spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 7,557
- 20,477
Kuhusu undugu ni kweli al muslim akhul muslim
Muislam ni ndugu wa muislam
Na Undugu katika uislam upo wa Aina tatu
1.Imaan
2.Nasaba DNA
3.Muambile sisi sote ni bin Adam (wana wa adam)
Huo ndo msimamo wa uislam
Wewe kama haupo biological related pia si muislam ila tu ni binadam basi wewe ni ndugu yangu na una haki zako juu yangu moja wapo muhimu ni kuwajulia hali na kuwasalimu
Haya niwasalimu wagalatia mnajionaje na hali?😁