Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Naona mmetumwa kusafisha hali ya hewa!Unakili kidogo sana kwani wafu hawajiendelezi , wangapi wanajiliwa na diploma na kuendea na masomo ,full time chuoni hadi usiku ? TRA walitoa taarifa inayowahusu wao ishu za chuo ndio chuo kiseme,una akili kidogo sana
USSR
Kukujibu hilo lazima tupate ratiba ya masomo yake ya lazima na Yale ya kuchagua kwa wiki. Hiyo itatupa uhalisia kama alikuwa analazimika kwenda huko Kila siku ama la!Kwa hiyo atakuwa analipia elfu 60 kila siku kupanda treni kwa ajili ya kwenda darasani na kurudi?haimake sense hata hao mawaziri hawasomagi kwa mtindo huu
Kufanya reasoning huku ukiwa umevaa miwani ya kisiasa ni tatizo sugu kwa sasa. Ni ni tatizo la wote CCM na CDM, uchawa unadumaza watu kifikra.Pamoja na kauli zote tunazozizungumza. Tufahamu kuwa wanaoumia sana ni wanafamilia wa marehemu. Ushahidi huu hapa ππ
View attachment 3171628
Lakini sakata hili limeendelea kutuchanganya sana Watanzania. Tunajiuliza Kambayao alifuata nini Tegeta wakati alipaswa kuwa chuoni Dodoma CBE?
Maswali yanazidi kuchanganya umma
Maswali magumu
- Kwenye taarifa kutoka Bodi ya TRA haikusema kama alikuwa anasoma pia. Ni bahati mbaya au makusudi?
- Bachelor Degree kwa chuo kama CBE ni full time darasani, je mwanafunzi alikuwa anafanya nini Tegeta kwa Ndevu usiku ule?
- TRA walikosa picha ya marehemu kuiattach kwenye tangazo la msiba, ina maana CBE wana rekodi sahihi ya marehemu kuliko TRA. Je, marehemu hakuwahi kuajiriwa TRA?
- Serikali imepanic ama imechanganyikiwa?
- Kwenye taarifa ya CBE hawajasema kama marehemu alikuwa pia mwajiriwa wa TRA. Ni bahati mbaya, kujisahau au ndo ukweli?
Poleni wafiwa
CCM Haichomoi Kwenye SagaWa kulaumiwa kwenye haya mauaji ni serikali ya ccm.
Kwamba hakuna maderva competent hapo wizarani hadi wamtumie dereva mwanafunzi?Alikuwa dereva huko TRA. Chuo alikuwa anajiendeleza kielimu.
Field ndo wanafundishwa kwenda kuteka watu usiku? Emb tufafanulie hapo.. Je kuna mwanafunzi yeyote yule wa vyuo vya kawaida anayefanya field ya special mission attack? Huyo ni mhuni tu aliyeshirikishwa kwenye dili haram aliyepata stahiki yake. Wazazi wapokee mtu wao wakazike..Kwani hawezi kuwa Field?
Kama mwanachuo na yuko kazini alikiwa either field au alikuwa anafanya kazi huku anasoma labda masters
Ila nimeona hapo wameandika bachelor so what do i know
Umesoma tangazo vizuri la chuo na TRA Au umekurupuka tu kama vile ulikua unaoga nje.Unajiongezea maswali tu wewe mwenyewe; kwani hawezi kuwa yupo 'field training' huku akiwa mwana funzi?
Tuseme tu kuwa inawezekana hawakufuata taratibu za mafunzo na kazi zao inavyo takiwa kuwa.. Hali ilivyo nchini ndio mchango mkubwa wa haya yote. Hapakuwa na sababu yoyote kwa wananchi kuchukua hatua hiyo kama hali ya utulivu ingekuwepo nchini.
Naona Serikali inazidi kujivua nguo yenyewe, pole nyingi kwa familia yake.Pamoja na kauli zote tunazozizungumza. Tufahamu kuwa wanaoumia sana ni wanafamilia wa marehemu. Ushahidi huu hapa ππ
View attachment 3171628
Lakini sakata hili limeendelea kutuchanganya sana Watanzania. Tunajiuliza Kambayao alifuata nini Tegeta wakati alipaswa kuwa chuoni Dodoma CBE?
Maswali yanazidi kuchanganya umma
Maswali magumu
- Kwenye taarifa kutoka Bodi ya TRA haikusema kama alikuwa anasoma pia. Ni bahati mbaya au makusudi?
- Bachelor Degree kwa chuo kama CBE ni full time darasani, je mwanafunzi alikuwa anafanya nini Tegeta kwa Ndevu usiku ule?
- TRA walikosa picha ya marehemu kuiattach kwenye tangazo la msiba, ina maana CBE wana rekodi sahihi ya marehemu kuliko TRA. Je, marehemu hakuwahi kuajiriwa TRA?
