Inasikitisha sana. Kwanini Azam Media inaendekeza udini namna hii?

Inasikitisha sana. Kwanini Azam Media inaendekeza udini namna hii?

Kwahiyo nimepotosha kuandika herufi maneno yangu au ebu nieleweshe hapo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Umepotosha hapa, kuamini kuwa suti ni vazi la kikristo
1677675239442.png
 
Umepotosha hapa, kuamini kuwa suti ni vazi la kikristo
View attachment 2533816
Mbona mada iko wazi Tatizo mnarukaruka sana nimeuliza kwa anae amini hivyo ila ukaja ukasema hayo mengi kuna swali niliuliza hivi niliambiwa kuna taasisi zenyewe dress code zao ni suruali na shati nikauliza vipi kwa wanawake wa kiislam watapata kazi humo maana wao hijabu kwao kuvaa ni lazima

Ukajibu ukasema sasa kama mtataka hivyo wamasai je.

Ndio nikahitimisha kusema kama ni hivyo basi waislam wa kike itakua ngumu kupata kazi katika taasisi hizo

Kwa sababu hawawezi kufuata taratibu za mwanaadam na kumuasi mungu

Maana kuna taasisi haziruhusu hijabu.

Kuhusu suti rudi juu kwenye comment uisome vizuri uilelewe.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Sina uhakika ila Kama Ni kweli [emoji116]

Inawezekana hata BHARESA mwenyewe halijui hili sema hapa katikati Kuna wapambe wanaoangalia izo cv zenu ndio wanafanya maamuz hayo Amin ivo sure
 
Kwa mara ya kwanza nilipoomba kazi ndani ya Azam Media (Tv na Radio) watu wengi waliniambia si rahisi kupata kazi katika makampuni ya Bakhresa kama wewe si Muislamu. Walioomba kazi hiyo tulikuwa Wakristo 8 na Waislamu 4. Lakini nafasi zilikuwa 13. Cha ajabu kwa Wakristo alichukuliwa mtu mmoja tu lakini Waislamu wote walichukuliwa hata ambao hawakuwa na sifa stahiki.

Hatua hii ilinisukuma na wenzangu kufanya uchunguzi wa kitaaluma. Loh! Yani asilimia 79.4 ya wafanyakazi katika chombo hiki cha habari ni Waislamu. Ni asilimia 19.6 tu ndio wa dini na madhehebu mengine.

My take: Hata kama wewe ni wa dini fulani lakini kama umewekeza katika jamii mchanganyiko si busara kuwabagua wafanyakazi wako kwa udini, ukabila, jinsia nakadhalika maana unaowauzia bidhaa zako si wa Imani yako pekee. Bakhresa lichunguze hili isije ikawa hata wewe hujui ila ni maamuzi ya wakubwa uliowaweka humu ndani.
Mkuu uzi huu umepotoka kwenda mbele, Tido Mhando ni CEO ambaye anachoweka mbele ni technical know how
 
Pote umepatia, Hapo kwenye bold, hayo maneno SHERIA YA KIISLAMU, inafanya mavazi uliyoyatamka yajulikane kuwa ni ya kiislamu
Yeap ila kwa miaka ya nyuma na sasa sio sawa kama hijabu...Sasa Kuna teknolojia kubwa zinakuwa za vitambaa vizuri zaidi katika muundo ule ule kikubwa iendane na sheria iwe labda inatakiwa kufunika sehemu gani ....mbona watu tunaswali na shuka tu ....Tuna hakikisha kwamba imefunika sehemu ya uchi kisheria
 
Nimegundua kua wamepata ukakasi baada ya kutajiwa neno hijab

Hawajui kama hilo neno linatafsir ila anyway

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ulipo sema halipewi airtime hii ndio msingi wa mada

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sasa kama wao wanakuwa wanaiongelea kauli hiyo sana kiasi cha kuifanya iwe popular kuliko hayo maneno mengine ambayo umeya prefer (ambayo hayajulikani na wengi), inahusiana vipi na mimi kuandika maana isiyo halisi?
 
Na ndio maana amekuuliza nyinyi wenye akili mbona taasisi mlizo jazana ndo taasisi za hovyo ndani ya nchi hii?
TAASIS ZA HOVYO NCHII HII NI
BAKWATA, MORO UNIVERSITY, SHULE ZOTE ZA MSINGI NA SECONDARY ZILIZO CHINI YA YENU BAKWATA ZINAONGOZA KWA VILAZA NCHINI, NA AZAM KWASASA TAARIFA YAKE YA MANAGEMENT MWAKA 2020-2022 WAMEKIRI KUENDESHA Co KWA HASARA KWASABAB YA WAFANYAKAZ WASIOKUA NA UWEZO NA MAARIFA YA KUTOSHA,
Msikurupuke kubishana na watu someni taarifa zenu wenyew... 80% ya taasisi zenu hazifanyi vzuri kwasabab ya udini wenu na kutokua na akili... Nyie mnachoweza ni kucheza taarabu tu...
 
Kwa mara ya kwanza nilipoomba kazi ndani ya Azam Media (Tv na Radio) watu wengi waliniambia si rahisi kupata kazi katika makampuni ya Bakhresa kama wewe si Muislamu. Walioomba kazi hiyo tulikuwa Wakristo 8 na Waislamu 4. Lakini nafasi zilikuwa 13. Cha ajabu kwa Wakristo alichukuliwa mtu mmoja tu lakini Waislamu wote walichukuliwa hata ambao hawakuwa na sifa stahiki.

Hatua hii ilinisukuma na wenzangu kufanya uchunguzi wa kitaaluma. Loh! Yani asilimia 79.4 ya wafanyakazi katika chombo hiki cha habari ni Waislamu. Ni asilimia 19.6 tu ndio wa dini na madhehebu mengine.

My take: Hata kama wewe ni wa dini fulani lakini kama umewekeza katika jamii mchanganyiko si busara kuwabagua wafanyakazi wako kwa udini, ukabila, jinsia nakadhalika maana unaowauzia bidhaa zako si wa Imani yako pekee. Bakhresa lichunguze hili isije ikawa hata wewe hujui ila ni maamuzi ya wakubwa uliowaweka humu ndani.
Hali kama hiyo nimekutana nayo mwanza kiwanda cha lakairo nilipoenda kuomba kazi, ......kuanzia walinzi magetini mpaka viongozi wa ngazi za juu pale kiwandani ni wajaluo,..ikanibidi nimuulize mwenyeji wangu mbona hapa kumejaa watu wa kabila moja kiasi hiki? Jibu nililopewa kumbe mwenye kiwanda mwenyewe ni mjaluo.
 
Back
Top Bottom