INASIKITISHA SANA KUONA KUNA VIJANA WANAOMBA KUSOMEA KOZI YA UALIMU

Miaka ya nyuma watu walikuwa wanaenda kusomea ualimu kwa sababu ya urahisi wa kupata mkopo (HESLB) na ajira za serikalini na shule binafsi, pia kutokana na kukosa taarifa sahihi juu ya maisha na mazingira ya walimu kwa ujumla.

Watu wengi wamesomea ualimu kwa sababu hizi, lakini baadae wamekuja kujutia sana kwa uamuzi wao mbovu kwani walikuwa wana machaguzi mengi ila wakakosea kuchagua ualimu.

MAMBO YAMEBADILIKA SASA
Unaweza kusomea UALIMU na usipate mkopo na ukahangaika kutafuta ajira kama kada nyinginezo, na ukipata pia utaishi maisha ya kifukara sana hadi kujutia uamuzi wako.

1. Kwa nini usomee kazi ambayo una uhakika 70%+ wa kuishi maisha magumu na mazingira magumu ambayo huwezi kuinjoi elimu yako.
2. Kwa nini usomee kazi ambayo itakufanya uishi kinyonge/kifukara zaidi wakati wewe ni msomi?
3. Hivi kweli mtu umesoma hadi degree unalipwa laki moja? Moja na nusu/ mbili/tatu tempo au private.
4. KUMBUKA hii ndio kada yenye mshahara mdogo zaidi Tanzania na ni kada isiyo na allowances za aina yoyote + majukumu mengi+ maboss wengi ( anayebisha aje kiniprove - wrong)

YAANI HATA WALIOISHIA DARASA LA SABA/FORM FOUR ni ngumu kukubali kufanya kazi ya hivyo

( Degre take home <600k?)

USHAURI
KAMA unatarajia kuingia chuoni mwaka huu achana na mawazo ya kusomea program kwa ajili ya urahisi wa kupata mkopo au ajira ( kwa sasa ajira zote ni ngumu kupata)

Tafuta kazi ambayo baada ya kusota kutafuta ajira na ukapata at least utaenjoy matunda ya elimu yako; mazingira + pesa ( at least mshahara + posho ufike mara mbili ya mshahara wa teachers)

MUDA SAHIHI WA KUBADILISHA MAISHA YAKO NI KABLA HUJAANZA KUINGIA KWENYE MFUMO, UKISHAINGIA HUKO KUTOKA NI NGUMU SANA.

SUPPORT

View: https://www.facebook.com/share/v/1QnrDbRfFE/

NOTE
Nawatahadharisha mapema, haya nayosema ni kwa uzoefu sio kwa kusikia.

Nimesomea bachelor ya ualimu na sasa nimeanua kukimbia nasoma masters ya KEMIA.

KUHUSU uandishi mtanisamehe, nimeandika chap kwa haraka

We una udumavu wa akili, kila mwenye akili timamu anahangaika apate elimu bora au watoto wake wapate elimu nzuri. We kima bila walimu hiyo elimu itatolewa na kina nani? Hv umefikiria kwa kutumia kiungo kipi cha mwili wako? Mburukenge ungekaa kimya, ualimu ni lazima kwa maendeleo ya binadamu na Taifa kwa ujumla, muhimu mazingira yaboreshwe hasa mishahara na serikali inajitahidi ni mwezi uliopita waliongezewa mishahara. We akili zako za kitoto niambie mishahara ya serikali, kwa taarifa yako kwa mishahara ya serikali walimu wako juu ya kada nyingi km wanasheria, wachumi, wahasibu, maafisa rasilimali watu, ht wahandisi labda madaktari wako juu kidogo. Kinachowasaidia kada zingine ni posho za hapa na pale na kuiba siyo mishahara. Ht hivyo we ni sawa na mchawi tu kuharibu akili za watoto wetu walimu wenyewe hawalalamiki wanaenjoy we ni nani. Walimu wengi siku hizi wana maendeleo makubwa kuliko hizo kada zingine we baki kubwabwaja tu.
 
