Inasikitisha sana. Kwanini Azam Media inaendekeza udini namna hii?

Hata taasisi za kidini, inapokuja kazi za kiraia , wanatakiwa kuchukua watu bila kujali dini zao.. Endapo unaweza kuthibitisha hoja ya udini, ndiyo sababu ya kukosa kazi, unaweza kudai haki yako hiyo kisheria kabisa
 
Wameshindwa kutetea imani yao kuhusu siku ya EID. Hawa wanasheherekea leo, na wengine kesho..!!! Lakini ukiwaambia wakatetee imani kwa maana ya kupiga au kuuwa wengine, LAZIMA WAENDE
Kusherekea Idd leo na kesho umeona ni hoja?
Utakuwa hujui hivyo ngoja uelimishwe.Orthodox Christians wanashere kea Christmas wiki mbili baada ya Christmas ya tarehe 25 December.Wao wanasheherekea tarehe 7 Januari. Hilo hujaliona unaona tofauti ya siku moja kwa sababu ya tafsiri tofauti.
Ujahili hauwezi kukuacha salama soma na punguza chuki.
 
Ilikuwa ni TANESCO ajabu hata wavaa hijabu hawataki kusoma hapo
Wao kazi kuuziana mali zao eg Pale Kibasila Dar, kiwanja kimeuzwa na wapo kimya. Eneo lile angenunu mkristo ingekuwa shida kubwa. SI tunawaona jinsi wanavyopambana kuhakikisha makanisa hayajengwi. Mfano kule Mbagala, walijaribu kuzuia fensi ya PArokia ya Kilamba, wameshindwa. The same to Parokia ya Kizuiani Mbagala. walibomoa fensi. Yaani hawa jamaa ni shida.

BTW, hapa Tanzania, huwezi kuta wakristo wanachoma moto au kubomoa msikiti, lakini wao kubomoa makanisa wanaongoza
 
Watu watasema hasira za kukosa kazi ila huo ni ukweli
waislamu ni wadini.nashangaa leo kuna mtu kaposti kuhusu wakristo ati ni wadini.haya sasa akanushe na haya.dini ya kiislamu ni ya kibaguzi tupende tusipende ukweli utabaki kama ulivyo kama walivyo wakristo wa kisabato.
 
We unautaja uislamu wakati mimi nawataja waislamu

Utofauti wa mimi na wewe upo hapo
Sawa ila si umesema hayo huyasikii sasa umejuaje kama ni ya uislam wakati hujawahi yasikia

Tusiwe hivi tulivyo hatutafika zaidi tutajazana chuki mwisho wa siku.

Yani kuchagua baadhi ya maneno na mengine kuyadondosha huko sio kutafuta elimu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kusherekea Idd leo na kesho umeona ni hoja?
Utakuwa hujui hivyo ngoja uelimishwe.Orthodox Christians wanashere kea Christmas wiki mbili baada ya Christmas ya tarehe 25 December.Wao wanasheherekea tarehe 7 Januari. Hilo hujaliona unaona tofauti ya siku moja kwa sababu ya tafsiri tofauti.
Ujahili hauwezi kukuacha salama soma na punguza chuki.
Sina chuki na yeyote.
 
Wao kazi kuuziana mali zao eg Pale Kibasila Dar, kiwanja kimeuzwa na wapo kimya. Eneo lile angenunu mkristo ingekuwa shida kubwa. SI tunawaona jinsi wanavyopambana kuhakikisha makanisa hayajengwi. Mfano kule Mbagala, walijaribu kuzuia fensi ya PArokia ya Kilamba, wameshindwa. The same to Parokia ya Kizuiani Mbagala. walibomoa fensi. Yaani hawa jamaa ni shida.

BTW, hapa Tanzania, huwezi kuta wakristo wanachoma moto au kubomoa msikiti, lakini wao kubomoa makanisa wanaongoza
Toka wamepewa kile chuo hawajawahi kuongeza hata chuo cha ufundi
 
Sawa ila si umesema hayo huyasikii sasa umejuaje kama ni ya uislam wakati hujawahi yasikia

Tusiwe hivi tulivyo hatutafika zaidi tutajazana chuki mwisho wa siku.

Yani kuchagua baadhi ya maneno na mengine kuyadondosha huko sio kutafuta elimu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Usiwe rotted brain mzee uwe unazingatia maelezo

Unavyouliza siyasikii, unategemea mimi niyasikie kutoka wapi?

Wakati hao wanao preachers ndio ambao hawayapi kipaumbele hayo maneno?

Watu wakwanza kuchagua maneno ni hao ma preachers, sio sisi tunao wanukuu.

Achana na mihemko soma post niliyomjibu yule aliyekuja na quote ya Quran utaelewa nilichomaanisha
 
Hii haina mjadala,

Angalia majina ya wafanyakazi wao wengi kuanzia viwandani hadi kwenye media zao sio yale ya vatican au bethlem.

