Inasikitisha sana mji mzuri kama huu wa Walebanoni kufanywa magofu Kama Gaza kwa kuunga mkono magaidi wa Hizbola

Hao walebanon unaowasema niwavamizi wakipalestina sio walebanoni halisi, kama nikuona huruma mbona wamisri au wajordan wametulia hawashobokei huo mgogoro
 
Punguzeni wivu aliyepewa kapewa
 
Narudia tena kama hutaelewa nakuacha hakuna sehemu UN inazitambua hamas na hizbullah kama magaidi bali kama ilivyotokea kwa mandela hamas na hizbullah watakuwa zaidi ya mandela ni suala la muda tuuuu
Haya bhana Tuendelee.
 
Acha mihemko twende taratibu. Hiyo sera hebu tuwekee hapa tuione. Halafu fafanua namna Hamas anavotumia watoto na wanawake kujifedend
 
Oct 7 Hamas walifanya genocide ya watu zaidi ya 1200 ndani ya Israel, then Oct 8 2023 Hezbollah wanaanza kurusha makombora kuwaunga mkono Hamas, ulitegemea Israel wapige magoti mbele ya magaidi,?!
Hezbollah na Hamas ni freedom fighters siyo magaidi
 
Wewe ndio unaona Israel hapati madhara lakini nikuhakikishie Israel anachapika sana hasa kwa upande wa Hezbollah. Vita ya kupigania uhuru haisubiri unapigana mpaka mwisho
 
Hili taifa la israel ipo siku mungu atalikomesha, kiufupi hizbolah na hamasi wako sawa tu kutetea maana maafa yanayotokea Dunia ipo kimya
 
Hakuna anaekataa Hamas kuingia Israel na kushambulia kambi za Jeshi na kuchukua mateka.

Ila siku ya tukio watu wengi waliofariki waliuliwa kwenye Concert ya muziki hii picha ikionesha sehemu ambayo watu wengi waliunguzwa na kufariki

Unaweza kutuambia ni silaha gani toka Hamas inayoweza kuunguza eneo kubwa kushinda hata uwanja wa mpira?
 
Hapa kitu kinachoitwa ubinadamu ni kichaka TU cha kujifichia. Hao Hezbollah wanafanya hayo kwa kigezo cha dini yao (yaani wenzao katika Imani) na ile ya waarabu wenzetu. Jiulize wasingekuwa Waislamu au waarabu wenzao wangewapigania!?
Kwani waliopiga kura juzi kutaka Cuba iondolewe vikwazo na marekani wote walikua wazungu na wakristo kwani Afrika Kusini waarabu pamoja na waislam Spain je huna hoja
 
Kwa hiyo huo moyo wanao hao tu bas? Saudia, UAE, Qatar, Morocco, Misri Algeria na Waislamu wengine hawana moyo huo? Kwanini wasijiunge wakampiga huyo muuwaji wa Wapalestina?
 
Wa Lebanoni ni wajinga kama walivyo waparestina waache wapate adhabu hii, walionywa mapema kwamba waachane na haya makundi ya kigaidi watapata kipigo kitakatifu lakini wakadharau - sasa ni wakati wao wa kuvuma walichopanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…