Inasikitisha sana mji mzuri kama huu wa Walebanoni kufanywa magofu Kama Gaza kwa kuunga mkono magaidi wa Hizbola

Inasikitisha sana mji mzuri kama huu wa Walebanoni kufanywa magofu Kama Gaza kwa kuunga mkono magaidi wa Hizbola

Unavhokisema ni ukweli ila sio kwenye mgogoro huu. Hezbollah wamesimama kwenye haki. Wanawatetea binadamu wenzao wanaouliwa kila kukicha kama sisimizi tena kikatili.

Hakuna binadamu mwenye akili anaweza kuuwa binadamu wenzake kama Israel. Juu ya yote, anawamyima wapalestina hata chakula, maji na dawa. Analipua hadi hospitali, kambi za wahanga wa vita, shule za watoto wa primary, yani ni unyama uliokithiri.

Hata kama ingekuwa Kenya, Tanzania tungeyatimba kama Lebanon maana hatuwezi kamwe kumuona jirani yetu anauliwa bila huruma kama Israel wanavyowafanyia wapalestina. I stand with Lebanon despite the disastrous outcome
Hao walebanon unaowasema niwavamizi wakipalestina sio walebanoni halisi, kama nikuona huruma mbona wamisri au wajordan wametulia hawashobokei huo mgogoro
 
Ameyatimba na mbaya zaidi hana akili ya kulinda kile anachokipgania, hajui kuwa anapgana kwa ajili ya vizaz vyake vijavyo, asivyo na akili ameamua kuvitanguliza vizazi vyake vife yeye aishi walah allar ni kafiri waarabu ni majuha

😀😀😀Ile saa Mungu anaweka akili kwenye ubongo waarabu waliinuka wakaondoka zao
Punguzeni wivu aliyepewa kapewa
 
Narudia tena kama hutaelewa nakuacha hakuna sehemu UN inazitambua hamas na hizbullah kama magaidi bali kama ilivyotokea kwa mandela hamas na hizbullah watakuwa zaidi ya mandela ni suala la muda tuuuu
Haya bhana Tuendelee.
 
Unasema hezbollah n hamas Hawaui raia na hiyo sera yao ya kuifuta Israel kwenye uso wa dunia inasimamia wap? Je sera yao hiyo itaacha Watoto, Wanawake na Wazee wa Israel? Jielewe wewe!

Hao magaid wa islamic hawajaipata nafasi ya kuwashambulia raia wa Israel koz Israel anajidifendi kama mtu mwenye akili, anajua anachokipigania ni kwa ajili yake na vizazi vyake, hawa mbweha wa msikitini wanatumia watoto na wanawake kujidifend ili waendelee kasavaiv, sasa sisi tunasema hivi, watakachokitanguliza mbele ndicho tutakachikipiga, pumbafu Islamic na allah wao kafiri mwenye govi babkubwa.
Acha mihemko twende taratibu. Hiyo sera hebu tuwekee hapa tuione. Halafu fafanua namna Hamas anavotumia watoto na wanawake kujifedend
 
Mimi nakubaliana ya kua Palestine inaonewa. Lakini swali kwa hamas na hezebola wapo na capacity ya kupigana na israel kwa sasa? Kwanini wasinge develop kwanza capacity hata kwa miaka 30 ndo waje kulipa kisasi au kuikomboa ardhi yao?

Hii ya kurusha viroketi uchara Israel na wanajua majibu ya Israel ni kuonea raia wao wenyewe.

Walichofanya Hamas October 7, walitegemea majibu yake yangekuaje, sasa gaza yote ni magofu. Wamepata nini? Na Dunia ilivyo na unafiki Israel sio tu imeachwa ifanye genocide inapewa fedha na silaha pia. Poor Palestine...
Wewe ndio unaona Israel hapati madhara lakini nikuhakikishie Israel anachapika sana hasa kwa upande wa Hezbollah. Vita ya kupigania uhuru haisubiri unapigana mpaka mwisho
 
Hili taifa la israel ipo siku mungu atalikomesha, kiufupi hizbolah na hamasi wako sawa tu kutetea maana maafa yanayotokea Dunia ipo kimya
 
Unaishi dunia gani? yani Hamas wenyewe wakubali kufanya hivyo, na wakaungwa mkono na na waarabu wenzao kwa ujasiri huo afu wewe leo unasema ni Israel alifanya vile. Labda nikuulize, na mateka waliochukuliwa hio siku ambao wapo chini ya uangalizi wa Hamas ni Israel aliwakabidhi kwa Hamas?
Hakuna anaekataa Hamas kuingia Israel na kushambulia kambi za Jeshi na kuchukua mateka.

Ila siku ya tukio watu wengi waliofariki waliuliwa kwenye Concert ya muziki hii picha ikionesha sehemu ambayo watu wengi waliunguzwa na kufariki
7c61170a-7f14-11ee-9789-00163e02c055~2.jpg

Unaweza kutuambia ni silaha gani toka Hamas inayoweza kuunguza eneo kubwa kushinda hata uwanja wa mpira?
 
Hapa kitu kinachoitwa ubinadamu ni kichaka TU cha kujifichia. Hao Hezbollah wanafanya hayo kwa kigezo cha dini yao (yaani wenzao katika Imani) na ile ya waarabu wenzetu. Jiulize wasingekuwa Waislamu au waarabu wenzao wangewapigania!?
Kwani waliopiga kura juzi kutaka Cuba iondolewe vikwazo na marekani wote walikua wazungu na wakristo kwani Afrika Kusini waarabu pamoja na waislam Spain je huna hoja
 
Hujasikiliza hotuba ya Naim Qassim Katibu mkuu wa Hezbollah Leo katika hotuba yake? Amesema hawawezi kukaa pembeni kuangalia wapalestina zaidi ya elfu 40 wakiuliwa kwenye mahema ,sokoni na kwenye majumba Yao. Hii ndio sababu kuu , hata Iran na Yemen sababu inayowafanya kupigana ni hii kuokoa nafsi za wapalestina.

Inawezekana wewe unaona ni sawa tu kinachofanyika Gaza na Palestine lakini kiuhalisia it's not right
Kwa hiyo huo moyo wanao hao tu bas? Saudia, UAE, Qatar, Morocco, Misri Algeria na Waislamu wengine hawana moyo huo? Kwanini wasijiunge wakampiga huyo muuwaji wa Wapalestina?
 
Wa Lebanoni ni wajinga kama walivyo waparestina waache wapate adhabu hii, walionywa mapema kwamba waachane na haya makundi ya kigaidi watapata kipigo kitakatifu lakini wakadharau - sasa ni wakati wao wa kuvuma walichopanda.
 
Back
Top Bottom