Ukiangalia most guys wenye majina ya kiisrael na wanafanya kazi pale basi wana reputation kubwa au specal skills tofauti na hapo ni mwendo wa Dubai.

Angalia tamthilia zao katika media, nyingi ni zinatoka middle east na turkey, and do you know what is common in turkey and middle east? Utajibu.
 
Mishahara yenyewe ya Azam ...inafika hadhi ya kuanzishiwa thread zote hizi?

Nafikiri walipaswa kubanwa wao Azam na Mo kwenye mishahara kwanza kabla ya kukagua watu Imani na makabila.

Isije onekana anapendelea watu Fulani kumbe ananyonya na kuwaumiza Kwa kupitia kabila au imani
 
Usiwe rotted brain mzee uwe unazingatia maelezo

Unavyouliza siyasikii, unategemea mimi niyasikie kutoka wapi?

Wakati hao wanao preachers ndio ambao hawayapi kipaumbele hayo maneno?

Watu wakwanza kuchagua maneno ni hao ma preachers, sio sisi tunao wanukuu.

Achana na mihemko soma post niliyomjibu yule aliyekuja na quote ya Quran utaelewa nilichomaanisha
Nilishakuelewa na hilo bado nakataa tena unapo sema kua wana sema huwa wanakazia hayo tu sio kweli yote yanaongelewa haiwezekani kila ijumaa mada ikawa inajirudia usinifanye mimi hakuna nonacho kijua umeleta hapa video ya you tube kuhusu udugu wa uislam wakati huohuo hayo mengine yote yapo huko huko

Tena video zinaonesha wakiwa misilitini kifupi unataka kuukataa ukweli wa mambo.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Unaandika kwa kutumia masaburi badala ya akili?wewe ndiyo usome Tena nilichokujibu badala ya kunijibu hovyo na kuniwekea dysphoric emojis.

Narudia tena kuhusu swala lako la kufananisha KCMC hospital na Azam media.

Ni hivi;

KCMC ni hospitali ya dini ya kikristo Kama ilivyo hospitali ya kiislamu Tanga. Azam media ni private media ambayo haiko based na mifumo ya dini ya kiislamu,na endapo Azam media wangesema moja ya sifa za kuajiri uwe muislamu maana yake mleta mada hoja yake ingekufa na angeonekana ana matatizo ya akili kulalamika. Mfano wako ulipaswa ulinganishe Kati ya Imani tv(Imani media) na Upendo tv(upendo media) inge- make sense. Ila wewe umeleta ujinga kufananisha hospital ya dini na media isiyo ya dini. Unaona kosa lako lilipo Sasa hivi au mtu akuzibue kibao Kisha akili ikukae sawa ndiyo uelewe hoja yangu?

Focus.
Ebu angalia Tena unaandika upuuzi kwamba ni private tayar mtu anaweza kufanya atakalo kwani ajira zake zinapitia utumishi?

Kuwa na akili ndo uje kujenga hoja ..mbona KCMC wanafanya hivyo usemi? Na bado KCMC inapokea ruzuku serikali.

Je una hakika kwamba Azam hawaajiri dini nyingine au unaropoka kama umekunywa maji ya chooni.

Fanya utafiti usiongee kitu ambacho ukijui kabisa.
 
Sasa mkuu kama ni hivyo je namimi ninae amini suit ni vazi la wakristo sijabaguliwa kuhusu imani yangu?
Suti siyo vazi la kikristo tuwekane sawa hapa.
Je ikiwa imani yangu imenitaka nivae hijabu alafu wewe ukataka kusema hapana hapa hijab hairuhusiwi huo nao sio ubaguzi
Kwenda kufanya interview Kuna Uhusiano gani na imani ya mtu? Unaona kosa lenu waislamu hapa? Mtu ameambiwa moja ya dress code ni shati na suruali ya kitambaa Ila wewe unakuja na kanzu huoni Hilo ni kosa?
Kifupi taasisi nyingi hazitaki waislam wafate taratibu zao na huo ndio ubaguzi wenyewe
Tatizo siyo taasisi hazitaki waislamu wafate taratibu zao,ila ni nyinyi waislamu ndiyo mnataka kuingiza taratibu zenu kwenye hizo taasisi ndiyo maana mnapokemewa mnaona mnabaguliwa.
Kama mtu anajua kabisa hijabu ni vazi la lazima kwa muislam wa kike kuvaa Alafu analazimishwa asivae.
Kuna muda sababu za kiusalama zinapelekea kukatazwa kuvaa Hilo vazi pamoja na niqab (ninja),mfano bank huruhusiwi kuvaa nikab (vazi la kiislamu) ila wewe ukilazimisha kuvaa niqab kisa ni vazi la dini yako hapo wewe ndiyo una makosa.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ebu angalia Tena unaandika upuuzi kwamba ni private tayar mtu anaweza kufanya atakalo kwani ajira zake zinapitia utumishi?

