Buhongwa ipi Mkuu, nipo hapo huwa naona vi IST kama vi3 hivi used vya mikopo 😅😅Hivi hizi Kliger, Harrier sijui Premio zilizopakiwa hapa shule ya msingi Buhongwa mnataka kusema Tusisome Ualimu
MKUU achs bhasss mkopo ilikuwa na umuhimu gani mkuu!?? Kesho njoo michungwani kwanza mkuuBuhongwa ipi Mkuu, nipo hapo huwa naona vi IST kama vi3 hivi used vya mikopo 😅😅
Hivi juhudi zote zile za kusoma machand advance+ chuo.
Uje kulipwa gross 700k take home 500+? (Degree)
Kuna wahuni wamezingua form four, wameenda VETA wanapiga na wanapiga hiyo 500k ya degree ya education+ posho ambapo wanakuja kumzidi mtu wa degree wa edu
Ile IS 131 pale Mlimani ulisomaje mkuu!??Ila yategemeana..
Tatizo ni kuwa wenye kuisoma hii fani wengi wao huwa hawakufanya vizuri masomo yao.
Ila kwa mimi najivunia kusoma Uwalimu na maslahi yangu naridhika nayo na yanazidi kukuwa kila kipindi. Ukiutumia uwalimu vema unalipa kama mnavyoona fani nyingine zinavyolipa.
Hupaswi kujifunga kwenye Fikra za ki uwalimu wa Nchi yetu tuu lazima ujue na zaidi kuhusu Cambridge na IB au zaidi huko ndo kuna hela.
Mimi ninacho laumu Ni vyuo vyetu kutoa kozi ya uwalimu ambayo haiendani na soko la kimataifa kabisa
Mtu unasoma hadi unamaliza hujui chochote kuhusu namna unaweza tumia Science au teknologia kwenye uwalimu wako. Nimesoma UD sijawaji hata elekezwa Namna yoyote ile ya kutumia Computer zaidi kuonyeshewa kama mchoro tuu na sio vitendo.
Bila kujiongeza hii fani ni mbaya na itazidi kuwa mbaya, na tatizo lipo vyuo vyetu havitoi wahitimu Wa kimataifa wala kuwapa uwalimu mafunzo ya ujasiria mali.
Gross 925K MAMA MITANO TENAHivi juhudi zote zile za kusoma machand advance+ chuo.
Uje kulipwa gross 700k take home 500+? (Degree)
Kuna wahuni wamezingua form four, wameenda VETA wanapiga na wanapiga hiyo 500k ya degree ya education+ posho ambapo wanakuja kumzidi mtu wa degree wa edu
Sasa wasiposomea ualimu wanafunzi watafundishwa na nani?Habarini wadau
Unataka taifa likose walimu?Kwa mtu mwenye kufikiria future ya mwanae, hawezi kuthubutu kumpeleka mtoto wake akasomee ualimu.