Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
shule ya msingi uliyosoma Darasa lilikuwa na waislamu wangapi na wakristo wangapi?
Shule ya sekondari uliyosoma waislam walikuwa wangapi na wakristo wangapi?.
Vyuo ulivyosoma waislamu walikuwa wangapi na wakristo wangapi?.
Nimeuliza kwa nia njema sana kabla sijachangia kwenye hii mada yako.