INASIKITISHA SANA KUONA KUNA VIJANA WANAOMBA KUSOMEA KOZI YA UALIMU

Hivi hizi Kliger, Harrier sijui Premio zilizopakiwa hapa shule ya msingi Buhongwa mnataka kusema Tusisome Ualimu
 
Hivi hizi Kliger, Harrier sijui Premio zilizopakiwa hapa shule ya msingi Buhongwa mnataka kusema Tusisome Ualimu
Buhongwa ipi Mkuu, nipo hapo huwa naona vi IST kama vi3 hivi used vya mikopo πŸ˜…πŸ˜…
 
Buhongwa ipi Mkuu, nipo hapo huwa naona vi IST kama vi3 hivi used vya mikopo πŸ˜…πŸ˜…
MKUU achs bhasss mkopo ilikuwa na umuhimu gani mkuu!?? Kesho njoo michungwani kwanza mkuu
 

Ila yategemeana..
Tatizo ni kuwa wenye kuisoma hii fani wengi wao huwa hawakufanya vizuri masomo yao.
Ila kwa mimi najivunia kusoma Uwalimu na maslahi yangu naridhika nayo na yanazidi kukuwa kila kipindi. Ukiutumia uwalimu vema unalipa kama mnavyoona fani nyingine zinavyolipa.

Hupaswi kujifunga kwenye Fikra za ki uwalimu wa Nchi yetu tuu lazima ujue na zaidi kuhusu Cambridge na IB au zaidi huko ndo kuna hela.

Mimi ninacho laumu Ni vyuo vyetu kutoa kozi ya uwalimu ambayo haiendani na soko la kimataifa kabisa

Mtu unasoma hadi unamaliza hujui chochote kuhusu namna unaweza tumia Science au teknologia kwenye uwalimu wako. Nimesoma UD sijawaji hata elekezwa Namna yoyote ile ya kutumia Computer zaidi kuonyeshewa kama mchoro tuu na sio vitendo.

Bila kujiongeza hii fani ni mbaya na itazidi kuwa mbaya, na tatizo lipo vyuo vyetu havitoi wahitimu Wa kimataifa wala kuwapa uwalimu mafunzo ya ujasiria mali.
 
Ile IS 131 pale Mlimani ulisomaje mkuu!??
 
Gross 925K MAMA MITANO TENA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…