye kuielewa hii code atujuze?
 
Ni nani ?
Yaonekana ni wengi! KWeli vyuo hivi vitainuka?
Ninayemfahamu mimi yuko pale Morogoro! Nilimtilia mashaka sana kwa uso wake na midomo kuota rangi ya mkaa kwenye mkutano fulani hivi. Eti nikaambiwa ni mmoja wa ma-boss wa chuo! Dah!

Nilipoendeleza uchunguzi wangu kwa uzoefu wa kijijini, hakika wakati wa luch alipiga pilipili ya kutosha! Nikajua ni mpiga msuba. Nilipouliza, jawabu lilikuwa bila chenga!!
 
Obama alivuta sigara miaka ya nyuma. Nyerere alivuta sigara akaacha miaka ile ile ya sitini.

Marais wengi duniani walishavuta bangi inawezekana hata hayati JPM alikuwa mvutaji wakati wa uhai wake.

Uongozi wake unakwenda kiuweledi?. Hilo ndilo la muhimu kwa hao anaowaongoza.
JPM lazima alikua anagusa mzigo
 
Yawezekana Bangi ina faida kwa baadhi ya watu, lakini kimazoea ya heshima ya jamii ya ki-tanzania, kila mvuta bangi hapewi heshima kiasi kikubwa. Hata kama anafanya mambo ya maana kila wakati hutiliwa mashaka.

Hiki ninachoandika ni taarifa rasmi niliyopewa toka kwa classmate wa mmoja wa viongozi wa vyuo vikuu vyetu vya umma, kwamba ni mvutaji bangi. Alivuta wakiwa shuleni, chuoni na hata sasa anavuta. Hiyo ndo hali halisi ya nchi ilipofika. Sijui kama anaongoza vizuri au anaongoza kibangi-bangi!
Na wewe unavuta bangi nini, kwa nini humtaji?
 
Mtu anahukumiwa kwa matendo yake. Watu unaokutana saa tano asubuhi,wakati mwingine ,jana saa tano usiku walikuwa wamelewa chakari. Wewe hukuwaona. Kwa hiyo mtazame mtu aliye mbele yako mhukumu kwa matenda yake
[emoji1787] Mkuu, nawewe unapuliza nini mbona umejenga hoja mujarabu kiasi hiki.
 
Yawezekana Bangi ina faida kwa baadhi ya watu, lakini kimazoea ya heshima ya jamii ya ki-tanzania, kila mvuta bangi hapewi heshima kiasi kikubwa. Hata kama anafanya mambo ya maana kila wakati hutiliwa mashaka.

Hiki ninachoandika ni taarifa rasmi niliyopewa toka kwa classmate wa mmoja wa viongozi wa vyuo vikuu vyetu vya umma, kwamba ni mvutaji bangi. Alivuta wakiwa shuleni, chuoni na hata sasa anavuta. Hiyo ndo hali halisi ya nchi ilipofika. Sijui kama anaongoza vizuri au anaongoza kibangi-bangi!
Elon Musk ni tajiri namna 1 kama sio 2 wa kidunia na ni mvuta bangi balaa na ana projects/kampuni nyingi zinazomtegemea kuendeshwa.
 
Nataka pindi la namna ya kupiga pafu, any volunteer?
Kula vizuri, usivute ukiwa na nia ya kufanya fujo itakupa utulovu unaotaka bangi haina madhara tofauti na watu wasio tumia wanavyoifikiria!!!
 
Yawezekana Bangi ina faida kwa baadhi ya watu, lakini kimazoea ya heshima ya jamii ya ki-tanzania, kila mvuta bangi hapewi heshima kiasi kikubwa. Hata kama anafanya mambo ya maana kila wakati hutiliwa mashaka.

Hiki ninachoandika ni taarifa rasmi niliyopewa toka kwa classmate wa mmoja wa viongozi wa vyuo vikuu vyetu vya umma, kwamba ni mvutaji bangi. Alivuta wakiwa shuleni, chuoni na hata sasa anavuta. Hiyo ndo hali halisi ya nchi ilipofika. Sijui kama anaongoza vizuri au anaongoza kibangi-bangi!
Ni kweli anavuta bangi, sigara na anakunywa pombe kali hata muda kazi. Mara nyingi anakula pipi kali na kutafuna Big G kupoteza harufu. Lakini pia hukwepa sana kukutana na watu. Mara nyingi hupenda kufanyia kazi kwa kujifungia sehemu.
 
Yawezekana Bangi ina faida kwa baadhi ya watu, lakini kimazoea ya heshima ya jamii ya ki-tanzania, kila mvuta bangi hapewi heshima kiasi kikubwa. Hata kama anafanya mambo ya maana kila wakati hutiliwa mashaka.

Hiki ninachoandika ni taarifa rasmi niliyopewa toka kwa classmate wa mmoja wa viongozi wa vyuo vikuu vyetu vya umma, kwamba ni mvutaji bangi. Alivuta wakiwa shuleni, chuoni na hata sasa anavuta. Hiyo ndo hali halisi ya nchi ilipofika. Sijui kama anaongoza vizuri au anaongoza kibangi-bangi!
sisi tunaosoma post yako wengi tunavuta, wake zetu wanavuta ,viongozi wanavuta sasa hakuna jipya ,ungesema ni mvivu hapo tungejadili
 
Hata Msajili wa Vyama vya siasa Jaji Mutungi ni mvuta bangi mzuri tu toka kitambo na hadi leo anavuta.
 
Back
Top Bottom