Inasikitisha na kustua sana. Marehemu Kambayao wa TRA alikuwa pia Mwanachuo CBE Dodoma

Degree sio full time wapo wanaosoma evening classes wengi tu

Huyu jamaa alikuwa dereva na alikuwa anajiendeleza kuja kubadilishaa muundo halafu umeona wapi ukienda chuo kusoma wanauliza umejiriw wapi ukiwa chuo Kila mtu ni mwanachuo
 
Unakili kidogo sana kwani wafu hawajiendelezi , wangapi wanajiliwa na diploma na kuendea na masomo ,full time chuoni hadi usiku ? TRA walitoa taarifa inayowahusu wao ishu za chuo ndio chuo kiseme,una akili kidogo sana

USSR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…