Miaka ya nyuma watu walikuwa w2anaenda kusomea ualimu kwa sababu ya urahisi wa kupata mkopo (HESLB) na ajira za serikalini na shule binafsi, pia kutokana na kukosa taarifa sahihi juu ya maisha na mazingira ya walimu kwa ujumla.

Watu wengi wamesomea ualimu kwa sababu hizi, lakini baadae wamekuja kujutia sana kwa uamuzi wao mbovu kwani walikuwa wana machaguzi mengi ila wakakosea kuchagua ualimu.

MAMBO YAMEBADILIKA SASA
Unaweza kusomea UALIMU na usipate mkopo na ukahangaika kutafuta ajira kama kada nyinginezo, na ukipata pia utaishi maisha ya kifukara sana hadi kujutia uamuzi wako.

1. Kwa nini usomee kazi ambayo una uhakika 70%+ wa kuishi maisha magumu na mazingira magumu ambayo huwezi kuinjoi elimu yako.
2. Kwa nini usomee kazi ambayo itakufanya uishi kinyonge/kifukara zaidi wakati wewe ni msomi?
3. Hivi kweli mtu umesoma hadi degree unalipwa laki moja? Moja na nusu/ mbili/tatu tempo au private.
4. KUMBUKA hii ndio kada yenye mshahara mdogo zaidi Tanzania na ni kada isiyo na allowances za aina yoyote + majukumu mengi+ maboss wengi ( anayebisha aje kiniprove - wrong)

YAANI HATA WALIOISHIA DARASA LA SABA/FORM FOUR ni ngumu kukubali kufanya kazi ya hivyo

( Degre take home <600k?)

USHAURI
KAMA unatarajia kuingia chuoni mwaka huu achana na mawazo ya kusomea program kwa ajili ya urahisi wa kupata mkopo au ajira ( kwa sasa ajira zote ni ngumu kupata)

Tafuta kazi ambayo baada ya kusota kutafuta ajira na ukapata at least utaenjoy matunda ya elimu yako; mazingira + pesa ( at least mshahara + posho ufike mara mbili ya mshahara wa teachers)

MUDA SAHIHI WA KUBADILISHA MAISHA YAKO NI KABLA HUJAANZA KUINGIA KWENYE MFUMO, UKISHAINGIA HUKO KUTOKA NI NGUMU SANA.

SUPPORT

View: https://www.facebook.com/share/v/1QnrDbRfFE/

NOTE
Nawatahadharisha mapema, haya nayosema ni kwa uzoefu sio kwa kusikia.

Nimesomea bachelor ya ualimu na sasa nimeanua kukimbia nasoma masters ya KEMIA.

KUHUSU uandishi mtanisamehe, nimeandika chap kwa haraka

Umeandika uchafu tu, hiyo Masters ya Chemistry itakusaidia nini, we ni bwege tu uliyekata tamaa na huna elimu yyte usingeandika huu upuuzi
 
Mkuu ualimu sio kila sehemu jau maana now ukisoma physics na Math unapata kazi chap.
Hivi juhudi zote zile za kusoma machand advance+ chuo.

Uje kulipwa gross 700k take home 500+? (Degree)

Kuna wahuni wamezingua form four, wameenda VETA wanapiga na wanapiga hiyo 500k ya degree ya education+ posho ambapo wanakuja kumzidi mtu wa degree wa edu
 
Umeandika uchafu tu, hiyo Masters ya Chemistry itakusaidia nini, we ni bwege tu uliyekata tamaa na huna elimu yyte usingeandika huu upuuzi
Mwalimu uliyekuwa brainwashed na theory za kina Plato, mahatma Gandhi, Socrates, Luis Pestalozzi, maria Montessori .

