Inasikitisha sana mji mzuri kama huu wa Walebanoni kufanywa magofu Kama Gaza kwa kuunga mkono magaidi wa Hizbola

Inasikitisha sana mji mzuri kama huu wa Walebanoni kufanywa magofu Kama Gaza kwa kuunga mkono magaidi wa Hizbola

Wakati mwingine kujifurahisha ni kuzuri,viongozi wote wa Hezbollah na Hama's pamoja na maafande wa Iran waliouawa ubalozi wa Iran nchini Syria ni wanawake siyo wanaume.
Hapo mbona hakuna aliye sema hawakuwaua hao viongozi Hamasi na Hezbullah wakifiwa hawafichi wanaona sifa kusema askari wao wamekufa kishujaa au viongozi wao.

Afu Nasurlah ni wanafiki ndio walimuonyesha yuko wapi. Sio technology ya kishoga inasema wameona pesa chini ya Hospital kule Lebanon na dhahabu za Nasurlah, mpaa yule Secretary of defence wa US Lloyd Austin akasema hio kali 😄 Aliogopa wasifanye ile Bollywood film kama ya Al Shifaa Hospital eti kuna Central Command ya Hamasi Chiniya hio Hospital.
 
Hata Hamas ilipambana hivyo hivyo mwanzoni lakini MWISHO Leo Gaza ni magofu
Ndo nasikitika Sana miji mizuri ya lebanoni kuwa Kama Gaza baada ya muda Fulani kwa ujinga wa magaidi
Lengo la Israel kumbe ni kubomoa majengo ya raia baada ya kufeli kupambana na wanaume?
 
Wakati Hamas waliposhambulia Israel na kuua raia wa Israel mamia ya wanawake na vitendo viovu , hizbola ilikemea Hamas ?

Kwanini hizbola haikwenda front kule Gaza kuisaidaia Hamas badala ya uhuni wanofanya Lebononi kusabisha Lebanon kuwa Gaza nyingine ?
Matatizo yameanzia kwa mazayuni mauaji
 
Hata Hamas ilipambana hivyo hivyo mwanzoni lakini MWISHO Leo Gaza ni magofu
Ndo nasikitika Sana miji mizuri ya lebanoni kuwa Kama Gaza baada ya muda Fulani kwa ujinga wa magaidi
Kwani kua magofu palestina ilianza leo na ndio maana wanapigana ili kuondoa hayo magofu palestina wanalipia gharama kubwa ila huu mwaka lazima lazima lazima palestina ipate haqqi zake
 
Unavhokisema ni ukweli ila sio kwenye mgogoro huu. Hezbollah wamesimama kwenye haki. Wanawatetea binadamu wenzao wanaouliwa kila kukicha kama sisimizi tena kikatili.

Hakuna binadamu mwenye akili anaweza kuuwa binadamu wenzake kama Israel. Juu ya yote, anawamyima wapalestina hata chakula, maji na dawa. Analipua hadi hospitali, kambi za wahanga wa vita, shule za watoto wa primary, yani ni unyama uliokithiri.

Hata kama ingekuwa Kenya, Tanzania tungeyatimba kama Lebanon maana hatuwezi kamwe kumuona jirani yetu anauliwa bila huruma kama Israel wanavyowafanyia wapalestina. I stand with Lebanon despite the disastrous outcome
Kabisaaaa ni mjinga fedhuli asiejua mambo asie penda haqqi na katili pekee anaeweza kusimama na wauaji wa israhell
 
Hizbolah na Hamas ni vikundi vya kigaidi. Walebanon na Wapalestina wamefanya makosa huruhusu maeneo yao kutawaliwa na magaidi. Wangeunda Serikali zao kidemokrasia tungewatetea.
Uwatetetee wapalestina walikwambia wanashida nakutetewa na wewe jitetee mwenyewe kwanza
 
Waislamu ni wapumbafu sana. Israel itaendelea kuwafanya mbele na nyuma mpaka akili zao zitakapokaa sawa
Nyie mngekuwa sio wapumbavu na wajinga papa asingethubutu kuwaambia mufirane na kusagana ila kawaona wajinga kaona awaambie mupakatane na wengi wenu tayari
 
Magaidi wa Hamas ni Branch ya Magaidi wa Islamic Brotherhood ambao huwa wanaua Wakristo huko Misri.

Magaidi wa Islamic Brotherhood 👇
View attachment 3139416
Hapa Magaidi hayo yanasisitiza kuwa ni Quruani tu ndio itakayofuatwa na sio Biblia au Vitabu vingine.
Ufate bibilia papa awaambie tupakatane pakataneni wenyenu huko chachi
 
Hujasikiliza hotuba ya Naim Qassim Katibu mkuu wa Hezbollah Leo katika hotuba yake? Amesema hawawezi kukaa pembeni kuangalia wapalestina zaidi ya elfu 40 wakiuliwa kwenye mahema ,sokoni na kwenye majumba Yao. Hii ndio sababu kuu , hata Iran na Yemen sababu inayowafanya kupigana ni hii kuokoa nafsi za wapalestina.

