Inasikitisha na kustua sana. Marehemu Kambayao wa TRA alikuwa pia Mwanachuo CBE Dodoma

Inaonekana jamaa yuko Kitengo kikali sana maana si kwa utetezi ule wa vyombo
Gestapo Hawa wapuuzi.. Yaani wanatumia nguvu kubwa sana kumtafutia huyu Marehemu cover story.
Wanajua na sisi tunajua, hicho ni kikosi kazi na arobaini imeanza kuwafika taratibu hivyo wajipange.
Sasa hivi mtu asikubali kutekwa kizembe au kukamatwa bila makaratasi yote muhimu.
 
🌤️🙋‍♂️🎯👏👍🤝🙏
 
Kwenye maisha usijifanye kimbelembele mchumia janga hulia na wa kwao no one atajali kuhusu wewe wanakupa pole then kila mtu anasahau
 
Wabongo wana akili nzito sana
Eti anafanya field
Badala ya kujiuliza alipataje kazi bila kuwa shahada au ndio hawa wanapata kazi kinyemela
Kwani TRA wanaajiri mwenye shahada pekee? Au stashahada na astashahada zimefutwa? Wapo walioajiriwa TRA wana Stashahada
 
👍 🤝🙏
 
Inekuwa ni watekaji ila baada ya soo kufichuka wanajifanya ni TRA
 
Serikali imepagawa
 
Kulingana na taarifa ya polisi gari ilikuwa na makosa ya kikodi, haikuwa gari ya wizi. Inashangaza watu wengi hivyo kufuatilia gari moja kwa kosa la kodi tu!

Ilitakiwa waende wangapi?

Magari yanayoingia nchini bila kulipa Kodi ni mengi na hii ni uhujumu uchumi kama uhujumu uchumi mwingine. Wapigwe nondo nzito
 
Kulingana na taarifa ya polisi gari ilikuwa na makosa ya kikodi, haikuwa gari ya wizi. Inashangaza watu wengi hivyo kufuatilia gari moja kwa kosa la kodi tu!
Hapo ndio penye ulakini, wangapi mtaani Wana makosa ya Kodi na wanadunda bila kusumbuliwa zaidi sana unaitwa TRA mnakubaliana kulingana na sheria zilivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…