Inasikitisha na kustua sana. Marehemu Kambayao wa TRA alikuwa pia Mwanachuo CBE Dodoma

Inasikitisha na kustua sana. Marehemu Kambayao wa TRA alikuwa pia Mwanachuo CBE Dodoma

Sioni, cha ajabu hapo, kuwa, mwanslafunzi, wa, CBE Dodoma, na, kuwa, eneo, LA, together Dar! Hakuna cha ajabu, kwani,wanafunzi, wa, CBE hawaruhusiwi kwenda, Dar? Swala, kwa nini alikuwa, kwenye operation ya TRA, using, linaelezeka, vzr tu, wanafunzi, wa, kada mbali mbali lazima wafanye mafunzo, ya vitendo, field, huyu alikuwa anasomea biashara, sasa TRA ni, sehwmu mijawapo unapoweza kufanyia field,
[emoji1]mkuu kwani uko joging huku unatype? umeandika lugha gani hapo? kiebrania?

weka setting ya keyboard yako vizuri isiwe inadetect unachoandikaga
 
NYIE ACHENI UONGO.
DRIVER HALAFU ANASOMA BACHELOR ACCOUNTANCY SIO?
Hivi wewe kijana una akili kweli?
Kwani dereva haruhusiwi kusoma Accountancy?
Let's say alimaliza six with good pass lakini akaingia kwenye udereva ili apate ajira chap. Au tuseme alianza diploma kwa miaka 3 kwa form certificate vipi hawezi kusoma bachelor degree?
 
Huyu jamaa atakuwa ni walewale tu..naona utambulisho wake haueleweki.Inawezekana ndo wasiojulikana kweli -Mara mwanafunzi, mara mfanyakazi wa TRA, wakiukiza mfanyakazi wa TRA na kukimnuzana na watu usiku wanajibu alikua kutekeleza majukumu yake...n.k.
Hamna kitu hapa - usikute kweli walitaka kumteka mtu hawa.
 
Pamoja na kauli zote tunazozizungumza. Tufahamu kuwa wanaoumia sana ni wanafamilia wa marehemu. Ushahidi huu hapa 👇👇
View attachment 3171628
Lakini sakata hili limeendelea kutuchanganya sana Watanzania. Tunajiuliza Kambayao alifuata nini Tegeta wakati alipaswa kuwa chuoni Dodoma CBE?

Maswali yanazidi kuchanganya umma

Maswali magumu

  1. Kwenye taarifa kutoka Bodi ya TRA haikusema kama alikuwa anasoma pia. Ni bahati mbaya au makusudi?
  2. Bachelor Degree kwa chuo kama CBE ni full time darasani, je mwanafunzi alikuwa anafanya nini Tegeta kwa Ndevu usiku ule?
  3. TRA walikosa picha ya marehemu kuiattach kwenye tangazo la msiba, ina maana CBE wana rekodi sahihi ya marehemu kuliko TRA. Je, marehemu hakuwahi kuajiriwa TRA?
  4. Serikali imepanic ama imechanganyikiwa?
  5. Kwenye taarifa ya CBE hawajasema kama marehemu alikuwa pia mwajiriwa wa TRA. Ni bahati mbaya, kujisahau au ndo ukweli?

Poleni wafiwa
Maybe alikuwa practical studies.Hii inaruhusiwa kabisa
 
Wananchi Tegeta kwa Ndevu wameiumbua serikdli.
Mara..mfanyakazi wa serikali
Mara...mwanafunzi
Mara...walikuwa wanafukuzia mkwepa kodi
Mara....muda wa mwanafunzi kufanya kazibsaa tatu usiku

It doesent make sense!

Serikali ituambie tu wananchi, kuna majasusi nchini yanatumia magari ya kifahari(BMW X6) na namba bandia.

Huyo kijana asife bure, apewe maua yake.
Taarifa ziko sahihi sema nyie mnajichanganya wenyewe, ni mwajiriwa na ni mwanafunzi na mwanachuo halizimishwi kuwepo darasani muda flani au kutokuwepo ni wewe tu na mipango yako,
 
View attachment 3171787View attachment 3171788
Marehemu Amani Simbayao aliwezaje kujigawa namna hii?

Alikuwa ni FULL TIME student wa chuo cha CBE Dodoma.

Alikuwa anasomea shahada ya kwanza ambayo haina part time na haukuwa muda wa mafuzo kwa vitendo (Field)

Akawa pia mfanyakazi wa TRA kama dereva kwa wakati huohuo.

Hawa ndio wanafunzi wenye uwezo wa kipekee ambao vyuoni tuliwaita jina la utani la "Doria Zero"

Apumzike kwa amani.
Picha ya juu
Mnapafahamu hapo kwenye jengo alilopigia picha?