UKWELI ni kwamba umesomea ualimu kwa kuwa
1. Ufaulu mdogo ( kwa walimu wa zamani sio sasa)
2. Kutojua uhalisia
3. Kukosa ada ya kusomea unachotaka

Hayo mambo yakiondoka kwa mtu hawezi kusomea ualimu.

Mtu amesoma PCB anashindwa kusoma computer science akapige hela halafu akasomee ualimu?
 
Hivi juhudi zote zile za kusoma machand advance+ chuo.

Uje kulipwa gross 700k take home 500+? (Degree)

Kuna wahuni wamezingua form four, wameenda VETA wanapiga na wanapiga hiyo 500k ya degree ya education+ posho ambapo wanakuja kumzidi mtu wa degree wa edu
Mkuu Ualimu ,Afya ni kazi za wito.

Mama anatekeleza ,Oktoba usitiki wewe
 
Umeandika uchafu tu, hiyo Masters ya Chemistry itakusaidia nini, we ni bwege tu uliyekata tamaa na huna elimu yyte usingeandika huu upuuzi
Wewe kama ushaingia kwenye mfumo komaa tu ila usiwabrain wash watu wakubali kuingia kwenye kada hii ambayo haina future hata kidogo.

MImi nishalipwa hadi 150k ( tempo) tena nahangaika kufundisha advance (chemistry/Mathematics)
 
Miaka ya nyuma watu walikuwa wanaenda kusomea ualimu kwa sababu ya urahisi wa kupata mkopo (HESLB) na ajira za serikalini na shule binafsi, pia kutokana na kukosa taarifa sahihi juu ya maisha na mazingira ya walimu kwa ujumla.

Watu wengi wamesomea ualimu kwa sababu hizi, lakini baadae wamekuja kujutia sana kwa uamuzi wao mbovu kwani walikuwa wana machaguzi mengi ila wakakosea kuchagua ualimu.

MAMBO YAMEBADILIKA SASA
Unaweza kusomea UALIMU na usipate mkopo na ukahangaika kutafuta ajira kama kada nyinginezo, na ukipata pia utaishi maisha ya kifukara sana hadi kujutia uamuzi wako.

1. Kwa nini usomee kazi ambayo una uhakika 70%+ wa kuishi maisha magumu na mazingira magumu ambayo huwezi kuinjoi elimu yako.
2. Kwa nini usomee kazi ambayo itakufanya uishi kinyonge/kifukara zaidi wakati wewe ni msomi?
3. Hivi kweli mtu umesoma hadi degree unalipwa laki moja? Moja na nusu/ mbili/tatu tempo au private.
4. KUMBUKA hii ndio kada yenye mshahara mdogo zaidi Tanzania na ni kada isiyo na allowances za aina yoyote + majukumu mengi+ maboss wengi ( anayebisha aje kiniprove - wrong)

YAANI HATA WALIOISHIA DARASA LA SABA/FORM FOUR ni ngumu kukubali kufanya kazi ya hivyo

( Degre take home <600k?)

USHAURI
KAMA unatarajia kuingia chuoni mwaka huu achana na mawazo ya kusomea program kwa ajili ya urahisi wa kupata mkopo au ajira ( kwa sasa ajira zote ni ngumu kupata)

Tafuta kazi ambayo baada ya kusota kutafuta ajira na ukapata at least utaenjoy matunda ya elimu yako; mazingira + pesa ( at least mshahara + posho ufike mara mbili ya mshahara wa teachers)

MUDA SAHIHI WA KUBADILISHA MAISHA YAKO NI KABLA HUJAANZA KUINGIA KWENYE MFUMO, UKISHAINGIA HUKO KUTOKA NI NGUMU SANA.

SUPPORT

View: https://www.facebook.com/share/v/1QnrDbRfFE/

NOTE
Nawatahadharisha mapema, haya nayosema ni kwa uzoefu sio kwa kusikia.

Nimesomea bachelor ya ualimu na sasa nimeanua kukimbia nasoma masters ya KEMIA.

