Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
Wadini wakubwa nyie
Sio mpaka niingie msikitini, tunawasikia kupitia speakers ambazo mmefunga msikitiniUlishawahi ingia msikitini ukashuhudia hayo unayosema kama ni kweli?
Acha kupotosha
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Umeona Azam Media tu pekee ukitaka Kuwaonea Waislamu, ila umesahau kuwa hata Kwetu kwa Wakristo ( Ukristoni ) pale IPP Media kama siyo Mkristo ( Lutheran au Anglican ) na hutokei Kilimanjaro au Arusha hata uwe na CV ndefu ya kuanzia Dar es Salaam hadi Kigoma huwezi kupata Kazi.Kwa mara ya kwanza nilipoomba kazi ndani ya Azam Media (Tv na Radio) watu wengi waliniambia si rahisi kupata kazi katika makampuni ya Bakhresa kama wewe si Muislamu. Walioomba kazi hiyo tulikuwa Wakristo 8 na Waislamu 4. Lakini nafasi zilikuwa 13. Cha ajabu kwa Wakristo alichukuliwa mtu mmoja tu lakini Waislamu wote walichukuliwa hata ambao hawakuwa na sifa stahiki.
Hatua hii ilinisukuma na wenzangu kufanya uchunguzi wa kitaaluma. Loh! Yani asilimia 79.4 ya wafanyakazi katika chombo hiki cha habari ni Waislamu. Ni asilimia 19.6 tu ndio wa dini na madhehebu mengine.
My take: Hata kama wewe ni wa dini fulani lakini kama umewekeza katika jamii mchanganyiko si busara kuwabagua wafanyakazi wako kwa udini, ukabila, jinsia nakadhalika maana unaowauzia bidhaa zako si wa Imani yako pekee. Bakhresa lichunguze hili isije ikawa hata wewe hujui ila ni maamuzi ya wakubwa uliowaweka humu ndani.
Muasisi ni Muslim so lazima kipaumbele kiwe Kwa waislam & vise versa is trueKwa mara ya kwanza nilipoomba kazi ndani ya Azam Media (Tv na Radio) watu wengi waliniambia si rahisi kupata kazi katika makampuni ya Bakhresa kama wewe si Muislamu. Walioomba kazi hiyo tulikuwa Wakristo 8 na Waislamu 4. Lakini nafasi zilikuwa 13. Cha ajabu kwa Wakristo alichukuliwa mtu mmoja tu lakini Waislamu wote walichukuliwa hata ambao hawakuwa na sifa stahiki.
Hatua hii ilinisukuma na wenzangu kufanya uchunguzi wa kitaaluma. Loh! Yani asilimia 79.4 ya wafanyakazi katika chombo hiki cha habari ni Waislamu. Ni asilimia 19.6 tu ndio wa dini na madhehebu mengine.
My take: Hata kama wewe ni wa dini fulani lakini kama umewekeza katika jamii mchanganyiko si busara kuwabagua wafanyakazi wako kwa udini, ukabila, jinsia nakadhalika maana unaowauzia bidhaa zako si wa Imani yako pekee. Bakhresa lichunguze hili isije ikawa hata wewe hujui ila ni maamuzi ya wakubwa uliowaweka humu ndani.
[emoji23][emoji23] Ndio unawasikia wanakwambia hivyo kua aSio mpaka niingie msikitini, tunawasikia kupitia speakers ambazo mmefunga msikitini
Azam ni kwa ajili ya waislam kama unaweza kuwaepuka bas fanya hivyo ila kama huwez vumilia tu.Kwa mara ya kwanza nilipoomba kazi ndani ya Azam Media (Tv na Radio) watu wengi waliniambia si rahisi kupata kazi katika makampuni ya Bakhresa kama wewe si Muislamu. Walioomba kazi hiyo tulikuwa Wakristo 8 na Waislamu 4. Lakini nafasi zilikuwa 13. Cha ajabu kwa Wakristo alichukuliwa mtu mmoja tu lakini Waislamu wote walichukuliwa hata ambao hawakuwa na sifa stahiki.
Hatua hii ilinisukuma na wenzangu kufanya uchunguzi wa kitaaluma. Loh! Yani asilimia 79.4 ya wafanyakazi katika chombo hiki cha habari ni Waislamu. Ni asilimia 19.6 tu ndio wa dini na madhehebu mengine.
My take: Hata kama wewe ni wa dini fulani lakini kama umewekeza katika jamii mchanganyiko si busara kuwabagua wafanyakazi wako kwa udini, ukabila, jinsia nakadhalika maana unaowauzia bidhaa zako si wa Imani yako pekee. Bakhresa lichunguze hili isije ikawa hata wewe hujui ila ni maamuzi ya wakubwa uliowaweka humu ndani.
Soma paragraph ya mwisho.Mwanzo ulilalamika hukupata kazi ..sasa unasema umepata lakini malalamiko Tele....
Labda Una agenda na propaganda...
Hujui hata unachokiandika unakiandika kwa makusidio gani[emoji23][emoji23] Ndio unawasikia wanakwambia hivyo kua a
AJIRA apewe muislam tu kwa sababu muislam ndugu yake ni muislam
Nilijua tu tangu Mwanzo kua wewe upo kwenye Dini Fulani. Ila anyway
Waliambiwa hao walete na orodha ya kampuni watumish wa IPP au hata KCMC ili tuone
Ila kwakua nawewe ni mdini ukakimbilia kujenga hoja kipuuzi tena ya uongo.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Niliyem_quote anajua alichoandika. Dini mmeletewa kisha mnabaguana. Hivi huko hospitali huwa unachagua daktari wa dini yako ndio akuhudumie!?Sasa wewe ulitakaje
Au kwakua dini yenu haina muongozo unataka na hii iwe mnavyo taka nyie
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Bado hujajibu swali nakuiliza tena ulitaka watu waache muongozo waoNiliyem_quote anajua alichoandika. Dini mmeletewa kisha mnabaguana. Hivi huko hospitali huwa unachagua daktari wa dini yako ndio akuhudumie!?
Yap hilo linaweza kuwepo kwenye vitabu vyenu ila kwenye misikiti likawa halipewi airtime sana.....watu wengi hawalisikiiHujui hata unachokiandika unakiandika kwa makusidio gani
Mimi nimeunga mkono hoja ya mdau aliyesema waislamu wanapenda kusema muislamu ndugu yake ni muislamu
Hakuna sehemu nimesema ajira apewe muislamu kwasababu ndugu yake ni muislamu
Ni kweli kwamba waislamu wana hiyo Slogan that's it, hizo habari za udini ni kuishiwa hoja
UWadini wakubwa nyie
Kwa Mfano hapa TZ mikoa inayoongoza kwa matukio ya kiuhalifu, mauwaji ya Albino, vikongwe, kuuwa watoto kwa kuiba fedha au chakula, wizi, ujambazi..., ni ile yenye waislamu wengi?Waislam wangekuwa wengi kama wa dini zingine.
Dunia ingekuwa siyo mahali salama kwa kuishi.
We jamaa una upotoshaji wa Hali ya juu Sana kwenye comments zako. Na isivyo bahati unaowaquote wanakuwa wepesi,hawawezi kutetea hoja.Unajifunga moja kwa moja wapi uislamu unaruhusu ubaguzi .
Mbona pale KCMC Tuliacha kulea shobo japo serikali inayoa ruzuku