- Serikali imepanic ama imechanganyikiwa?
- Kwenye taarifa ya CBE hawajasema kama marehemu alikuwa pia mwajiriwa wa TRA. Ni bahati mbaya, kujisahau au ndo ukweli?
Poleni wafiwa
Dodoma na Dar es salaam kwa mtu mwenye pesa ni pafupi sana. Ila kama ukiwa kapuku utapaona mbaliAnasoma saa ngapi?hata kama ni part time anakwenda Dodoma saa ngapi kuhudhuria vipindi?
Sioni, cha ajabu hapo, kuwa, mwanslafunzi, wa, CBE Dodoma, na, kuwa, eneo, LA, together Dar! Hakuna cha ajabu, kwani,wanafunzi, wa, CBE hawaruhusiwi kwenda, Dar? Swala, kwa nini alikuwa, kwenye operation ya TRA, using, linaelezeka, vzr tu, wanafunzi, wa, kada mbali mbali lazima wafanye mafunzo, ya vitendo, field, huyu alikuwa anasomea biashara, sasa TRA ni, sehwmu mijawapo unapoweza kufanyia field,Pamoja na kauli zote tunazozizungumza. Tufahamu kuwa wanaoumia sana ni wanafamilia wa marehemu. Ushahidi huu hapa ππ
View attachment 3171628
Lakini sakata hili limeendelea kutuchanganya sana Watanzania. Tunajiuliza Kambayao alifuata nini Tegeta wakati alipaswa kuwa chuoni Dodoma CBE?
Maswali yanazidi kuchanganya umma
Maswali magumu
- Kwenye taarifa kutoka Bodi ya TRA haikusema kama alikuwa anasoma pia. Ni bahati mbaya au makusudi?
- Bachelor Degree kwa chuo kama CBE ni full time darasani, je mwanafunzi alikuwa anafanya nini Tegeta kwa Ndevu usiku ule?
- TRA walikosa picha ya marehemu kuiattach kwenye tangazo la msiba, ina maana CBE wana rekodi sahihi ya marehemu kuliko TRA. Je, marehemu hakuwahi kuajiriwa TRA?
- Serikali imepanic ama imechanganyikiwa?
- Kwenye taarifa ya CBE hawajasema kama marehemu alikuwa pia mwajiriwa wa TRA. Ni bahati mbaya, kujisahau au ndo ukweli?
Poleni wafiwa
A foolish comment.CHADEMA tulieni. Hii nchi ni ya kila mmoja. Acheni kuichafua TRA
Katika kazi mtu anaweza anza kama msafisha ofisi akaomba kazi ya ukaguzi akapata na anaanza kujiendeleza kimasomo,watu wanatoka mbali mno na huyo Yuko hivyo,na hiyo ni kazi maalumu,kaa hivyo hivyo na kamasi lako puani,hata mbuyu unaanza kama mchicha.Pamoja na kauli zote tunazozizungumza. Tufahamu kuwa wanaoumia sana ni wanafamilia wa marehemu. Ushahidi huu hapa ππ
View attachment 3171628
Lakini sakata hili limeendelea kutuchanganya sana Watanzania. Tunajiuliza Kambayao alifuata nini Tegeta wakati alipaswa kuwa chuoni Dodoma CBE?
Maswali yanazidi kuchanganya umma
Maswali magumu
- Kwenye taarifa kutoka Bodi ya TRA haikusema kama alikuwa anasoma pia. Ni bahati mbaya au makusudi?
- Bachelor Degree kwa chuo kama CBE ni full time darasani, je mwanafunzi alikuwa anafanya nini Tegeta kwa Ndevu usiku ule?
- TRA walikosa picha ya marehemu kuiattach kwenye tangazo la msiba, ina maana CBE wana rekodi sahihi ya marehemu kuliko TRA. Je, marehemu hakuwahi kuajiriwa TRA?
- Serikali imepanic ama imechanganyikiwa?
- Kwenye taarifa ya CBE hawajasema kama marehemu alikuwa pia mwajiriwa wa TRA. Ni bahati mbaya, kujisahau au ndo ukweli?
Poleni wafiwa
Kazi maalumuMuda wa chuo ye alikua anafanya nn uko Tegeta.
Wasiojulikana wanaojulikana- Pascal MayallaUnakili kidogo sana kwani wafu hawajiendelezi , wangapi wanajiliwa na diploma na kuendea na masomo ,full time chuoni hadi usiku ? TRA walitoa taarifa inayowahusu wao ishu za chuo ndio chuo kiseme,una akili kidogo sana
USSR
Mafunzo kwa vitendo tena ya udereva kwa mwanafunzi wa College of Business Education ππππLabda alikuwa field anafanya mafunzo kwa vitendo !