Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Hapo mbona hakuna aliye sema hawakuwaua hao viongozi Hamasi na Hezbullah wakifiwa hawafichi wanaona sifa kusema askari wao wamekufa kishujaa au viongozi wao.Wakati mwingine kujifurahisha ni kuzuri,viongozi wote wa Hezbollah na Hama's pamoja na maafande wa Iran waliouawa ubalozi wa Iran nchini Syria ni wanawake siyo wanaume.
Afu Nasurlah ni wanafiki ndio walimuonyesha yuko wapi. Sio technology ya kishoga inasema wameona pesa chini ya Hospital kule Lebanon na dhahabu za Nasurlah, mpaa yule Secretary of defence wa US Lloyd Austin akasema hio kali 😄 Aliogopa wasifanye ile Bollywood film kama ya Al Shifaa Hospital eti kuna Central Command ya Hamasi Chiniya hio Hospital.