Ndio wakasema kwamba walimfukuza Seminari kisa walimfuma anamsukutua Buffalo Soja?Obama alivuta sigara miaka ya nyuma. Nyerere alivuta sigara akaacha miaka ile ile ya sitini.
Marais wengi duniani walishavuta bangi inawezekana hata hayati JPM alikuwa mvutaji wakati wa uhai wake.
Uongozi wake unakwenda kiuweledi?. Hilo ndilo la muhimu kwa hao anaowaongoza.
Yule mtoto wa Mama anaegawa Baiskeli, Pikipiki za Kinglion na Mitungi ya Gesi kisha anarudi tena kwa wale wale aliowapa Baiskeli, Pikipiki na Mitungi ya Gesi kuwaambia wampe Billion 100 anavuta bangi, tangu akiwa shule moja kubwa sana mjini Dusalamu wanasoma watoto wa wakubwa tu na alikua na vituko tangu akiwa Shule umarekani mwingi sana yeye alikua anatembea na dollars tu mfukoniMbona Pasta Tony na Mke wake wanavuta na wako sawa tu wanamuhubiri yesu
Ni sawa na kusema " mmoja wa viongozi anakunywa pombe" shida Yako ni nini hasa?Yawezekana Bangi ina faida kwa baadhi ya watu, lakini kimazoea ya heshima ya jamii ya ki-tanzania, kila mvuta bangi hapewi heshima kiasi kikubwa. Hata kama anafanya mambo ya maana kila wakati hutiliwa mashaka.
Hiki ninachoandika ni taarifa rasmi niliyopewa toka kwa classmate wa mmoja wa viongozi wa vyuo vikuu vyetu vya umma, kwamba ni mvutaji bangi. Alivuta wakiwa shuleni, chuoni na hata sasa anavuta. Hiyo ndo hali halisi ya nchi ilipofika. Sijui kama anaongoza vizuri au anaongoza kibangi-bangi!
Amekosea nini? Kitu kipi hasa alichokosea?Yawezekana Bangi ina faida kwa baadhi ya watu, lakini kimazoea ya heshima ya jamii ya ki-tanzania, kila mvuta bangi hapewi heshima kiasi kikubwa. Hata kama anafanya mambo ya maana kila wakati hutiliwa mashaka.
Hiki ninachoandika ni taarifa rasmi niliyopewa toka kwa classmate wa mmoja wa viongozi wa vyuo vikuu vyetu vya umma, kwamba ni mvutaji bangi. Alivuta wakiwa shuleni, chuoni na hata sasa anavuta. Hiyo ndo hali halisi ya nchi ilipofika. Sijui kama anaongoza vizuri au anaongoza kibangi-bangi!
Kutokumpa na yeye avute ndicho anachosema mleta mada kwamba kwanini anavutaga mwenyewe kwanini akiwa anavuta na yeye asimpasie kijiti?Amekosea nini? Kitu kipi hasa alichokosea?
Vigogo wengi na watu wenye nyadhifa zao wakurugenzi wanapuliza na wanafanya mambo yao kama kawaidaObama alivuta sigara miaka ya nyuma. Nyerere alivuta sigara akaacha miaka ile ile ya sitini.
Marais wengi duniani walishavuta bangi inawezekana hata hayati JPM alikuwa mvutaji wakati wa uhai wake.
Uongozi wake unakwenda kiuweledi?. Hilo ndilo la muhimu kwa hao anaowaongoza.
Na bange imemsaidia yeye katoa baiskeli alafu kawaomba aliowapa baiskeli wampe Billion 100 zote hizi ni busara nzuri ya bangeYule mtoto wa Mama anaegawa Baiskeli, Pikipiki za Kinglion na Mitungi ya Gesi kisha anarudi tena kwa wale wale aliowapa Baiskeli, Pikipiki na Mitungi ya Gesi kuwaambia wampe Billion 100 anavuta bangi, tangu akiwa shule moja kubwa sana mjini Dusalamu wanasoma watoto wa wakubwa tu na alikua na vituko tangu akiwa Shule umarekani mwingi sana yeye alikua anatembea na dollars tu mfukoni
Buffalo Soja ndio nani?. Umeandika utadhani mimi na wewe tunaishi pamoja. Fafanua tafadhali.Ndio wakasema kwamba walimfukuza Seminari kisa walimfuma anamsukutua Buffalo Soja?
Bangi wanaanza kuivuta wakiwa bado mashuleni, wakiwa na vyeo ukubwani wanaindeleza tabia yao ya miaka mingi.Vigogo wengi na watu wenye nyadhifa zao wakurugenzi wanapuliza na wanafanya mambo yao kama kawaida
Ova
Mbona kuna mkuu wa chombo cha ulinzi na usalama anavuta bange ila hapendi kuongea kama wenzake waliopita ila lips zimekua nyeusi kwasababu ya kuchoma mmea na yuko sawa tuVigogo wengi na watu wenye nyadhifa zao wakurugenzi wanapuliza na wanafanya mambo yao kama kawaida
Ova
Inawezekana. Baadhi ya maamuzi au hata kauli zake zilifanana na mzee aliyekuwa msela sana wakati wa ujana wake.Buffalo Soja =Bob Marley = Mmea Jr