RIP mate
 
Unajiongezea maswali tu wewe mwenyewe; kwani hawezi kuwa yupo 'field training' huku akiwa mwana funzi?
Tuseme tu kuwa inawezekana hawakufuata taratibu za mafunzo na kazi zao inavyo takiwa kuwa.. Hali ilivyo nchini ndio mchango mkubwa wa haya yote. Hapakuwa na sababu yoyote kwa wananchi kuchukua hatua hiyo kama hali ya utulivu ingekuwepo nchini.
Hofu imeshatanda nchini kote. Ukitamka tu ninatekwa, ninatekwaaa, watu wanahamaki wanakumbuka vifo vya watu mamia waliotekwa na kuuwawa ndipo wengine hujitokeza kutoa msaada.
 
Dodoma na Dar es salaam kwa mtu mwenye pesa ni pafupi sana. Ila kama ukiwa kapuku utapaona mbali
Ni pafupi kwa ruti za kwenda kutembea wikiendi sio kwenda kwa shughuli za kila siku na ndio maana watumishi wa Serikali walijengewa nyumba ili wahamie.
Na ukisema kwa mwenye pesa mwenye pesa kwa kiwango gani?labda kama una uwezo wa kukodi private jet hapo sawa nakubaliana na wewe maana hata ukisema uwe unapanda ndege za ATCL bado hazina guarantee zitakuchelewesha safari zako.
 
Kwenye taarifa ya CBE hawajasema kama marehemu alikuwa pia mwajiriwa wa TRA. Ni bahati mbaya, kujisahau au ndo ukweli?
Yes hauruhusiwi kutolea taarifa taasisi ambayo hauiwakilishi. Hata kanisa lake likitoa tangazo la kifo litaishia kumtambulisha kama mshirika wake wa usharika fulani hawatakiwi kuanza kusema ni TRA sijui anasoma CBE.

Kwenye taarifa kutoka Bodi ya TRA haikusema kama alikuwa anasoma pia. Ni bahati mbaya au makusudi?
Kama nilivyosema hapo juu kila taasisi inamtambilisha kutokana na mahusiano yao ya kikazi au kielimu n.k yalipoishia.
Bachelor Degree kwa chuo kama CBE ni full time darasani, je mwanafunzi alikuwa anafanya nini Tegeta kwa Ndevu usiku ule?
Nadhani hayakua masaa ya kuwepo darasani. Otherwise siku hizi kuna executive classes wanatumia mfumo wa modules, unasoma wiki hata mbili unapotea tena hata miezi unarudi kuendelea mpaka unamaliza
 
Okay tuseme ni mwanafunzi wa CBE Dodoma ambaye alienda kufanya field katika ofisi za TRA huko Dar lakin je muda wa field haukuwa umeisha ?
Pamoja na kauli zote tunazozizungumza. Tufahamu kuwa wanaoumia sana ni wanafamilia wa marehemu. Ushahidi huu hapa 👇👇
View attachment 3171628
Lakini sakata hili limeendelea kutuchanganya sana Watanzania. Tunajiuliza Kambayao alifuata nini Tegeta wakati alipaswa kuwa chuoni Dodoma CBE?

Maswali yanazidi kuchanganya umma

Maswali magumu

  1. Kwenye taarifa kutoka Bodi ya TRA haikusema kama alikuwa anasoma pia. Ni bahati mbaya au makusudi?
  2. Bachelor Degree kwa chuo kama CBE ni full time darasani, je mwanafunzi alikuwa anafanya nini Tegeta kwa Ndevu usiku ule?
  3. TRA walikosa picha ya marehemu kuiattach kwenye tangazo la msiba, ina maana CBE wana rekodi sahihi ya marehemu kuliko TRA. Je, marehemu hakuwahi kuajiriwa TRA?
  4. Serikali imepanic ama imechanganyikiwa?
  5. Kwenye taarifa ya CBE hawajasema kama marehemu alikuwa pia mwajiriwa wa TRA. Ni bahati mbaya, kujisahau au ndo ukweli?

Poleni wafiwa
Kitengo ndani ya Kitengo
Muda utafika mtakuja kujua ukweli kwamba baadhi ya watekaji mnaishi nao mitaani unamwona anaamka asubuhi anaenda kushinda kijiweni anachoma mahindi then kuna muda anapotea mtaani siku tatu akirudi anasema alifuata mahindi ya kuuza huko vijijini mashambani kumbe alikuwa na "project" nyeti.
 
Ahsante kwa tip

Huku kwetu kuna wauza kahawa kwa mtindo wa kijiwe. Wanabadilika kila miezi sita au saba.
 
Back
Top Bottom