Wacha kushangaa.
MAISHA KILA MTU YUKO KWENYE MUDA WAKE NI SAHIHI.
Hata wewe hapo ulipo. hujawahi kushinda wengine
Kwa sababu ,MTU anaweza kuwahi mapema kupata kazi, ika kamshahara Kadogo , mwingine akachelewa, lkn akaanza na Mkubwa na cheo kikubwa !!.
Unaweza uwahi kupata kazi una miaka 25 ,ILA UKAFA UNAMIAKA 30
Mwingine akapatwa kazi anamiaka 40, ila akaishi miaka 90.
Wee acha kushanga, Mpigie simu , kwakua yeye sio mjinga.
KAKA YANGU,, MTAALAM NGULI WA IT, ALIPATA KAZI MAKAO MAKUU YA KAMPUNI MOJA YA MAWASILIANO (XXXXXXXXXX) BILA KUFANYIWA INTAVYUU..... yaaan kujitolea kwake bila malipo pale , kwa muda wa miaka mitatu KUKAMPA SHAVU akiwa namiaka 36.
Saizi anadunda tuu, Leo Ujeruman...Kesho Marekani... Kesho Uchina..Kesho Kwa Madiba.. Mara wapi, Mara wapi...
Posho yake ya kulipia Nyumba, Na huduma zingine ,nje ya mshahara. Unaweza kua ni mshahara wako wa miezi mitatu huko.