Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Hii ni kweli.chuo tuliokuwa nao kozi moja walianzisha umoja wao wakawa wanajitengaUkiwachukua wakristo 10 na muislam 1 ukawaambia waende kuishi pamoja, huwezi kukuta wakristo wanambagua kwasabb ya dini ila ukiwachukua waislam 10 na mkristo 1 ukawaambia wakaishi pamoja. Watambagua kwasababu ya dini.