The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Vipi huyo jamaa kafanikiwa?Kazi yangu ilikua kuwapigia simu tu waje kwenye usaili,sina influence yoyote mkuu.
Na wahusika tayari wamefanya usaili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi huyo jamaa kafanikiwa?Kazi yangu ilikua kuwapigia simu tu waje kwenye usaili,sina influence yoyote mkuu.
Na wahusika tayari wamefanya usaili.
Nashukuru mkuu kwa kunielewa.maana nashumbuliwa humu utadhani nimetukana mtu yeyote hapa.Nilivyomuelewa mtoa mada ni kua katika hali ya kawaida mtu akishafika kwnye 35 kama hana ajira rasmi ya kuajiriwa bas atakua alishaanza kujishughulisha binafsi na sio kuwa na mawazo ya kuajiriwa tena kwa kuanzia ngaz za chin
Wapi nimesema ni wa hovyo?Sukushangai kwa sababu wengi wetu hatuna exposure! Kazi ni kwa kila mtu, kwa wenzetu baadhi ya sekta mtu anastaafu kwa hiyari yake.
Ukienda huko huko mamtoni wazee wa 70s wako mzigoni wanachapa kazi.
Sasa wewe unashangaa kijana mwenye nguvu wa 35 years!!!
Eeehe ukiwa nacho unaona wasiokuwa nacho wa hovyo!!
Maisha ni fumbo, hujui mapito ya watu. Kaa kimya mshukuru Mola kwa alivyokujalia.
Siku hizi JF comment ya kwanza ikiponda jambo basi wengi watakao changia nao wataponda!hii mada inachangiwa na watu wenye hasira kali,ila mtoa mada haja maanisha kwa ubaya na wala haja sema chochote kibaya,
Na moja ya ulimbukeni huo ni kuleta uzi wa kumsema mtu wa miaka 35 kuja kuomba ajira kwenu!Siku zote wale wanaopitia shida au mazingira Magumu,wakifanikiwa kidogo tu ndo huanza kuwa kama huyu!! Ukijaribu kuchunguza hata wale tuliokulia mazingira ya kimaskini au yenye changamoto kubwa,tukija kufanikiwa mbeleni HUKO huwa tunakuwa na dharau sana hasa sisi wadada na wanawake!! Ulimbukeni unakuwa mkubwa kuliko Hekima[emoji3578]
Hujamuoffend lakini kitendo cha kuja hapa na kumshangaa kana kwamba amefanya jambo la ajabu kuomba ajira kwa umri wa 35yrs ni kitu cha ajabu umeshangaza watu mimi mwenyewe nilipata kazi kwenye 20s ila siwezi kumkatia tamaa mwanadamu anaeishi kwakuwa sina ratiba ya mafanikio ya mtu isipokuwa Mungu hata kama umesema aina ya kazi ni ya vijana ila huo ni mtazamo wako ndio maana hata yeye aliomba na akaitwa kwenye usaili.Wapi nimemuoffend mtu yeyote hapa kwenye huu uzi nionyeshe?
hii mada inachangiwa na watu wenye hasira kali,ila mtoa mada haja maanisha kwa ubaya na wala haja sema chochote kibaya,
Umeeleza vizuri sana, mbona haishangai serikali yake ambayo imeweka age limit ya kuajiriwa serikalini ni 45.Hujamuoffend lakini kitendo cha kuja hapa na kumshangaa kana kwamba amefanya jambo la ajabu kuomba ajira kwa umri wa 35yrs ni kitu cha ajabu umeshangaza watu mimi mwenyewe nilipata kazi kwenye 20s ila siwezi kumkatia tamaa mwanadamu anaeishi kwakuwa sina ratiba ya mafanikio ya mtu isipokuwa Mungu hata kama umesema aina ya kazi ni ya vijana ila huo ni mtazamo wako ndio maana hata yeye aliomba na akaitwa kwenye usaili.
Hasa wenzako ma ps wa maboss, wenye umri mkubwa tunawapa kipaumbele au kuwa pendelea wapate nafasi, hata barua zao tunapekeka fasta na promo la nguvu.Naona watu mmenielewa vibaya
Iko hivi,mimi sijadharau mtu,kilichonishangaza ni hii kuona mtu wa 35 years anaomba kazi ya Trainee,kwangu ni kitu kigeni kwa sababu nimezoea kuona watu wanaoomba hizi nafasi za kuwa Trainee ni vijana wadogo wa chini ya miaka 30.
Anyway jamaa kahudhuria usaili na tumeonana, I hope Mungu atamsaidia.
[emoji23][emoji23][emoji23],bora akae kimya tuBado unaendelea kuandika utumbo tu
Sio kweli.Siku hizi JF comment ya kwanza ikiponda jambo basi wengi watakao changia nao wataponda!
[emoji1787][emoji1787]
KIPINDI UNATAFUTA KAZI AKILI ULIKIWA NAZO, KWA SASA UNAFIKIRI KWA KUTUMIA K... M....Boss wangu alikua kanipa kazi niwapigie watu waje kwenye interview ya kazi ya Trainee iliyotangazwa hapa ofisini kwetu miezi kadhaa iliyopita.
Surprisingly katika kupitia cv zao, nimeona kuna mtu ana miaka 35 nae kaitwa. Nimejiuliza huyu mtu wenzake wa umri huo sasa hivi huenda wamefikia levels za umeneja au head of departments. Sasa huyu ndio kwanza anaomba Trainee.
Nimesikitishwa sana.
KIPINDI UNATAFUTA KAZI AKILI ULIKIWA NAZO, KWA SASA UNAFIKIRI KWA KUTUMIA K... M....
Ps, uzi wako wa 2016
Mambo zenu wakuu?
Kuna tabia wanayo ma-HR wenye asili ya Tanzania naweza kusema ni uswahili uliochanganyikana na roho mbaya +upuuzi +uchawi wa kiwango cha juu kabisa kuwahi kutokea toka tupate huru.
Sio kweli, ukichunguza kwa makini maelezo yake yana viashiria flani vya dharau na ndio sababu ya kila mchangiaji kumponda. Maelezo yake yanaashiria hiyo kampuni, taasisi ingekuwa yake au angekuwa na position flani ya maamuzi hasingependa hyo jamaa apate hiyo nafasi hapo.Siku hizi JF comment ya kwanza ikiponda jambo basi wengi watakao changia nao wataponda!
🤣🤣
Achaa dharau. Mungu akusamehee tuu ww hata haujui kesho yako uliekuja kumtangaza humu kesho ndo anakuja kuwa boss wakoBoss wangu alikua kanipa kazi niwapigie watu waje kwenye interview ya kazi ya Trainee iliyotangazwa hapa ofisini kwetu miezi kadhaa iliyopita.
Surprisingly katika kupitia cv zao, nimeona kuna mtu ana miaka 35 nae kaitwa. Nimejiuliza huyu mtu wenzake wa umri huo sasa hivi huenda wamefikia levels za umeneja au head of departments. Sasa huyu ndio kwanza anaomba Trainee.
Nimesikitishwa sana.