Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Vikundi vya kigaidi kwa mujibu wa nani? Huu upumbavu ndio Dunia ya watu wenye akili wanapambana nao kuufuta. Marekani anaangalia wapalestina wakiuwawa kama kuku na hakuwahi kulalamika kuhusu Haki za kibinadamu lakini Urusi akiipiga Ukraine utasikia Haki za binadamu ziangaliwe. Kwendeni zenu hukoHizbolah na Hamas ni vikundi vya kigaidi. Walebanon na Wapalestina wamefanya makosa huruhusu maeneo yao kutawaliwa na magaidi. Wangeunda Serikali zao kidemokrasia tungewatetea.
Hana mpya anatumia mass killings akidhani atawadhoofisha wapiganaji wa Islamic resistance chaajabu jamaa wanazidi kuwaua IDF na silaha zao. Hezbollah na Hamas Hawaui raia na kama wangetaka kufanya hivyo wayahudi wengi wangekua marehemu saahiziIsrael anaonyesha dunia yeye ni mbabe wa kuvunja majumba na kuwauwa watoto, wanawake na vizee. Silaha za bure lazima avunje majumba, sababu hawezi kupigana na wanaume haswa wanamgambo wa Hezbullah na Hamasi.
Hivi,huo uongo mnakaririshana na kuusambaza ili iweje?Ina maana risasi na mabomu ya Israeli yanabagua na kuwaua wanawake na watoto tu?Kwangu mimi,nikiua wapendwa wa adui ndiyo naamini namuumiza vizuri sana ili ajae upepo na yeye apigike vizuri zaidi.Israel anaonyesha dunia yeye ni mbabe wa kuvunja majumba na kuwauwa watoto, wanawake na vizee. Silaha za bure lazima avunje majumba, sababu hawezi kupigana na wanaume haswa wanamgambo wa Hezbullah na Hamasi.
kumbe wanashambulia raia!?. Hezbollah imewahamisha maelfu ya wakazi wa Galilaya , Koryat Shmona na Haifa na inaendelea kumwaga moto.
Lazima iwe ngumu sababu wanajificha na kujichanganya na raiaOperation ya jeshi la ardhini ya IDF huko south Lebanon imefeli kwa siku 29 Hezbollah imepiga vifaru zaidi ya arubaini na kuwaua zaidi zaidi ya askari 90 na kujeruhi mamia ambao hawataweza kupigana Tena.
Kwa kifupi Hezbollah ndio sawa sawa yake Israel ili kubalance vita.
Hamas na Hezbollah ni magaidi.Waulize hata watoto watakuelekeza.Vikundi vya kigaidi kwa mujibu wa nani? Huu upumbavu ndio Dunia ya watu wenye akili wanapambana nao kuufuta. Marekani anaangalia wapalestina wakiuwawa kama kuku na hakuwahi kulalamika kuhusu Haki za kibinadamu lakini Urusi akiipiga Ukraine utasikia Haki za binadamu ziangaliwe. Kwendeni zenu huko
Huo mji Unahusiana nini na Hezbollah?Ifike mahali wakataliwe na Kila jamii na Dini zote wanasababisha miji mizuri Kama kuharibiwa
Labda MTU mwenye Sababu zenye akili za Hizbola kushambulia Israel azieleze hapa
Pia mwenye sababu za msingi za Iran kuichukia Israel na kutaka kuifuta kwenye ramani ya dunia na kumuundia vikundi vya kigaidi
Aleezea hapa
Tafauti na hapo tukubaliane na majibu ya Israel na WASHIRIKA wake ya Sasa na baadae View attachment 3139368
View attachment 3139368
Walebanoni wameua watoto wao makusudi watumike Kama Kinga ya vita kwa hizbola, kulinda magaidi na wewe ni gaidi na taarifa wakipewa na Israel
Israel ilitoa taarifa mapema ya kushambulia maeneo lakini wakaamua kubaki na wanawake wao na watoto ili wauawe iwe Kinga kwa Hizbola INgawa mbinu hii Israel imeilewa ndo maana hawataki kulea magaidi Nashauri UN ipige maarufuku kitendo hiki cha kikatili Cha kutumia watoto na wanawake Kama Kinga...www.jamiiforums.com
Utasubiri sana Hezbollah's walianza Oktober 8 na hawajapoa mpaka Leo.Mwisho wake itakuwa nini sasa?Hata ukigombana na mkoma lazima na yeye akupige hata na fimbo yake kujipooza na kipigo unachompa.
