luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Hii UZI wako umenisikitisha sanaa yaan dogo una shangaa mtu wa age ya 35 kuomba post ya trainee ? Hujui target ya mtu may be ana magamba yake extra kayaficha anataka aingie kwanza ktk.ofisi yenu kisha aje abadilishie gear angani ...
Dogo ktk ofisi IZI acha kushangaa, kuna mwambia aliomba kaz ktk shirika flan silitaj jamaa aliomba post ya driver ..alipo ingiantu ktk ile ofisi after 2 yrs jamaa ikatokea post (internally.calling) ya wazi jamaa akatoa gamba la shahada ya umahiri.... Jamaa aka kwema tawi lingine
Kwa iyo dogo vipi vya kushangaa ila sio ivyo ..nenda kashangae Tanzanite bridge pale