econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Labda alikuwa field anafanya mafunzo kwa vitendo !
Field kwa CBE iliisha mwezi wa October
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda alikuwa field anafanya mafunzo kwa vitendo !
Na Damu ya KIBAO je?Damu yake haitaenda bure itaenda na watu jela
Inaonekana jamaa yuko Kitengo kikali sana maana si kwa utetezi ule wa vyombo
Wewe ndo hujaelewa kizungu !!Barua imesema alikuwa miongoni mwa maofisa wa TRA .Haija sema ni TRA Officer .Soma tenaUmeambiwa ni TRA officer, soma vizuri na uelewe.
Utailipa ni suala la muda tu utakamatwa kwa kumuuaNa Damu ya KIBAO je?
Anasoma saa ngapi?hata kama ni part time anakwenda Dodoma saa ngapi kuhudhuria vipindi?Ni mtumishi wa TRA as a driver, na CBE ni mwanafunzi, so kila ofisi ime response kwa namna wanavyorelate naye.
Akiwa TRA ni mtumishi dereva while akiwa CBE ni mwanafunzi
Ndiyo kifo ni kifoKifo ni kifo
Degree sio full time wapo wanaosoma evening classes wengi tuMaswali magumu
- Kwenye taarifa kutoka Bodi ya TRA haikusema kama alikuwa anasoma pia. Ni bahati mbaya au makusudi?
- Bachelor Degree kwa chuo kama CBE ni full time darasani, je mwanafunzi alikuwa anafanya nini Tegeta kwa Ndevu usiku ule?
- TRA walikosa picha ya marehemu kuiattach kwenye tangazo la msiba, ina maana CBE wana rekodi sahihi ya marehemu kuliko TRA. Je, marehemu hakuwahi kuajiriwa TRA?
- Serikali imepanic ama imechanganyikiwa?
Wakija wasiojulikana wenyewe mitanganyika inajificha. Hovyo sana
🤭Bado hamjasema
Labda alikuwa kwenye mafunzo ya mazoezi kwa vitendo!! Baadhi ya vyuo vina utaratibu huoTunajiuliza Kambayao alifuata nini Tegeta wakati alipaswa kuwa chuoni Dodoma CBE?
Degree sio full time wapo wanaosoma evening classes wengi tu
Huyu jamaa alikuwa dereva na alikuwa anajiendeleza kuja kubadilishaa muundo halafu umeona wapi ukienda chuo kusoma wanauliza umejiriw wapi ukiwa chuo Kila mtu ni mwanachuo
Labda alikuwa kwenye mafunzo ya mazoezi kwa vitendo!! Baadhi ya vyuo vina utaratibu huo
Poleni familia ya Kambaya, Poleni CBE, Poleni TRA, na poleni Watanzania!
Kwa sasa Dodoma Kuna usafiri wa haraka wa SGR-TRCAnasoma saa ngapi?hata kama ni part time anakwenda Dodoma saa ngapi kuhudhuria vipindi?
Tupe Almanac Yao ya mwaka huu! Lengo tujiridhishe. Pia Chuoni Kuna utaratibu wa ku'freeze' masomo...! Yaani hadi utushawishi Kuna jambo lisilo sawa lazima utupe taarifa za kutosha.Mafunzo ya vitendo kwa CBE huwa yanaisha mwezi wa October
Kwa hiyo atakuwa analipia elfu 60 kila siku kupanda treni kwa ajili ya kwenda darasani na kurudi?haimake sense hata hao mawaziri hawasomagi kwa mtindo huuKwa sasa Dodoma Kuna usafiri wa haraka wa SGR-TRC
Unakili kidogo sana kwani wafu hawajiendelezi , wangapi wanajiliwa na diploma na kuendea na masomo ,full time chuoni hadi usiku ? TRA walitoa taarifa inayowahusu wao ishu za chuo ndio chuo kiseme,una akili kidogo sanaPamoja na kauli zote tunazozizungumza. Tufahamu kuwa wanaoumia sana ni wanafamilia wa marehemu. Ushahidi huu hapa 👇👇
View attachment 3171628
Lakini sakata hili limeendelea kutuchanganya sana Watanzania. Tunajiuliza Kambayao alifuata nini Tegeta wakati alipaswa kuwa chuoni Dodoma CBE?
Maswali yanazidi kuchanganya umma
Maswali magumu
- Kwenye taarifa kutoka Bodi ya TRA haikusema kama alikuwa anasoma pia. Ni bahati mbaya au makusudi?
- Bachelor Degree kwa chuo kama CBE ni full time darasani, je mwanafunzi alikuwa anafanya nini Tegeta kwa Ndevu usiku ule?
- TRA walikosa picha ya marehemu kuiattach kwenye tangazo la msiba, ina maana CBE wana rekodi sahihi ya marehemu kuliko TRA. Je, marehemu hakuwahi kuajiriwa TRA?
- Serikali imepanic ama imechanganyikiwa?
- Kwenye taarifa ya CBE hawajasema kama marehemu alikuwa pia mwajiriwa wa TRA. Ni bahati mbaya, kujisahau au ndo ukweli?
Poleni wafiwa
Maelezo ya kina yanahitajika.Serikali imepagawa
Hawa ni wahuni huyo alikuwa ni wa kitengo ndio maana unaona taarifa zinajichanganyaSidhani kama.Taarifa ya awali ingeacha kutaja status yake ya Uanafunzi
Ila kama una c tatu utagundua dogo anajicho la tai(eagle) kabisa.