Inasikitisha na kustua sana. Marehemu Kambayao wa TRA alikuwa pia Mwanachuo CBE Dodoma

RIP Amani Simbayao.

Our thoughts are with his family and friends at this difficult time.

Sasa hii si ni INTERNAL MEMO?

CBE watoe taarifa rasmi iloshiba inayomhusu mwanafunzi/mwajiriwa wa TRA na kwamba wafafanue alikuwa akisoma full-time au part-time.

CBE wawe wazi wasitoe taarifa nusunusu au za kutegemea INTERNAL MEMO.

CBE watoe OFFICIAL PRESS RELEASE.
 
Mwanafunzi kama mwanafunziπŸ€”
 
Hao ni vijana ambao hutolewa sadaka na wapo wengi Sana.

Pole Kwa familia yake Kwa kuwa na Kijana ambaye hajitambui .

Wenzake huko TRA na TISS wanafuga vitambi Ila yeye anatolewa Kama mbuzi wa kafara.
 
YAANI NAZIDI KUAMINI KWAMBA NI WATEKAJI..........
MUNGU HUFICHUA MAMBO NCHANA KWEUPEEEE.....
sasa tunasubiria ya funga mwakg
 
Wahusika wapigwe nondo nzito. Una gari ya wizi unajua umeshikwa unasema unatekwa, mzaha mzaha unaishia jela. Mitanganyika nayo imeona fika hawa ni TRA ndo inachukua hatua ila wakiwa watu wasioeleweka inajikausha. SMH
Kulingana na taarifa ya polisi gari ilikuwa na makosa ya kikodi, haikuwa gari ya wizi. Inashangaza watu wengi hivyo kufuatilia gari moja kwa kosa la kodi tu!
 
Maswali magumu
  1. Kwenye taarifa kutoka Bodi ya TRA haikusema kama alikuwa anasoma pia. Ni bahati mbaya au makusudi?
  2. Bachelor Degree kwa chuo kama CBE ni full time darasani, je mwanafunzi alikuwa anafanya nini Tegeta kwa Ndevu usiku ule?
  3. TRA walikosa picha ya marehemu kuiattach kwenye tangazo la msiba, ina maana CBE wana rekodi sahihi ya marehemu kuliko TRA. Je, marehemu hakuwahi kuajiriwa TRA?
  4. Serikali imepanic ama imechanganyikiwa?
 
πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
πŸŒ€οΈπŸ™‹β€β™‚οΈπŸŽ―πŸ‘πŸ€πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…