Inasikitisha na kustua sana. Marehemu Kambayao wa TRA alikuwa pia Mwanachuo CBE Dodoma

Kwa hiyo atakuwa analipia elfu 60 kila siku kupanda treni kwa ajili ya kwenda darasani na kurudi?haimake sense hata hao mawaziri hawasomagi kwa mtindo huu
Kukujibu hilo lazima tupate ratiba ya masomo yake ya lazima na Yale ya kuchagua kwa wiki. Hiyo itatupa uhalisia kama alikuwa analazimika kwenda huko Kila siku ama la!
 
Pamoja na kauli zote tunazozizungumza. Tufahamu kuwa wanaoumia sana ni wanafamilia wa marehemu. Ushahidi huu hapa 👇👇
View attachment 3171628
Lakini sakata hili limeendelea kutuchanganya sana Watanzania. Tunajiuliza Kambayao alifuata nini Tegeta wakati alipaswa kuwa chuoni Dodoma CBE?

Maswali yanazidi kuchanganya umma

Maswali magumu

  1. Kwenye taarifa kutoka Bodi ya TRA haikusema kama alikuwa anasoma pia. Ni bahati mbaya au makusudi?
  2. Bachelor Degree kwa chuo kama CBE ni full time darasani, je mwanafunzi alikuwa anafanya nini Tegeta kwa Ndevu usiku ule?
  3. TRA walikosa picha ya marehemu kuiattach kwenye tangazo la msiba, ina maana CBE wana rekodi sahihi ya marehemu kuliko TRA. Je, marehemu hakuwahi kuajiriwa TRA?
  4. Serikali imepanic ama imechanganyikiwa?
  5. Kwenye taarifa ya CBE hawajasema kama marehemu alikuwa pia mwajiriwa wa TRA. Ni bahati mbaya, kujisahau au ndo ukweli?

Poleni wafiwa
Kufanya reasoning huku ukiwa umevaa miwani ya kisiasa ni tatizo sugu kwa sasa. Ni ni tatizo la wote CCM na CDM, uchawa unadumaza watu kifikra.
Mosi, ni wapi wameandika Marehemu alikuwa anasoma Kampasi ya Dodoma?
Pili, CBE pamoja na vyuo vingi tu vina Evening classes, wengi wetu pamoja na wengine wengi tumesoma kwa mifumo hiyo, kutokana na purukushani za maisha, watu wengi wanasoma huku wanafanya kazi, je hilo ni jipya kwako?
Kuna speculation nyingine hazina maana zaidi ya kujifariji tu, sawa amekufa, je hiyo italeta katiba mpya na tume huru?
 
Kwani hawezi kuwa Field?
Kama mwanachuo na yuko kazini alikiwa either field au alikuwa anafanya kazi huku anasoma labda masters
Ila nimeona hapo wameandika bachelor so what do i know
Field ndo wanafundishwa kwenda kuteka watu usiku? Emb tufafanulie hapo.. Je kuna mwanafunzi yeyote yule wa vyuo vya kawaida anayefanya field ya special mission attack? Huyo ni mhuni tu aliyeshirikishwa kwenye dili haram aliyepata stahiki yake. Wazazi wapokee mtu wao wakazike..
 
Unajiongezea maswali tu wewe mwenyewe; kwani hawezi kuwa yupo 'field training' huku akiwa mwana funzi?
Tuseme tu kuwa inawezekana hawakufuata taratibu za mafunzo na kazi zao inavyo takiwa kuwa.. Hali ilivyo nchini ndio mchango mkubwa wa haya yote. Hapakuwa na sababu yoyote kwa wananchi kuchukua hatua hiyo kama hali ya utulivu ingekuwepo nchini.
Umesoma tangazo vizuri la chuo na TRA Au umekurupuka tu kama vile ulikua unaoga nje.

Acheni kukutea ujinga
 
Pamoja na kauli zote tunazozizungumza. Tufahamu kuwa wanaoumia sana ni wanafamilia wa marehemu. Ushahidi huu hapa 👇👇
View attachment 3171628
Lakini sakata hili limeendelea kutuchanganya sana Watanzania. Tunajiuliza Kambayao alifuata nini Tegeta wakati alipaswa kuwa chuoni Dodoma CBE?

Maswali yanazidi kuchanganya umma

Maswali magumu

  1. Kwenye taarifa kutoka Bodi ya TRA haikusema kama alikuwa anasoma pia. Ni bahati mbaya au makusudi?
  2. Bachelor Degree kwa chuo kama CBE ni full time darasani, je mwanafunzi alikuwa anafanya nini Tegeta kwa Ndevu usiku ule?
  3. TRA walikosa picha ya marehemu kuiattach kwenye tangazo la msiba, ina maana CBE wana rekodi sahihi ya marehemu kuliko TRA. Je, marehemu hakuwahi kuajiriwa TRA?
  4. Serikali imepanic ama imechanganyikiwa?
  5. Kwenye taarifa ya CBE hawajasema kama marehemu alikuwa pia mwajiriwa wa TRA. Ni bahati mbaya, kujisahau au ndo ukweli?

