Inasikitisha sana. Kwanini Azam Media inaendekeza udini namna hii?

Ukiwachukua wakristo 10 na muislam 1 ukawaambia waende kuishi pamoja, huwezi kukuta wakristo wanambagua kwasabb ya dini ila ukiwachukua waislam 10 na mkristo 1 ukawaambia wakaishi pamoja. Watambagua kwasababu ya dini.
Uliona wapi? Nenda mbeya walivyokuwa wabaguzi wapo wakristo wanaoa mikoa ya pwani kwa sana jamii za waislamu ila nyie wengi mko ovyo kabisa yaani hata maadili yenu ni uchafu kweny jamiii
 
Karibu bongo blo,kampuni ikiwa ya mchaga,asilimia 90 ya wafanyakazi itakuwa wachaga,
Ukikuta ni Mhaya,wembe ni ule ule,
Kuna kampuni moja ya network,inaitwa power and network,PN,wahandisi wake wengi ni wapare na Islam,
Charity begins at home,lazima uibebe jamii yako kwanza kabla haujasaidia wengine.
 
Ingekuaje mkuu?
Mfano hai umeona kwa mtoa uzi. Kama wewe siyo dini yao tegemea kubaguliwa na kutengwa.

Siyo kama wanaroho nzuri hapana ni unafiki ingekuwa hivyo uislam ungekuwa ndiyo dini ya mfano mzuri na watu wao wangekuwa na roho nzuri sana.

Uislamu unaenezwa kwa njia ya umwagaji damu, ubaguzi na mahakama zao. Huko Uarabuni watu wamejiunga na uislamu kwasababu wameogopa kutengwa, kuuwawa na kunyimwa huduma za kijamii.
 
Ebu fanya utafiti ili upate kulinganisha ajira zilizopo ITV, Redio Tumaini, Wapo Radio na nyinginezo, ili takwimu zako zitoe ulinganifu wenye kuaminika zaidi.
 
Kwa nini mifano mnaenda kuitolea Arabuni huko?
 
Mimi ni Muislamu, Kama hizi habari zako ni za ukweli, basi hilo ni kosa kubwa sana, Muislamu na Mkirsto sote ni wanadamu na tunashikwa na njaa namna moja na kila mmoja wetu anamahitaji. Ubaguzi wa kikazi halistahili, Nchi yetu haina dini.

Kama kweli lipo linastahili kushughulikiwa.
 
Ebu fanya utafiti ili upate kulinganisha ajira zilizopo ITV, Redio Tumaini, Wapo Radio na nyinginezo, ili takwimu zako zitoe ulinganifu wenye kuaminika zaidi.
ITV/Radio 1 hakuna ujinga huo labda iwe Sasa. Mengi aliamini katika uwezo wa mtu sio dini yake. Tumaini na Wapo Radio hivyo ni vyombo mahuksusi Kwa ajili ya kueneza dini sawa na vituo vingine vya kiislamu.
 
Kaombe na IPP media utuletee takwimu pia...mlianza sisi tunamaliza mbwa nyie
 
Kuna muda mtaacha tuwavunjie heshima Waristo wenye akili timamu kwa ujinga wa baadhi yenu, Yaani umekaa kabisa unadanganya watu uwa una data za waombaji wote au mmekusanyana vijana wa hovyo mkadhani nyinyi ndio mmemomba ajira tu.
Hawa kina Baraka Mpenja, Ivona na mumewe, na wengineo wanaswali msikiti gani, na kama kuna waislamu wengi nani unahisi hana sifa umemzidi kila kitu kiasi kwamba unahisi wewe umeonewa na eneo lake la kazi linapwaya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…