Inasikitisha na kustua sana. Marehemu Kambayao wa TRA alikuwa pia Mwanachuo CBE Dodoma

Inasikitisha na kustua sana. Marehemu Kambayao wa TRA alikuwa pia Mwanachuo CBE Dodoma

Inaonekana jamaa yuko Kitengo kikali sana maana si kwa utetezi ule wa vyombo
Gestapo Hawa wapuuzi.. Yaani wanatumia nguvu kubwa sana kumtafutia huyu Marehemu cover story.
Wanajua na sisi tunajua, hicho ni kikosi kazi na arobaini imeanza kuwafika taratibu hivyo wajipange.
Sasa hivi mtu asikubali kutekwa kizembe au kukamatwa bila makaratasi yote muhimu.
 
Hawa tatizo Lao ni moja, hawajipi mda kuja na Tamko lenye kuzingatia damage control, kila mtu ana kurupuka, mwisho wa siku it’s out of hands!

Hivi TRA walisemaje wana mamlaka ya ku arrest bila Police? Wana mahali pa kuweka watu Maabusu? Let’s assume watapeleka Police, Question: documents za arrest zitaanzia wapi?
🌤️🙋‍♂️🎯👏👍🤝🙏
 
Pamoja na kauli zote tunazozizungumza. Tufahamu kuwa wanaoumia sana ni wanafamilia wa marehemu. Ushahidi huu hapa 👇👇
View attachment 3171628
Lakini sakata hili limeendelea kutuchanganya sana Watanzania. Tunajiuliza Kambayao alifuata nini Tegeta wakati alipaswa kuwa chuoni Dodoma CBE?

Maswali yanazidi kuchanganya umma

Poleni wafiwa
Kwenye maisha usijifanye kimbelembele mchumia janga hulia na wa kwao no one atajali kuhusu wewe wanakupa pole then kila mtu anasahau
 
Wabongo wana akili nzito sana
Eti anafanya field
Badala ya kujiuliza alipataje kazi bila kuwa shahada au ndio hawa wanapata kazi kinyemela
Kwani TRA wanaajiri mwenye shahada pekee? Au stashahada na astashahada zimefutwa? Wapo walioajiriwa TRA wana Stashahada
 
RIP Amani Simbayao.

Our thoughts are with his family and friends at this difficult time.

Sasa hii si ni INTERNAL MEMO?

CBE watoe taarifa rasmi iloshiba inayomhusu mwanafunzi/mwajiriwa wa TRA na kwamba wafafanue alikuwa akisoma full-time au part-time.

CBE wawe wazi wasitoe taarifa nusunusu au za kutegemea INTERNAL MEMO.

CBE watoe OFFICIAL PRESS RELEASE.
👍 🤝🙏
 
Pamoja na kauli zote tunazozizungumza. Tufahamu kuwa wanaoumia sana ni wanafamilia wa marehemu. Ushahidi huu hapa 👇👇
View attachment 3171628
Lakini sakata hili limeendelea kutuchanganya sana Watanzania. Tunajiuliza Kambayao alifuata nini Tegeta wakati alipaswa kuwa chuoni Dodoma CBE?

Maswali yanazidi kuchanganya umma

Maswali magumu

Kwenye taarifa kutoka Bodi ya TRA haikusema kama alikuwa anasoma pia. Ni bahati mbaya au makusudi?
Bachelor Degree kwa chuo kama CBE ni full time darasani, je mwanafunzi alikuwa anafanya nini Tegeta kwa Ndevu usiku ule?
TRA walikosa picha ya marehemu kuiattach kwenye tangazo la msiba, ina maana CBE wana rekodi sahihi ya marehemu kuliko TRA. Je, marehemu hakuwahi kuajiriwa TRA?
Serikali imepanic ama imechanganyikiwa?


Poleni wafiwa
Inekuwa ni watekaji ila baada ya soo kufichuka wanajifanya ni TRA
 
Maswali magumu
  1. Kwenye taarifa kutoka Bodi ya TRA haikusema kama alikuwa anasoma pia. Ni bahati mbaya au makusudi?
  2. Bachelor Degree kwa chuo kama CBE ni full time darasani, je mwanafunzi alikuwa anafanya nini Tegeta kwa Ndevu usiku ule?
  3. TRA walikosa picha ya marehemu kuiattach kwenye tangazo la msiba, ina maana CBE wana rekodi sahihi ya marehemu kuliko TRA. Je, marehemu hakuwahi kuajiriwa TRA?
  4. Serikali imepanic ama imechanganyikiwa?
Serikali imepagawa
 
Kulingana na taarifa ya polisi gari ilikuwa na makosa ya kikodi, haikuwa gari ya wizi. Inashangaza watu wengi hivyo kufuatilia gari moja kwa kosa la kodi tu!
Hapo ndio penye ulakini, wangapi mtaani Wana makosa ya Kodi na wanadunda bila kusumbuliwa zaidi sana unaitwa TRA mnakubaliana kulingana na sheria zilivyo
 
Back
Top Bottom