Kuwa na akili ndo uje kujenga hoja ..mbona KCMC wanafanya hivyo usemi? Na bado KCMC inapokea ruzuku serikali.

Je una hakika kwamba Azam hawaajiri dini nyingine au unaropoka kama umekunywa maji ya chooni.

Fanya utafiti usiongee kitu ambacho ukijui kabisa.

Ebu angalia Tena unaandika upuuzi kwamba ni private tayar mtu anaweza kufanya atakalo kwani ajira zake zinapitia utumishi?
Ebu kuwa na adabu unapoandika hoja yako,siyo lazima kuitana wapuuzi na lugha za maudhi.
Kuwa na akili ndo uje kujenga hoja ..mbona KCMC wanafanya hivyo usemi? Na bado KCMC inapokea ruzuku serikali.
Hapo pa kcmc Kupokea ruzuku za serikali ndiyo ilipo hoja yako maana unaparudiarudia Sana. Lakini nilishakujibu huko juu. Serikali kutoa ruzuku kcmc haiondoi ukweli kwamba kcmc ni hospital ya dini. Hivi hapa usichoelewa ni Nini?
Je una hakika kwamba Azam hawaajiri dini nyingine au unaropoka kama umekunywa maji ya chooni.

Pia kosa hili unalirudia kila muda. Nadhani hii I we Mara yangu ya mwisho kukujibu. Ni hivi; aliyeleta hoja ya udini Ni mleta mada na siyo mimi,sawa? Mimi nimekusahihosha wewe mifano yako irrelevant kuhusu kufananisha chombo Cha dini na chombo kisicho Cha dini. Hapa napo umenielewa?
Fanya utafiti usiongee kitu ambacho ukijui kabisa.
Nifanye Utafiti juu ya nini? Na kipi nisichokielewa?
 
Suti siyo vazi la kikristo tuwekane sawa hapa.

Kwenda kufanya interview Kuna Uhusiano gani na imani ya mtu? Unaona kosa lenu waislamu hapa? Mtu ameambiwa moja ya dress code ni shati na suruali ya kitambaa Ila wewe unakuja na kanzu huoni Hilo ni kosa?

Tatizo siyo taasisi hazitaki waislamu wafate taratibu zao,ila ni nyinyi waislamu ndiyo mnataka kuingiza taratibu zenu kwenye hizo taasisi ndiyo maana mnapokemewa mnaona mnabaguliwa.

Kuna muda sababu za kiusalama zinapelekea kukatazwa kuvaa Hilo vazi pamoja na niqab (ninja),mfano bank huruhusiwi kuvaa nikab (vazi la kiislamu) ila wewe ukilazimisha kuvaa niqab kisa ni vazi la dini yako hapo wewe ndiyo una makosa.
Mbona mimi sijazungumzia niqab

Kwa hiyo wale wanao vaa hijab na magauni unahakikisha hapo kua ni kweli zipo kampuni hazijali haki zao.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ebu kuwa na adabu unapoandika hoja yako,siyo lazima kuitana wapuuzi na lugha za maudhi.

Hapo pa kcmc Kupokea ruzuku za serikali ndiyo ilipo hoja yako maana unaparudiarudia Sana. Lakini nilishakujibu huko juu. Serikali kutoa ruzuku kcmc haiondoi ukweli kwamba kcmc ni hospital ya dini. Hivi hapa usichoelewa ni Nini?

Pia kosa hili unalirudia kila muda. Nadhani hii I we Mara yangu ya mwisho kukujibu. Ni hivi; aliyeleta hoja ya udini Ni mleta mada na siyo mimi,sawa? Mimi nimekusahihosha wewe mifano yako irrelevant kuhusu kufananisha chombo Cha dini na chombo kisicho Cha dini. Hapa napo umenielewa?

Nifanye Utafiti juu ya nini? Na kipi nisichokielewa?
Sasa kwa nn Azam mnalilia? Na mbona wakristo wapo .

Mnaacha kufunga mnakimbilia kuleta chuki za kidini
 
Nilishakuelewa na hilo bado nakataa tena unapo sema kua wana sema huwa wanakazia hayo tu sio kweli yote yanaongelewa haiwezekani kila ijumaa mada ikawa inajirudia usinifanye mimi hakuna nonacho kijua umeleta hapa video ya you tube kuhusu udugu wa uislam wakati huohuo hayo mengine yote yapo huko huko

Tena video zinaonesha wakiwa misilitini kifupi unataka kuukataa ukweli wa mambo.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Unakubali kuwa kauli hiyo ipo ila hutaki watu waiongelee sana kauli hiyo kwasababu kuna kauli zingine nzuri watu wanapaswa kuzingatia

Kama ni kauli nzuri kwanini uone vibaya mwingine aki-quote mara kwa mara kama reference?
 
Back
Top Bottom