Inasikitisha sana mji mzuri kama huu wa Walebanoni kufanywa magofu Kama Gaza kwa kuunga mkono magaidi wa Hizbola

Hizbolah na Hamas ni vikundi vya kigaidi. Walebanon na Wapalestina wamefanya makosa huruhusu maeneo yao kutawaliwa na magaidi. Wangeunda Serikali zao kidemokrasia tungewatetea.
Vikundi vya kigaidi kwa mujibu wa nani? Huu upumbavu ndio Dunia ya watu wenye akili wanapambana nao kuufuta. Marekani anaangalia wapalestina wakiuwawa kama kuku na hakuwahi kulalamika kuhusu Haki za kibinadamu lakini Urusi akiipiga Ukraine utasikia Haki za binadamu ziangaliwe. Kwendeni zenu huko
 
Israel anaonyesha dunia yeye ni mbabe wa kuvunja majumba na kuwauwa watoto, wanawake na vizee. Silaha za bure lazima avunje majumba, sababu hawezi kupigana na wanaume haswa wanamgambo wa Hezbullah na Hamasi.
Hana mpya anatumia mass killings akidhani atawadhoofisha wapiganaji wa Islamic resistance chaajabu jamaa wanazidi kuwaua IDF na silaha zao. Hezbollah na Hamas Hawaui raia na kama wangetaka kufanya hivyo wayahudi wengi wangekua marehemu saahizi
 
Hivi,huo uongo mnakaririshana na kuusambaza ili iweje?Ina maana risasi na mabomu ya Israeli yanabagua na kuwaua wanawake na watoto tu?Kwangu mimi,nikiua wapendwa wa adui ndiyo naamini namuumiza vizuri sana ili ajae upepo na yeye apigike vizuri zaidi.
 
. Hezbollah imewahamisha maelfu ya wakazi wa Galilaya , Koryat Shmona na Haifa na inaendelea kumwaga moto.
kumbe wanashambulia raia!?
Operation ya jeshi la ardhini ya IDF huko south Lebanon imefeli kwa siku 29 Hezbollah imepiga vifaru zaidi ya arubaini na kuwaua zaidi zaidi ya askari 90 na kujeruhi mamia ambao hawataweza kupigana Tena.
Kwa kifupi Hezbollah ndio sawa sawa yake Israel ili kubalance vita.
Lazima iwe ngumu sababu wanajificha na kujichanganya na raia
 
Vikundi vya kigaidi kwa mujibu wa nani? Huu upumbavu ndio Dunia ya watu wenye akili wanapambana nao kuufuta. Marekani anaangalia wapalestina wakiuwawa kama kuku na hakuwahi kulalamika kuhusu Haki za kibinadamu lakini Urusi akiipiga Ukraine utasikia Haki za binadamu ziangaliwe. Kwendeni zenu huko
Hamas na Hezbollah ni magaidi.Waulize hata watoto watakuelekeza.
 
Ifike mahali wakataliwe na Kila jamii na Dini zote wanasababisha miji mizuri Kama kuharibiwa

Labda MTU mwenye Sababu zenye akili za Hizbola kushambulia Israel azieleze hapa

Pia mwenye sababu za msingi za Iran kuichukia Israel na kutaka kuifuta kwenye ramani ya dunia na kumuundia vikundi vya kigaidi
Aleezea hapa

Tafauti na hapo tukubaliane na majibu ya Israel na WASHIRIKA wake ya Sasa na baadae View attachment 3139368
View attachment 3139368
Huo mji Unahusiana nini na Hezbollah?
 
Hana mpya anatumia mass killings akidhani atawadhoofisha wapiganaji wa Islamic resistance chaajabu jamaa wanazidi kuwaua IDF na silaha zao. Hezbollah na Hamas Hawaui raia na kama wangetaka kufanya hivyo wayahudi wengi wangekua marehemu saahizi
Kwanza Mheshimiwa na kupa hongera sana kutumia jina la mwamba Yahya Al Sinwar huyu kiongozi Israel hawata kuja msahau, wao na mashoga zao US, UK. Germany na badhi ya mafala viongozi wa kiarabu.

Israel hawezi vita anacho weza kuvunja majumba na kufanya genocide basi.
 
Ifike mahali wakataliwe na Kila jamii na Dini zote wanasababisha miji mizuri Kama kuharibiwa

Labda MTU mwenye Sababu zenye akili za Hizbola kushambulia Israel azieleze hapa

Pia mwenye sababu za msingi za Iran kuichukia Israel na kutaka kuifuta kwenye ramani ya dunia na kumuundia vikundi vya kigaidi
Aleezea hapa

Tafauti na hapo tukubaliane na majibu ya Israel na WASHIRIKA wake ya Sasa na baadae View attachment 3139368
View attachment 3139368
Inasikitisha sana
 
Back
Top Bottom