Inawezekana wewe unaona ni sawa tu kinachofanyika Gaza na Palestine lakini kiuhalisia it's not right
Mimi nakubaliana ya kua Palestine inaonewa. Lakini swali kwa hamas na hezebola wapo na capacity ya kupigana na israel kwa sasa? Kwanini wasinge develop kwanza capacity hata kwa miaka 30 ndo waje kulipa kisasi au kuikomboa ardhi yao?

Hii ya kurusha viroketi uchara Israel na wanajua majibu ya Israel ni kuonea raia wao wenyewe.

Walichofanya Hamas October 7, walitegemea majibu yake yangekuaje, sasa gaza yote ni magofu. Wamepata nini? Na Dunia ilivyo na unafiki Israel sio tu imeachwa ifanye genocide inapewa fedha na silaha pia. Poor Palestine...
 
Wanaokoa nafsi za wapalestina wakati huohuo zaidi ya wapalestina elfu 40 wameuawa sijui ni nafsi za wapalestina gani zinazo okolewa kama siyo kuongeza petrol kwenye moto wapalestina wazidi kuuawa.
Hata ussr wakati wanapigana na hitler walikufa mamilioni ila walobakia waliishi vyema
 
Jisemee wewe!
Halafu unaowaita wapumbavu na wapuuzi wenye mlengo kinyume na wewe, unatumia vigezo vipi ambavyo vinakufanya wewe usiwe mpumbavu na mpuuzi uliyechagua kuwa upande wa unaopenda wewe na wao kupenda wanakokupenda wao?
Kua upande wangu mimi unaweza ukawa na bado ukawa mpumbavu vile vile tena ukawa mpumbavu wa juu kabisaa
 
Umoja wa mataifa ulipitisha azimio la kuvitambua vikundi vya Kigaidi ikiwa ni pamoja na wafadhili wao na kuyataka mataifa kutoyaruhusu au kuyakubali makundi hayo kuwepo ndani ya nchi zao. Miongoni mwa makundi hayo, HAMAS na Hezbollah wameorodheshwa.
Israel amejitoa mhanga kupambana na makundi hayo ambayo yapo ndani ya nchi huru e.g. Palestina lipo kundi la HAMAS na Lebanoni lipo kundi la Hezbollah. Makundi hayo yameweza kuziminya (Overpower) serikali za nchi walipo na kujiona wao ndo Serikali yenyewe. Matokeo yake wanaishambulia Israel kwa maroketi na makombora wanayopewa na mfadhili wao ambaye ni Iran. Kwa kuwa makundi hayo yamejimilikisha Utawala wa Nchi husika (De Facto Govts), Israel hana namna ingine isipokuwa kuwashughulikia kimapambano ndani ya hizo nchi- Palestina na Lebanon. Kimsingi Israel hana ugomvi na Taifa au nchi ya Palestina au Lebanon. Israel anashughulika na kupambana dhidi ya HAMAS na Hezboillah ambayo ni makundi ya kigaidi. Ni kwa bahati mbaya sana Makundi hayo yamekita mizizi yao ktk nchi hizo na kujinasibisha kwa kiwango cha kama wao ndo Serikali inayoendesha nchi hizo. Makundi hayo yanatumia mbinu ya Umoja wa kiUdini (Shia Islam group) ili kupata uungwaji mkono na baadhi ya raia.
Uovu wao ni pale inapotolewa Amri ya kuondoka mahali/eneo ili Israel asambaratishe maslahi ya Kundi husika (HAMAS au Hezbollah) katika eneo hilo; lakini makundi hayo yanawanyima Raia waliopo hapo haki ya kutii na kuondoka-Kuhama. Matokeo yake ni Raia katika eneo husika wanajikuta wamenaswa na wapo ndani ya mapigano. Raia hao maskini ndo unasikia kwenye kale kamwimbo kao HAMAS na Hezbollah siku zote wakisema eti Israeli anaua wanawake na watoto. Kumbe ni HAMAS na Hezbollah wamewashurutisha kwa nguvu wasiondoke na wanatumika kama ngao i.e. Human shield kujikinga dhidi ya kipigo kutoka kwa Israel.
Mkiambiwa hamuna akili mnasema mnatukanwa umoja wa mataifa upi uloitambua hamas na hizbullah kama makundi ya kigaidi wazayuni tokea waseme hamas wanajificha nyuma ya raia washaua raia wangapi hamas wameifuta au unadhania kubomoa majengo ndio ushindi hamas atapambana na mazayuni mpaka mwisho na watatema tu bungo kaeneo kama kismayo wanahangaika nacho mwaka wapili sasa
 
Back
Top Bottom