Inasikitisha sana. Kwanini Azam Media inaendekeza udini namna hii?

Inasikitisha sana. Kwanini Azam Media inaendekeza udini namna hii?

Waislam wangekuwa wengi kama wa dini zingine.
Dunia ingekuwa siyo mahali salama kwa kuishi.
Huwa nawazaga hv nchi zenye super economy kama marekani zngekua za kiislamu,,, leo hii tanzania si tungeomba poooh,,, yaan hawa watu bhana sjui wana nn yaan akiwa kwny kacheo hata ka utendaji wa kijiji wanajionaga kama ndo washapewa mamlaka zote za dunia......

Afu cha ajabu sasa wengi wao ni maskini wa kutupwa,,, nenda mabibo uone walivojazana kwny kubeba mizigo,,

Yaan ni dini ya ajabu kuwahi kutokea,,, na cha ajabu sasa matajiri ni wale wahindi na waarabu,,,, wao weusi wamebakia kuwa vibarua na wapagazi tu
 
Uliona wapi? Nenda mbeya walivyokuwa wabaguzi wapo wakristo wanaoa mikoa ya pwani kwa sana jamii za waislamu ila nyie wengi mko ovyo kabisa yaani hata maadili yenu ni uchafu kweny jamiii
Kuoa Muislamu bila kubadili dini tena kutoka familia za Pwani!? Sio kweli, hakuna hiyo kitu. Unataka mke, Silimu Kwanza ndio kigezo kimojawapo kabla ya hayo mengine.
 
Huwa nawazaga hv nchi zenye super economy kama marekani zngekua za kiislamu,,, leo hii tanzania si tungeomba poooh,,, yaan hawa watu bhana sjui wana nn yaan akiwa kwny kacheo hata ka utendaji wa kijiji wanajionaga kama ndo washapewa mamlaka zote za dunia......

Afu cha ajabu sasa wengi wao ni maskini wa kutupwa,,, nenda mabibo uone walivojazana kwny kubeba mizigo,,

Yaan ni dini ya ajabu kuwahi kutokea,,, na cha ajabu sasa matajiri ni wale wahindi na waarabu,,,, wao weusi wamebakia kuwa vibarua na wapagazi tu
Kasome king leopold ghost uone hao wazungu walichofanya congo.
 
Sasa hiyo sio foundation ya kiislamu hususani pale unapoweka tangazo la ajira kwa kuhitaji watu wenye vigezo vinavyoendana na taaluma husika

Mbona wasio waislamu hawatumi maombi kwenye nafasi za kazi za BAKWATA

Kwenye tangazo la kazi angeweka sifa ya uislamu sidhani kama watu wasio waislamu wangejisumbua kuomba kazi.
Inaonekana kuna vigezo vya wazi na vile vilivyojificha. Unatoboa kwenye vya wazi, unakwama kwa vilivyojificha.
 
Hilo haitobadilika ndio uhalisia ila wema na uadilifu ni kwa kila kiumbe chini ya jua hata wanyama.View attachment 2533685
Yap hilo linaweza kuwepo kwenye vitabu vyenu ila kwenye misikiti likawa halipewi airtime sana.....watu wengi hawalisikii

Ila ile slogan ya kusema muislamu ndugu yake ni muislamu iko popular kuliko hilo andiko kwasababu imepewa airtime sana msikitini
 
Ulishawahi ingia msikitini ukashuhudia hayo unayosema kama ni kweli?

Acha kupotosha

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kuna ubaya muislam aliewekeza mtaji wake binafsi akiwainua waislam wenzake?

Ingekuwa taasisi ya kiserikali hapo ungekuwa na hoja ya kujibiwa.
Sheria za nchi zinaangalia masuala ya wananchi sio public sekta tu.
 
Mimi nilipata, nipo nafanya kazi. Kwa taaluma zetu tulijuana nani ana uwezo kushinda wengine. Haikuwa kazi ngumu kubaini. Kwani wewe hujui kuwa unamzidi mwanao wa darasa la pili kusoma, kuandika, kuelewa na kutafakari?
Mwanzo ulilalamika hukupata kazi ..sasa unasema umepata lakini malalamiko Tele....
Labda Una agenda na propaganda...
 
Nasema hivi, zipo taasisi nyingi sana zimeaajit waktisto mtupuu mbna watu hawaongei.
Tena taasisi hzoo nizaa serikali
 
Mimi nilipata, nipo nafanya kazi. Kwa taaluma zetu tulijuana nani ana uwezo kushinda wengine. Haikuwa kazi ngumu kubaini. Kwani wewe hujui kuwa unamzidi mwanao wa darasa la pili kusoma, kuandika, kuelewa na kutafakari?
Kwahiyo unawapigania wakristo ambao hawakuchaguliwa, na je ulijuaje kama walijibu maswali interview inavyotakiwa wwkati wewe hukuwa muuliza maswali?
 
Kuna ubaya muislam aliewekeza mtaji wake binafsi akiwainua waislam wenzake?

Ingekuwa taasisi ya kiserikali hapo ungekuwa na hoja ya kujibiwa.
Kwahiyo na wateja anakua amelenga waislam wenzake? Tuambie ukweli ili tiachane na hii campuni
 
Back
Top Bottom