Watoto wako au wananiHamas na Hezbollah ni magaidi.Waulize hata watoto watakuelekeza.
Anza nyumbani kwenu.Wa kwangu huwezi kuwaona.Watoto wako au wanani
Kwanza Mheshimiwa na kupa hongera sana kutumia jina la mwamba Yahya Al Sinwar huyu kiongozi Israel hawata kuja msahau, wao na mashoga zao US, UK. Germany na badhi ya mafala viongozi wa kiarabu.Hana mpya anatumia mass killings akidhani atawadhoofisha wapiganaji wa Islamic resistance chaajabu jamaa wanazidi kuwaua IDF na silaha zao. Hezbollah na Hamas Hawaui raia na kama wangetaka kufanya hivyo wayahudi wengi wangekua marehemu saahizi
Wewe ndio unasema hayo. Lengo la Israel ni kuuwa kwa wingi raia ili kushinikiza Hezbollah na Hamas kusitisha vita ila Wananchi wamesema vita iendeleekumbe wanashambulia raia!?
Lazima iwe ngumu sababu wanajificha na kujichanganya na raia
Wa kwangu hawajuiAnza nyumbani kwenu.Wa kwangu huwezi kuwaona.
We unaonyesha akili zako haziko sawa.Hivi,huo uongo mnakaririshana na kuusambaza ili iweje?Ina maana risasi na mabomu ya Israeli yanabagua na kuwaua wanawake na watoto tu?Kwangu mimi,nikiua wapendwa wa adui ndiyo naamini namuumiza vizuri sana ili ajae upepo na yeye apigike vizuri zaidi.
Tell it to the birds!We unaonyesha akili zako haziko sawa.
Umezionea wapi akili zangu wewe marienge?We unaonyesha akili zako haziko sawa.
Inasikitisha sanaIfike mahali wakataliwe na Kila jamii na Dini zote wanasababisha miji mizuri Kama kuharibiwa
Labda MTU mwenye Sababu zenye akili za Hizbola kushambulia Israel azieleze hapa
Pia mwenye sababu za msingi za Iran kuichukia Israel na kutaka kuifuta kwenye ramani ya dunia na kumuundia vikundi vya kigaidi
Aleezea hapa
Tafauti na hapo tukubaliane na majibu ya Israel na WASHIRIKA wake ya Sasa na baadae View attachment 3139368
View attachment 3139368
Walebanoni wameua watoto wao makusudi watumike Kama Kinga ya vita kwa hizbola, kulinda magaidi na wewe ni gaidi na taarifa wakipewa na Israel
Israel ilitoa taarifa mapema ya kushambulia maeneo lakini wakaamua kubaki na wanawake wao na watoto ili wauawe iwe Kinga kwa Hizbola INgawa mbinu hii Israel imeilewa ndo maana hawataki kulea magaidi Nashauri UN ipige maarufuku kitendo hiki cha kikatili Cha kutumia watoto na wanawake Kama Kinga...www.jamiiforums.com
Naomba sababu za msingi za Hizbola kushambulia Israel ikiwa kwenye nchi ya Lebanon
Huku ikijua wazi madhara yake kwa wananchi walebanon
Umezionea wapi akili zangu wewe marienge?
Ila kiranja wao kama wewe huwa mnatambuana kwa urahisi.Hata wenda wazimu unadhani wanajiju?