Poleni wafiwa
Naona Serikali inazidi kujivua nguo yenyewe, pole nyingi kwa familia yake.
 
IMG_5079.jpeg
IMG_5080.jpeg

Marehemu Amani Simbayao aliwezaje kujigawa namna hii?

Alikuwa ni FULL TIME student wa chuo cha CBE Dodoma.

Alikuwa anasomea shahada ya kwanza ambayo haina part time na haukuwa muda wa mafuzo kwa vitendo (Field)

Akawa pia mfanyakazi wa TRA kama dereva kwa wakati huohuo.

Hawa ndio wanafunzi wenye uwezo wa kipekee ambao vyuoni tuliwaita jina la utani la "Doria Zero"

Apumzike kwa amani.
 
Pamoja na kauli zote tunazozizungumza. Tufahamu kuwa wanaoumia sana ni wanafamilia wa marehemu. Ushahidi huu hapa 👇👇
View attachment 3171628
Lakini sakata hili limeendelea kutuchanganya sana Watanzania. Tunajiuliza Kambayao alifuata nini Tegeta wakati alipaswa kuwa chuoni Dodoma CBE?

Maswali yanazidi kuchanganya umma

Maswali magumu

  1. Kwenye taarifa kutoka Bodi ya TRA haikusema kama alikuwa anasoma pia. Ni bahati mbaya au makusudi?
  2. Bachelor Degree kwa chuo kama CBE ni full time darasani, je mwanafunzi alikuwa anafanya nini Tegeta kwa Ndevu usiku ule?
  3. TRA walikosa picha ya marehemu kuiattach kwenye tangazo la msiba, ina maana CBE wana rekodi sahihi ya marehemu kuliko TRA. Je, marehemu hakuwahi kuajiriwa TRA?
  4. Serikali imepanic ama imechanganyikiwa?
  5. Kwenye taarifa ya CBE hawajasema kama marehemu alikuwa pia mwajiriwa wa TRA. Ni bahati mbaya, kujisahau au ndo ukweli?

Poleni wafiwa
Sioni, cha ajabu hapo, kuwa, mwanslafunzi, wa, CBE Dodoma, na, kuwa, eneo, LA, together Dar! Hakuna cha ajabu, kwani,wanafunzi, wa, CBE hawaruhusiwi kwenda, Dar? Swala, kwa nini alikuwa, kwenye operation ya TRA, using, linaelezeka, vzr tu, wanafunzi, wa, kada mbali mbali lazima wafanye mafunzo, ya vitendo, field, huyu alikuwa anasomea biashara, sasa TRA ni, sehwmu mijawapo unapoweza kufanyia field,
 
Pamoja na kauli zote tunazozizungumza. Tufahamu kuwa wanaoumia sana ni wanafamilia wa marehemu. Ushahidi huu hapa 👇👇
View attachment 3171628
Lakini sakata hili limeendelea kutuchanganya sana Watanzania. Tunajiuliza Kambayao alifuata nini Tegeta wakati alipaswa kuwa chuoni Dodoma CBE?

Maswali yanazidi kuchanganya umma

Maswali magumu

  1. Kwenye taarifa kutoka Bodi ya TRA haikusema kama alikuwa anasoma pia. Ni bahati mbaya au makusudi?
  2. Bachelor Degree kwa chuo kama CBE ni full time darasani, je mwanafunzi alikuwa anafanya nini Tegeta kwa Ndevu usiku ule?
  3. TRA walikosa picha ya marehemu kuiattach kwenye tangazo la msiba, ina maana CBE wana rekodi sahihi ya marehemu kuliko TRA. Je, marehemu hakuwahi kuajiriwa TRA?
  4. Serikali imepanic ama imechanganyikiwa?
  5. Kwenye taarifa ya CBE hawajasema kama marehemu alikuwa pia mwajiriwa wa TRA. Ni bahati mbaya, kujisahau au ndo ukweli?

Poleni wafiwa
Katika kazi mtu anaweza anza kama msafisha ofisi akaomba kazi ya ukaguzi akapata na anaanza kujiendeleza kimasomo,watu wanatoka mbali mno na huyo Yuko hivyo,na hiyo ni kazi maalumu,kaa hivyo hivyo na kamasi lako puani,hata mbuyu unaanza kama mchicha.
 
Back
Top Bottom