KUHUSU uandishi mtanisamehe, nimeandika chap kwa haraka

Usijidanganye siku hizi kila kada hali ni ngumu.
 
Mkuu Ualimu ,Afya ni kazi za wito.

Mama anatekeleza ,Oktoba usitiki wewe
Mimi hizo habari za Oktoba zitaki kuzigusia, kila mtu afanye aonavyo sawa.

Hayo maneno ni ya kushangilia umaskini.

Kila kazi inahitaji wito, kwani pale TRA hawahitaji wito? Ubunge auhitaji wito?

Unataka kusema kazi ikihitaji wito ndio haihitaji maslahi kwa watumishi?
 
Usijidanganye siku hizi kila kada hali ni ngumu.
Usidanganyike mkuu, kada zinatofautiana sana.

Kuna jamaa nimesoma nao pale UDOM ( CNMS) tulikuwa room moja (walisoma statistics)

Mmoja ana uhakika wa 350k overtime kila mwezi, mmoja ana uhakika 450k kila mwezi

Hizo ni za uhakika, Kuna za emergency

KUMBUKA hiyo sio mishahara

Wakati mwalimu ana uhakika wa kukaa mwaka mzima na asipate wastani wa posho ya 50k kwa mwezi
 
Mimi hizo habari za Oktoba zitaki kuzigusia, kila mtu afanye aonavyo sawa.

Hayo maneno ni ya kushangilia umaskini.

Kila kazi inahitaji wito, kwani pale TRA hawahitaji wito? Ubunge auhitaji wito?

Unataka kusema kazi ikihitaji wito ndio haihitaji maslahi kwa watumishi?
Sasa unapingana na chama cha Kijani au ? Siku zote inajulikana Afya na Ualimu ni kazi za mabwenyenye ndo maana hukuti watoto wa viongozi wanasomesha watoto wao ili waje kuchezea vidonda na chaki labda kijana atake mwenyewe
 
Ushanielewa wewe,
Lengo la mtu kusoma sio kwenda kufanya kazi ya wito tu,
Lengo ni mtu kufanya kazi/kuhudumia jamii huku na yeye apate personal development.

Inawezekana vipi kufanya kazi kwa wito huku una mzigo wa madeni, kodi, mahitaji ya nyumbani?
 
Maisha hayaishii katika pesa tu na vitu vya kifahari , mtu anayewaza kuhusu pesa na mali ni ubinafsi wa hali ya juu ! Watu wote hawawezi kuwa Bakhresa au kulipwa pesa kubwa kubwa ndo mfumo wa ubepari ulivyo hilo ni swala la serikali kujitambua

Kazi nyingine ni huduma mkiwaza pesa na mali nani atatufundishia watoto nani atatibu wagonjwa , nani atakaa nursing home, nani atakutengenezea bomba la maji ya moto tajiri , nani atakuandalia meza yako wakati wa kula tajiri? , nani atadeki vyoo vya wanao shuleni ?

Dunia au nature ina jinsi ya kujiendesha 😂😂 yaan hizo kazi hata wakifuta mishahara lazima kuna watu utakuta wanazifanya kwa sababu kabla ya pesa na mali huduma inatangulia na ndo maana yote unayoyaona leo walioyatengeneza hawakufaidika nayo wemeacha tu majina !

Wafikirie kina Newton , Galilei, Marie Curie n.k theories zao zimefanya mangapi kuna kampuni zinapiga pesa kinyama kwa vitu ambavyo wenzao walivifanya kama sehemu ya majukumu yao au passion.

Hivyo hivyo unavyopenda mali na pesa au kazi fulani kubwa kubwa kuna wenzako wanaupenda ualimu damu damu anaona ni kitu kinachomfurahisha na anakifanya kwa amani !
Na kuna watu hiyo kazi unayoota au unatamani kuifanya kwa sababu ina mshahara unaouona mkubwa wanaiona kama takataka.
 
Back
Top Bottom